×

Michezo

Mzize Atikisa Soko la Usajili, Kaizer Chiefs na Klabu ya Ufaransa Wapigana Vikumbo

MSHAMBULIAJI namba moja wa Yanga, Clement Mzize anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi kutoka Afrika Kusini ambao wameonyesha nia ya...

READ MORE

Leo Ni Siku ya Mabingwa – ODDS za Kibabe na Meridianbet!

Jumamosi ya leo mechi kali leo hii Duniani zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana...

READ MORE

Ateba Aibeba Simba kwa Mabao Mawili, Atoa Kauli Kali Kuhusu Ushindani

LEONEL Ateba mshambuliaji wa Simba ameweka wazi kuwa hesabu kubwa kwenye mechi ambazo wanacheza ndani ya uwanja ni kuvuna pointi...

READ MORE

Unyama ni Mwingi Ndani ya Meridianbet Leo

Ni Ijumaa ya kwanza ya mwezi Mei ambapo mwezi huu umekuja kivingine ndani ya Meridianbet. Unajua kwanini?, Ni kwasababu huu...

READ MORE

Yanga Yaangukia pua CAS, Kariakoo Derby ipo pale pale

MAHAKAMA ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imetupa rufani ya klabu ya Yanga yenye kumbukumbu namba CAS 2025/A/11298 ambayo...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Akabidhi Vikombe Kwa Washindi Wa Michezo Katika Sherehe Za Mei Mosi Singida

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekabidhi Zawadi ya Vikombe kwa Washindi wa michezo Mbalimbali...

READ MORE

JKU vs Yanga Kukiwasha leo Fainali ya Muungano Cup 2025 Gombani

JKU SC vs Yanga SC zinatarajiwa kushuka Uwanja wa Gombani leo Mei Mosi kwenye mchezo wa fainali Muungano Cup 2025....

READ MORE

Simba Yaihofia Mashujaa FC Uwanja wa KMC Complex Kesho

AHMED Ally, Meneja wa idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC ameweka wazi kuwa mchezo wao dhidi ya Mashujaa FC...

READ MORE

Yanga yafuzu fainali ya Kombe la Muungano 2025 kwa kishindo!

Klabu ya Yanga Simefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya Kombe la Muungano 2025 baada ya kuibwaga Zimamoto FC ya Zanzibar...

READ MORE

Serikali Yaagiza Ukarabati wa Haraka Uwanja wa Mkapa Kabla ya Fainali ya CAF

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amemuagiza mkandarasi anayesimamia ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kuhakikisha...

READ MORE

Rais Samia Aipongeza Timu Ya Taifa Ya Vijana Na Timu Ya Taifa Ya Wanawake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameipongeza Timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri...

READ MORE

Simba Kukutana na RS Berkane Katika Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika 2025

Klabu ya RS Berkane ya Morocco imeifuata Simba Sc kwenye fainali ya kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kufuatia ushindi wa...

READ MORE

Zuhura: Michezo ni Mwarobani wa Magonjwa Yasiyoyakuambukiza Kwa Wafanyakazi

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Bi. Zuhura Yunus akikabidhi zawadi ya kombe...

READ MORE

Beti, Shinda na Malizia Wikiendi Yako kwa Furaha Meridianbet!

Leo hii maliza wikendi yako ukiwa na jamvi la uhakika ndani ya wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet. Timu za ushindi...

READ MORE

Kutolewa Nusu Fainali: Al Ahly Yaachana na Kocha Marcel Koller

Klabu ya Al Ahly ya Misri imetangaza kuachana na kocha Marcel Koller baada ya kutolewa katika nusu fainali ya Ligi...

READ MORE

Chimbo Jipya la Hela ni 420 Blaze It Kasino

Je, umewahi kucheza mchezo wa droo wenye droo 10? Ikiwa hujawahi, sasa unapata nafasi kamili ya kufanya hivyo. Kupitia Meridianbet...

READ MORE

Nani Kumfunga Paka Kengele Jumanne & Jumatano?

Je unajua kuwa wiki ijayo kinawaka vibaya mno kwenye usiku wa Ulaya?. Basi safari hii ni zamu yako kutusua na...

READ MORE

Bosi Yanga Afichua Siri Mzize Kuumia

LICHA ya Clement Mzize mshambuliaji wa Yanga kuchaguliwa kuwa mchezaji bora kwenye mchezo uliopita wa Ligi Kuu Bara dhidi ya...

READ MORE

Simba Kuelekea Afrika Kusini Kesho Kuwafata Stellenbosch

Klabu ya Simba imetangaza kuwa kikosi cha wachezaji 23 cha timu hiyo kitaondoka kesho asubuhi kuelekea Afrika Kusini kwa ajili...

READ MORE

Mechi ya Kihistoria: Simba na Stellenbosch Vita Ya Fainali

Kikosi cha Simba SC kinatarajiwa kuwakaribisha wageni kutoka Afrika Kusini, Stellenbosch FC, katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar, leo majira ya...

