×

Michezo

Mo amaliza kazi Simba, Waarabu Kazi Wanayo

LOLOTE liwe kudaadek! Kesho Jumamosi Simba itakuwa uwanjani kuivaa Al Ahly katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini habari...

READ MORE

Willian, Ozil wapasua usajili wa PSG

WAKATI dirisha la usajili likitarajiwa kufungwa usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Paris Saint-Germain ilikuwa ikipambana kuhakikisha inamsajili winga wa Chelsea,...

READ MORE

Yanga Dozi Juu Ya Dozi, Yaibuka Biashara United

YANGA, jana Alhamisi iliibuka na ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Biashara United na kufanikiwa kufuzu Hatua ya 16 Bora...

READ MORE

OKWI AUNDIWA TUME MAALUM MISRI

WAKATI homa ya mechi ya kimataifa ya mabingwa Afrika kati ya Simba na Al Ahly ikizidi kupamba moto, imebainika kuwa...

READ MORE

Kibarua cha Sarri matatani, Arsenal yatinga ‘top 4’

KOCHA Maurizio Sarri sasa yupo katika wakati mgumu kutokana na kupambania kibarua chake, hiyo ni baada ya kushuhudia kikosi chake...

READ MORE

JUVENTUS YA RONALDO YAPIGWA 3-0

MABINGWA mara nne wa Kombe la Italia, Juventus, usiku wa kuamkia jana walijikuta wakipoteza mchezo na kuondolewa kwenye michuano hiyo...

READ MORE

Real Madrid Yamtengea Rashford Bilioni 302

KLABU ya Real Madrid bado haijakata tamaa katika mchakato wake wa kuwania kumsajili mshambuliaji Marcus Rashford ambapo ipo tayari kutoa...

READ MORE

MAKAMBO, AJIBU WAFICHWA KISA MECHI YA SIMBA FEB 16

WACHEZAJI wote wa Yanga wakiwemo Ibrahim Ajibu na Heritier Makambo hawataonekana mitaani wala kwenye makazi yao mpaka mechi na Simba...

READ MORE

JORDAN HENDERSON HAVUMI L AKINI YUMO

LIVERPOOL ni miongoni mwa timu zinazotisha kwenye Ligi Kuu England msimu huu wa 2018/19. Kuna dalili timu hiyo inayofukuzana vikali...

READ MORE

YANGA KUKIPIGA NA BIASHARA TAIFA LEO

YANGA ambayo kikosi chake chote kiko fiti inashusha mziki wote leo Alhamisi usiku kwenye Uwanja wa Taifa dhidi ya Biashara...

READ MORE

Morata Kuanza na Real Madrid

ALVARO Morata, ambaye amejiunga na Atletico Madrid kwa mkopo, ataanza kuonyesha cheche zake dhidi ya timu yake ya zamani, Real...

READ MORE

Yanga SC Princess Wameanza Kunoga

KOCHA Mkuu wa Yanga Princess inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake inayodhaminiwa na Serengeti lite, Hamis Kinonda, amedai kuwa itamaliza katika...

READ MORE

Kigogo Kiboko ya Waarabu Ang’atuka Simba

KiGOGO wa Simba ambaye aliwahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Kassim Dewji ambaye amewahi kuwa mbabe...

READ MORE

Zahera Aleta Bonge la Kiungo Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amefunguka kuwa ili kumfanya kiungo wake, Feisal Salum ‘Fei Toto’ awe na uwezo wa...

READ MORE

Mbelgiji: Nyie Yanga Tunakuja Kuchukua Ubingwa

  KOCHA mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems ya ameweka wazi kuwa akili yake ipo kwenye mambo mawili tu kwa...

READ MORE

Zahera: Sasa Tupo Safi Kila Idara

KOCHA mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amefungukia furaha aliyonayo baada ya wachezaji wake waliokuwa wanasumbuliwa na majeraha kuwa fiti.  ...

READ MORE

Uchaguzi wa Yanga giza nene, Simba kazi ipo

UNAWEZA kusema kwa sasa kuna wingu zito kuhusiana na hatma ya uchaguzi wa Klabu ya Yanga kutokana na kwamba haijfahamika...

READ MORE

Ole Gunnar Solskjaer Naitaji Ubingwa Man United

KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer amesema yeye mawazo yake siyo kumaliza kwenye nne bora mwishoni mwa msimu bali...

READ MORE

Simba sawa Al Ahly wagumu, ila mkijaribu inawezekana

NDANI ya wiki iliyopita, kulikuwa na mambo mengi kwelikweli kwenye medani ya soka ambayo yalitokea. Ndani ya siku saba tu,...

READ MORE

Kakolanya Aandika Barua Yanga, Aomba Kuondoka – Video

  UONGOZI wa timu ya Yanga umesema kuwa bado suala la mlinda mlango, Beno Kakolanya linashughulikiwa na wanasheria ili kuweka...

