×

Michezo

Simba Yapiga Hesabu za Ubingwa Kombe la CAF

BAADA ya Simba kutinga hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika, uongozi wa timu hiyo umebainisha kuwa malengo makubwa...

READ MORE

Uwanja wa Benjamin Mkapa Wafungwa kwa Marekebisho ya Dharura

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetangaza rasmi kufungwa kwa muda wa Uwanja wa Benjamin Mkapa ili...

READ MORE

Simba Yapokea zawadi ya shilingi milioni 20 kutoka kwa kampeni ya Goli la Mama

Klabu ya Simba SC imepokea zawadi ya shilingi milioni 20 kutoka kwa kampeni ya Goli la Mama, mara baada ya...

READ MORE

Simba Yatinga Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika

Simba imetinga hatua ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kufuatia ushindi wa penalti 4-1 dhidi ya Al...

READ MORE

Fei Toto Rasmi Aadaliwa Kumrithi Aziz Ki Yanga

INAELEZWA kuwa upo uwezekano mkubwa wa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephene Aziz Ki wa kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Kwa...

READ MORE

Simba kushuka dimbani leo kuikabili Al Masry ya Misri Kwa Mkapa

Klabu ya Simba SC ya Tanzania leo inatarajiwa kushuka dimbani kuikabili Al Masry ya Misri katika mchezo wa marudiano wa...

READ MORE

Chinese Tiger Kasino Yenye Bonasi Kubwa

Meridianbet inakuletea mchezo wa kasino ya mtandaoni uliotengenezwa kwa mandhari ya Kichina, kama jina la sloti hii. Tiger wanajitokeza kama...

READ MORE

Al Ahly, Mamelodi na Pyramids Watinga Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa

Mabingwa watetezi, Al Ahly, Mamelodi Sundowns na Pyramids usiku wa kuamkia leo Aprili 9, 2025 wamefuzu kwenda hatua ya nusu...

READ MORE

Nani Kukupatia Mkwanja Mechi za UEFA Leo?

Kama kawaida leo ni piga nikupige, pale Emirates kitawaka vilivyo yaani kila mtu anapigania pointi 3. Huku Bukayao Saka, kule...

READ MORE

Simba: Hatutaki Aibu Mkapa, Mwarabu Lazima Atoke Robo Fainali

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kwa namna yoyote watamlazimisha Mwarabu kuondoka katika hatua ya robo fainali kwa kupata matokeo...

READ MORE

Edna Lema Afichua Mazungumzo Yake na Rais Hersi Baada ya Mchezo Dhidi ya Coastal Union

KOCHA Mkuu wa Yanga Princess, Edna Lema ambaye kwa sasa yupo kwenye benchi la ufundi la timu ya Wanaume Edna...

READ MORE

Simba Yatangaza Vita Dhidi ya Al Masry “Unyonge Robo Fainali Basi Tena”

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa unyonge kwenye mechi za kimataifa hatua ya robo fainali unatosha na sasa mpango mkubwa ni...

READ MORE

Singida Black Stars Yawazima Azam FC Liti, Yapunguza Tofauti ya Pointi

UONGOZI wa Singida Black Stars umeonyesha masikitiko kuwafunga matajiri wa Dar, Azam FC bao moja kwenye mchezo wa Ligi Kuu...

READ MORE

Leo Ndiyo Siku! Mechi Kubwa, ODDS Kubwa, Ushindi Mkubwa!

Mechi kali leo hii Duniani zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS...

READ MORE

Simba Yamtangaza Karia Kuwa Mgeni Maalumu Dhidi ya Al Masri Uwanja wa Mkapa

Klabu ya Simba imemtangaza Rais wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF), Wallace Karia kuwa Mgeni maalumu kwenye Mchezo wao wa...

READ MORE

Tusua Kijanja na Meridianbet Leo kwenye mechi za leo

Mechi kali leo hii Duniani zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS...

READ MORE

Sowa Acharuka Ligi Kuu, Yanga Wamtamani Msimu Ujao

MSHAMBULIAJI Jonathan Sowa mali ya Singida Black Stars inayotumia Uwanja wa Liti kwa mechi za nyumbani balaa lake limezidi kuwa...

READ MORE

Stars Yashuka viwango vya soka duniani, Argentina Nafasi ya Kwanza

Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA limetoa viwango vipya vya soka duniani ambapo timu ya Taifa Tanzania Taifa Stars imeshuka kwenye...

READ MORE

Kazi ya Kila Siku ni Moja Tu, Kucheza Blackjack Live

Mchezo wa Blackjack Live        Watengenezaji wa michezo ya kasino mtandaoni Expanse Studios, inakuletea mchezo rahisi kucheza na kushinda kupitia Meridianbet...

READ MORE

Ali Kamwe Akamatwa Na Polisi Tabora, Atupwa Selo, Kauli Yake Iliyomponza Ni Hii Hapa – Video

Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe, amekamatwa na vyombo vya usalama kwa tuhuma za kutoa lugha chafu...

