×

Michezo

Meridianbet Yatangaza Promosheni Mpya: Cheza Aviator Ushinde Samsung A25!

Mabingwa wa michezo ya ubashiri nchini Tanzania, Meridianbet, wamekuja na kubwa kuliko kwa wateja wake. Kupitia mchezo pendwa wa Aviator,...

READ MORE

Tiketi Yako, Ushindi Wako, Bashiri na GG&3+ Leo

Fluminense vs Al Hilal ni mechi kali leo hii ya kutazama lakini huku ukiwa unaitazama inakupa pesa. na GG&3+ mtanange...

READ MORE

Ibenge Kutua Chamazi? Azam FC Yadaiwa Kumnasa

KOCHA Mkuu wa Al Hilal Omdurman ya nchini Sudan, Florent Ibenge inatajwa kuwa amemalizana na matajiri wa Dar, Azam FC...

READ MORE

Miloud Hamdi Apata Timu Mpya Misri Baada ya Mafanikio Yanga

Aliyekuwa kocha mkuu wa Klabu ya Yanga  ya Tanzania, Miloud Hamdi (54), raia wa Algeria, ameteuliwa rasmi kuwa kocha mkuu...

READ MORE

Video: Ahadi ya Uwanja wa Yanga Yazua Gumzo – Saleh Jembe Afunguka

Mchambuzi mkongwe wa soka nchini, Saleh Jembe, amefunguka na kueleza kuwa ahadi ya uwanja wa klabu ya Yanga haijaanza leo.

READ MORE

Vigogo 8 Watinga Robo Fainali ya Kombe la Dunia la Vilabu Nchini Marekani

Michuano ya kihistoria ya Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA inayoendelea nchini Marekani imeingia katika hatua ya robo fainali...

READ MORE

Yanga Yatikisa jiji la Dar Kwa Kishindo na Mataji Matano Msimu Mmoja (Picha +Video)

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara mara 31, Yanga SC Juni 30 2025 wamepokelewa kwa kishindo wakitokea Zanzibar kwa kufanya...

READ MORE

Yanga Yatangaza Kulitaka Kombe La Crdb, Kukiwasha na Singida Black Stars Fainali leo

UONGOZI wa Klabu ya Yanga SC umeweka wazi dhamira yao ya kuhakikisha wanarejesha nyumbani Kombe la CRDB Federation Cup, wakisisitiza...

READ MORE

Simba Yamnyemelea Kipa wa JKT, Yakoub Seleman

SIMBA SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids raia wa Afrika Kusini ipo katika harakati za kumsajili kipa wa JKT...

READ MORE

Promosheni ya ERA OF 1000s Kukutajirisha Sasa

Mashindano ya Era of 1000s si tu mashindano ya kawaida bali ni mashindano ambayo yamekuja kwaajili ya kugeuza maisha yako...

READ MORE

Rais Dkt. Mwinyi Awasiili Dodoma Kushiriki Kufungwa kwa Bunge la 12

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuwasili katika Uwanja wa...

READ MORE

Fadlu Davids: Tutaboresha Kikosi Simba Kwa Msimu Ujao

Kocha Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, amesema kuwa kikosi hicho kinahitaji maboresho baada ya kumaliza msimu wa Ligi Kuu...

READ MORE

Tshabalala Atoa Shukrani Kwa Mashabiki Na Uongozi Wa Simba

Nahodha wa kikosi cha Simba SC, Mohamed Hussein almaarufu “Tshabalala”, ameandika ujumbe wa kugusa moyo akiwaaga mashabiki na kutoa shukrani...

READ MORE

Mechi Kali, Bonasi Kali – GG&3+ Juventus vs Man City Yakuletea Mpunga!

Michuano ya kombe la Dunia kwa vilabu inazidi kuendelea ambapo Meridianbet kila siku wao wanatafuta namna pekee ya wewe kuweza...

READ MORE

NBC Premier League Yamalizika Kwa Rekodi Mpya

Hapo jana tumeshuhudia hitimisho la ligi kuu Tanzania bara kwa msimu wa 2024/25 kwa mchezo wa derby ya Kariakoo kati...

READ MORE

Sundowns, Al Ahly, Esperance Watolewa Kombe la Dunia la Vilabu

Juni 26, 2025 – Timu za soka kutoka bara la Afrika zimehitimisha safari yao mapema katika michuano ya Kombe la...

READ MORE

NBC Yakabidhi Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu kwa Yanga

· Yasisitiza dhamira yake kuwekeza zaidi kwenye maendeleo ya wachezaji. Mdhamini mkuu wa ligi ya NBC, Benki ya Taifa ya...

READ MORE

TFF Yatangaza Orodha ya Awali ya Wagombea Urais na Kamati ya Utendaji

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa orodha ya awali ya waliochukua na kurudisha fomu kuomba uongozi katika Shirikisho...

READ MORE

Jeshi la Polisi Latoa Onyo Kabla ya Mechi ya Watani wa Jadi – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kuwa limechukua hatua kali za kiusalama kuelekea mchezo mkubwa wa...

READ MORE

Benfica vs Bayern Munich Kupambania Kilele cha Kundi C FIFA Club World Cup

Usiku wa leo, macho ya mashabiki wa soka duniani yataelekezwa kwenye Uwanja wa Bank of America Stadium uliopo Charlotte, Marekani,...