READ MORE

Kindoki Ampisha Kabwili, Aanza na Biashara…

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amesema kuwa kipa wake Ramadhani Kabwili yupo fiti hivi sasa na kesho Alhamisi...

READ MORE

Wawa Awakimbia Waandishi Uwanja – Video

BEKI kisiki wa Simba, Pascal Wawa raia wa Ivory Coast, jana Jumanne aliwakwepa waandishi wa habari wasimpige picha wala wasimfanyie...

READ MORE

Kauli Za Ovyo Za Manara Haziendani Na Matokeo Ya Ovyo Ya Simba

MOJA kati ya vitu ambavyo vinachangia mchezo wa soka kuingiza fedha kwenye baadhi ya nchi au baadhi ya maeneo ni...

READ MORE

CAVS YAICHAPA BULLS KWA POINTI 104-101

JORDAN Clarkson na Alec Burks kila mmoja alifunga pointi 18, Cedi Osman akaongeza 17 na Cleveland Cavaliers ikamaliza mwendo wa...

READ MORE

Mkude, Tshabalala watupwa nje Simba

KIUNGO mkabaji wa Simba, Jonas Mkude na beki wa pembeni wa timu hiyo, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, wameondolewa kwenye orodha ya...

READ MORE

JKT Queen Bado Haikamatiki Ligi Ya Wanawake

LIGI Kuu ya Wanawake Tanzania Bara, moto wake unazidi kushika kasi kwa timu shiriki kupambana kwa kiasi kikubwa kuwania ubingwa...

READ MORE

Mbelgiji ampitisha Mnamibia Simba

KOCHA wa Simba, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji amefunguka kuwa kama akiamua kumsajili mchezaji mmoja kwa sasa ndani ya kikosi...

READ MORE

NDIMBO ATEULIWA NA CAF KUWA MSEMAJI WAKE

  Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), limemteua Afisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo  kuwa Afisa Habari wa mchezo wa...

READ MORE

Zahera Ajipanga Kuiharibia Simba

BAADA ya hivi karibuni, Yanga kushindwa kufanya vizuri katika michuano ya SportPesa iliyofikia tamati jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini...

READ MORE

Simba Yafunguka Hatima ya Aussems

WALE mashabiki wa Simba ambao wanataka kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Patrick Aussems atimuliwe kutokana na matokeo mabaya ambayo...

READ MORE

WALIOTOROKA SIMBA WALIMWA BARUA

MAMBO ni moto ndani ya Simba! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya uongozi wa timu hiyo kuwachukulia hatua wachezaji wote...

READ MORE

PIENAAR: UKITAKA KUWA BORA LAZIMA UPAMBANE NA WALIO BORA – VIDEO

MMOJA wa wachezaji ambao wamekuwa ni nembo ya Afrika Kusini ni Steven Pienaar ambaye alicheza kwa muda mwingi katika kikosi...

READ MORE

MAJONZI! SALA ALIVYOTUMBUKIA NA NDEGE YAKE KWENYE BWAWA LA KEMIKALI!

NI majanga! Inaelezwa kuwa ndege iliyopotea na straika matata Emiliano Sala inawezekana isipatikane tena baada ya kuzama ndani ya maji...

READ MORE

Beki Mghana Azam FC ampa matumaini Pluijm

BEKI wa kati wa Azam FC, Mghana, Daniel Amoah, amerejesha matumaini kwenye kikosi cha Mholanzi, Hans van Der Pluijm kinachoshiriki...

READ MORE

Mipango ya Mbelgiji Atakavyowaingia Waarabu

KOCHA wa Simba, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji, ameweka wazi kuwa licha ya kutumia mechi za SportPesa kama sehemu ya...

READ MORE

KK SHARKS MABINGWA WAPYA WA SPORTPESA CUP

KIKOSI cha KK Sharks kutoka Kenya leo kimetwaa ubingwa wa SportPesa Cup baada ya kushinda mchezo wa fainali dhidi ya...

READ MORE

Tumeaibika kwelikweli! Michuano Ya SportPesa Cup

  LEO Jumapili, fainali ya michuano ya SportPesa Cup inafanyika katika ardhi ya Tanzania huku timu zinazoshindania kombe zote zikiwa...

READ MORE

Shushushu Simba Avujisha Siri za Mastaa Waliotoroka…

HIVI karibuni uongozi wa Simba unadaiwa kuajiri shushushu kimyakimya bila ya wachezaji wa timu hiyo na benchi la ufundi kujua...

READ MORE

Mastaa Yanga wavunja Ukimya, Tambwe Amtaja Kakolanya

BAADA ya Yanga kupokea vichapo mfululizo, mastaa wa timu hiyo wamevunja ukimya na kuwaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa...

READ MORE

Zahera Ajibu Mapigo ya Kakolanya

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, ameweka wazi kuwa hafurahishwi na maneno ya wadau wa soka kuhusu uwezo wa Klaus...

READ MORE