READ MORE

TFF Yamtia Hatiani Ali Kamwe, Yamuachia Huru Ahmed Ally

Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetoa maamuzi tofauti kwa maofisa habari wa vilabu vya...

READ MORE

Wapinzani Wa Yanga Waiba Mbinu Wafichua Watakavyowabana

WAPINZANI wa Yanga ndani ya Ligi Kuu Bara kuelekea kwenye mchezo wao unaotarajiwa kuchezwa Aprili 21 2025 Uwanja wa Tanzanite,...

READ MORE

Mabingwa Watetezi Real Madrid Waaga UEFA, Bayern Yachapwa

Mabingwa watetezi, Real Madrid wamevuliwa ubingwa wa Ulaya kufuatia kipigo cha jumla cha 5-1 dhidi ya washika Mitutu, Arsenal kwenye...

READ MORE

Jayrutty Investment Apindua Meza Simba: Kujenga Uwanja, Kituo cha Matibabu na Mabilioni kwa Maendeleo ya Klabu

Kampuni ya Jayrutty Investment Company Limited, CPA Joseph Rwegasira ambayo imeshinda tenda ya utengenezaji na usambazaji wa jezi na vifaa...

READ MORE

Singida Black Stars Yatuma Ujumbe Mzito Simba

UONGOZI wa Klabu ya Singida Black Stars umebainisha kuwa utapambana kuwaondoa wapinzani wao Simba katika hatua ya nusu fainali ili...

READ MORE

NMB Yakabidhi Vifaa vya Michezo vya Mil. 19/- Kwa Timu za JWTZ

  JESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limeishukuru Benki ya NMB kwa namna inavyojitoa kuunga mkono Sekta ya Michezo ndani...

READ MORE

Makalla: Timu ya Namungo Imechangia Kukuza Uchumi na Utalii wa Michezo Ruangwa

• Kuchangia Namungo ni hiari msirudi nyuma ichangieni •Aoongeza jitihada za Rais kukuza michezo na timu kuwa na uwanja kisasa...

READ MORE

Mechi Kali Leo! Bashiri na Meridianbet Upige Mkwanja

Ni Jumapili nzuri kabisa ambayo imekuja na neema kubwa, unajua kwanini?. Ni kwasababu wakali wa ubashiri Meridianbet wamekuletea ODDS za...

READ MORE

Inter, Bayern, Barca na City Wote Dimba Leo – Weka Beti Yako na Meridianbet Ushinde Zaidi!

Inter, Bayern, Barcelona, Man City wote wapo dimbani kuhakikisha hutoki patupu leo. Je beti yako unaiweka wapi leo kwa hizi...

READ MORE

Singida Black Stars Yamtangaza Mtendaji (CEO) Mpya

Klabu ya Singida Black Stars imethibitisha kumteua rasmi Omari Kaya kuwa Katibu Mkuu Mtendaji (CEO) wa klabu hiyo akichukua nafasi...

READ MORE

Mohamed Salah Asaini Mkataba Mpya Liverpool Hadi 2027

Mohamed Salah asaini kandarasi mpya na Liverpool hadi mwaka 2027, hii ni baada ya miezi mingi ya uvumi kuhusu hatima...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Mmiliki wa Man United Wafanya Mazungumzo Ikulu Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Mmiliki wa Klabu ya Mpira wa...

READ MORE

Timu ya Mpira wa Pete ya OSHA Yatwaa Ubingwa Daraja la Tatu na Kupanda Daraja la Pili

  Kikosi cha mpira wa pete cha Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA Netball Club) kimetwaa ubingwa...

READ MORE

Nafasi ya Ushindi Unayo na Meridianbet Leo

Leo hii Europa League na Conference League hatua za Robo Fainali mechi za kwanza zinapigwa leo. Bashiri na Meridianbet ambapo...

READ MORE

Simba Yapiga Hesabu za Ubingwa Kombe la CAF

BAADA ya Simba kutinga hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika, uongozi wa timu hiyo umebainisha kuwa malengo makubwa...

READ MORE

Uwanja wa Benjamin Mkapa Wafungwa kwa Marekebisho ya Dharura

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetangaza rasmi kufungwa kwa muda wa Uwanja wa Benjamin Mkapa ili...

READ MORE

Simba Yapokea zawadi ya shilingi milioni 20 kutoka kwa kampeni ya Goli la Mama

Klabu ya Simba SC imepokea zawadi ya shilingi milioni 20 kutoka kwa kampeni ya Goli la Mama, mara baada ya...

READ MORE

Simba Yatinga Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika

Simba imetinga hatua ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kufuatia ushindi wa penalti 4-1 dhidi ya Al...

READ MORE

Fei Toto Rasmi Aadaliwa Kumrithi Aziz Ki Yanga

INAELEZWA kuwa upo uwezekano mkubwa wa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephene Aziz Ki wa kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Kwa...

READ MORE

Simba kushuka dimbani leo kuikabili Al Masry ya Misri Kwa Mkapa

Klabu ya Simba SC ya Tanzania leo inatarajiwa kushuka dimbani kuikabili Al Masry ya Misri katika mchezo wa marudiano wa...

READ MORE