READ MORE

Simba Yatosa Mkutano wa Kabla ya Mchezo, Bodi Yatangaza Kuahirisha

Klabu ya Simba haikuhudhuria mkutano wa kabla ya mchezo (Pre-Match Conference) uliopangwa kufanyika leo Juni 24, 2025  saa 5:30 asubuhi...

READ MORE

Amin Omar kutoka Misri Kuchezesha Dabi ya Yanga na Simba Kesho

Waamuzi wa mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga na Simba wametangazwa rasmi, ambapo mwamuzi wa kati atakuwa Amin...

READ MORE

TPLB Yatangaza Kukabidhi Taji Kesho Baada ya Mechi ya Yanga na Simba

Karim Boimanda, Ofisa Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB) amebainisha kuwa sherehe za kukabidhi taji ya ligi...

READ MORE

Ahmed Ally: Afunguka Dabi ya Kariakoo, Hatuna Mchezo Mwingine Nyumbani – Video

Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema kuwa mchezo dhidi ya Kagera Sugar uliochezwa...

READ MORE

Yanga Yahitaji Alama Moja Kutwaa Ubingwa, Simba Lazima Ishinde Dabi

Baada ya matokeo ya leo Jumapili Juni 22, 2025 sasa ni rasmi kuwa klabu ya Yanga inahitaji alama moja tu...

READ MORE

Vita ya Kiatu cha Ufungaji Bora Yawaka Moto Ligi Kuu 2024/25

Katika mbio za kuwania kiatu cha dhahabu cha ufungaji bora Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25, hali bado ni...

READ MORE

Shinda Pesa Halisi na 3 OAKS Ndani ya Meridianbet

Jambo la kusisimua na la fursa limekufikia hivi sasa ndani ya Meridianbet ambapo unaweza kushinda pesa halisi huku ukijiburudisha na...

READ MORE

Mbunge Eric Shigongo Akabidhi Vifaa vya Michezo kwa Timu 22 za Shigongo Cup 2025

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameonyesha dhamira yake ya kuendeleza vipaji vya michezo kwa vijana kwa kukabidhi rasmi vifaa vya...

READ MORE

Odds Moto! GG & 3+ Inakupeleka Kwenye Ushindi Maradufu!

Ofa ya kibabe imetua leo hii, Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda bonasi kubwa leo endapo utabashiri mtanange wa Inter Miami...

READ MORE

Ratiba ya Ligi Kuu ya Uingereza 2025/26 Imetoka: Wabashiri Kuvuna Maokoto ya Meridianbet

Ligi Kuu ya Uingereza imetangaza rasmi ratiba ya ligi kwa msimu wa 2025/26, ratiba iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi...

READ MORE

Ally Mayay Tembele Atangaza Nia ya Kugombea Urais wa TFF

NYOTA wa zamani wa klabu ya Yanga na timu ya Taifa, Taifa Stars, Ally Mayay Tembele, ametangaza rasmi nia ya...

READ MORE

Kipa Camara Kukutana Na Thank You Simba

MOUSA Camara kipa namba moja wa Simba SC anatajwa kuwa kwenye hesabu za kukutana na Thank You ndani ya kikosi...

READ MORE

Mshambuliaji Wa Mabao Mlangoni Yanga

JONATHAN Sowah mshambuliaji wa Singida Black Stars anatajwa kuwa kwenye mpango wa kutakiwa na Yanga SC inayonolewa na Kocha Mkuu,...

READ MORE

Odds Moto! GG & 3+ Inakupeleka Kwenye Ushindi Maradufu!

Ofa ya kibabe imetua leo hii, Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda bonasi kubwa leo endapo utabashiri mtanange wa River Plate...

READ MORE

TFF Yatoa Maelekezo kwa Wagombea wa Uchaguzi Mkuu 2025

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewataka waombaji wote wa nafasi ya uongozi kwenye Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika...

READ MORE

Simba Yarejea Kambini Kujiandaa Na Mchuano Dhidi Ya Kengold

SIMBA SC wanatarajiwa kurejea kambini leo Juni 16 2025 kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa ligi dhidi ya KenGold...

READ MORE

Chama Aandaliwa Kuikabili Tanzania Prisons

Clatous Chama kiungo mshambuliaji wa Yanga SC anaandaliwa na benchi la ufundi kwa ajili ya kuwakabili wapinzani wao Tanzania Prisons....

READ MORE

Pata Bonasi ya Ukaribisho Ukiweka Pesa Mara ya Kwanza

Je unajuwa kuwa ukijisajili na Meridianbet kwa mara ya 1, 2, na 3 unaweza ukajipatia bonasi kali ya ubashiri kutoka...

READ MORE

DStv Tanzania Yazindua Promosheni ya Kusisimua “Onja Utamu wa Juu”

Wakati Michuano mikubwa ya Kombe la Dunia ya Vilabu ikiendelea kutimua vumbi kampuni ya Multchoice Tanzania DSTV imesema ipo sambamba...

READ MORE

TFF Yatangaza Uchaguzi Mkuu Agosti 16, 2025 Jijini Tanga

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatangaza Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika tarehe 16/08/2025 jijini...

READ MORE