READ MORE

Cheza Kasino Ufukweni Huku Ukishinda Mamilioni

Safari za utalii huwa zinanoga sana haswa mnapokuwa na vibe la kutosha, Meridianbet inakupeleka kutalii ukiwa na waongozaji mahari kwenye...

READ MORE

Kocha wa Simba Aahidi Kuwasha Moto Misri Kesho Dhidi ya Al Masry

FADLU Davids, Kocha Mkuu wa Simba ameweka wazi kuwa mchezo wao dhidi ya Al Masry hautakuwa mwepesi kulingana na wapinzani...

READ MORE

Yanga Yawafuata Tabora Kamilikamili Kukiwasha Kesho Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora, Yanga wamekwea pipa kamili kuwafuata Tabora United...

READ MORE

Kocha Simba Atamba Kupata Ushindi dhidi ya Al Masry ya Misri

FADLU Davids, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya kupata ushindi kwenye mchezo wao wa Kombe...

READ MORE

Tabora United Waitambia Yanga mchezo wa ligi ‘Tunahitaji Pointi Tatu’

UONGOZI wa Tabora United umeweka wazi kuwa mpango mkubwa ni kuvuna pointi tatu kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Yanga...

READ MORE

CAF Yauruhusu Uwanja wa Benjamin Mkapa Kutumika

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeuruhusu uwanja wa Benjamin Mkapa kutumika kwa michezo inayosimamiwa na Shirikisho hilo baada...

READ MORE

Simba, Yanga Zagongana Kwa Mshambuliaji Mghana

WATANI wa jadi Simba na Yanga kwenye hesabu za kuboresha eneo la ushambuliaji inatajwa kuwa wamegongana kuwania saini ya raia...

READ MORE

CHE Malone Out Simba, Kuwakosa Waarabu

BEKI wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids yupo nje kwenye mipango ya timu hiyo inayojiandaa kuwakabili...

READ MORE

Kocha Yanga: Jonathan Ikangalombo ni Mchezaji Hatari

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi amesema kuwa anaamini nyota Jonathan Ikangalombo atafanya kazi kubwa ndani ya timu hiyo kutokana...

READ MORE

Ahmed Ally: Tiketi za Constantine Kutumika Dhidi ya Al Masry ya Misri

Klabu ya Simba , imewatangazia mashabiki wake walionunua tiketi kuelekea mchezo wao wa hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho...

READ MORE

Morocco Yafuzu kombe la Dunia la FIFA 2026, Yaipiga Stars 2-0

Timu ya taifa ya Morocco imekuwa Taifa la kwanza kufuzu kombe la Dunia la FIFA 2026 kufuatia ushindi wa 2-0...

READ MORE

Ellie Mpanzu: Bado Sijafikia Ubora Wangu wa Asilimia 100

WINGA wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids, Ellie Mpanzu ameweka wazi kuwa bado hajafikia ubora wake...

READ MORE

Yanga Kamili Kuikabili Singida Black Stars leo

WALTER Harison, Meneja wa Yanga amesema kuwa Wananchi watapata burudani ambayo waliikosa kwa muda kutokana na mchezo wa kirafiki dhidi...

READ MORE

NBC Kutumia Mchezo wa Gofu Kuchochea Ushirikiano wa Kibiashara

Mkuu wa majeshi Mstaafu na Muasisi wa mashindano ya Gofu ya NBC Waitara Trophy, Jenerali George Waitara (katikati) akikabidhi zawadi...

READ MORE

Jumapili ya Kutusua na Meridianbet ni Leo

Mechi kali za Mataifa Duniani leo hii zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua...

READ MORE

Bondia Mkongwe George Foreman Afariki Dunia

Bingwa wa mara mbili wa mkanda wa dunia wa uzito wa juu na mshindi wa medali ya dhahabu ya Olimpiki,...

READ MORE

Kibu Dennis Avunja Ukame wa Mabao Baada ya Siku 494

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Kibu Dennis aliyeyusha siku 494 ambazo ni wiki 70 bila kufunga bao kwenye Ligi Kuu Tanzania...

READ MORE

Kikosi cha Yanga Kuifuata Singida Black Stars Kesho

INAELEZWA kuwa msafara wa Yanga unatarajiwa kuondoka Jijini Dar es Salaam kesho Jumamosi kwa Treni ya SGR hadi Mkoani Dodoma...

READ MORE

Piga Pesa Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia

Mabingwa wa odds kubwa Tanzania wanakukaribisha Meridianbet uwe na moja wa watu ambao wanaweza kujiondokea na zaidi ya Mamilioni leo...

READ MORE

Saleh Jembe Awatolea Uvivu Yanga, Ashangaa Kwenda CAS – Video

Mchambuzi wa soka nchini, Saleh Jembe ameeleza kuwa klabu ya Yanga SC wanapaswa kufuata utaratibu maalum katika uwasilishwaji wa malalamiko...

READ MORE