×

Michezo

Matokeo UEFA: Real Madrid Yabanwa Mbavu Ugenini

ITALY: Ligi ya Klabu Bingwa Barani Ulaya imeendelea tena usiku wa kuamkia leo ikiwa bado katika hatua za makundi huku...

READ MORE

Picha: Thomas Mashali Alivyozikwa Jijini Dar Leo

Hatimaye mwili wa bondia Thomas Mashali umezikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar mchana huu. Picha zote na Boniphace Ngumije...

READ MORE

Mamia Wauaga Mwili wa Bondia Mashali Leaders Club

MAMIA ya waombolezaji wakiwemo mabondia wenzake wamejitokeza kuuaga mwili wa bondia Thomas Mashali ‘Simba Asiyefugika’ katika Viwanja vya Leaders Club...

READ MORE

Kikosi cha Yanga SC Leo Dhidi ya Mbeya City Kiko Hapa

Kikosi cha Yanga SC Leo Dhidi ya Mbeya City Kiko Hapa 1. Deogratius Munishi2. Hassani Kessy3. Mwinyi Haji4. Andrew Vicent5....

READ MORE

UEFA: Arsenal Wanusurika, Waichapa Ludogorets Razgrad 3-2 Dakika ya 87

Mesut Ozil alifunga bao la dakika za lala salama na kuwawezesha Arsenal kutoka nyuma ambapo mwanzoni walikuwa wamepigwa 2-0 na...

READ MORE

Video ya Magoli Yote: Barcelona Alivyochezea Kichapo cha 3-1 Kutoka kwa Man City

Messi akijaribu kujikunjua shuti.Man City wakishangilia bao.De Bruyne (No 17) akiifungia Manchester City dakika ya 51, baada ya kupiga free-kick....

READ MORE

Maneno ya Schweinsteiger Baada ya Mourinho Kumrejesha Kikosini

Manchester: IKIWA ni siku moja tu baada ya Kocha Jose Mourinho kumrudishwa kikosini na kuanza kufanya mazoezi kwenye kikosi cha...

READ MORE

Mourinho Amrudisha Schweinsteiger, Luke Shaw Amtabilia Makubwa Kikosini

MANCHESTER: Hatimaye kiungo Bastian Schweinsteiger amerejea kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza cha Man United baada ya kufanya mazoezi mwenyewe...

READ MORE

Gareth Bale Aongeza Mkataba Mpya Real Madrid

Real Madrid imemsainisha mkataba mpya winga wake Gareth Bale na kumfanya aendelee kudumu klabuni hapo mpaka 2022. Bale ambaye mchezaji...

READ MORE

Yanga Yaishushia Kichapo cha Mabao 3-0 Mbao FC

Wachezaji wa Yanga wakishangilia ushindi baada ya kuichapa mabao 3-0 timu ya Mbao FC kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania...

READ MORE

Kikosi cha Yanga SC Kitakachoivaa Mbao FC Leo

1. Deogratius Munishi2. Hassani Kessy3. Mwinyi Haji4. Andrew Vicent5. Vicent Bossou6. Mbuyu Twite7. Simon Msuva8. Haruna Niyonzima9. Amisi Tambwe10. Obrey...

READ MORE

Yanga Wakanusha Manji Kujiuzulu

Uongozi wa Young Africans Sports Club umekanusha habari ambazo zimekuwa zikisambazwa zikisema Mwenyekiti wa Young Africans Sports Club amejiuzulu wadhifa...

READ MORE

Yanga Yamwangukia Kocha Hans van Pluijm Kujiuzulu, Yamuomba Arejee Klabuni

DAR ES SALAA: Uongozi wa Klabu ya Yanga, umelezimika kumuangukia aliyekuwa kocha wake, Hans van der Pluijm na hii ni...

READ MORE

Kagera Sugar: Kipa na Beki Wasimamishwa kwa Kupokea Rushwa Ili Wafungwe na Yanga

Uongozi wa Kagera Sugar umewasimamisha wachezaji wake wawili golikipa Hussein Sharif ‘Casillas’ na beki Erick Kyaruzi kwa tuhuma za kuihujumu...

READ MORE

Mourinho ashtakiwa na FA kwa kumuingilia refa

KOCHA Mkuu wa Manchester United, Jose Mourinho ameshtakiwa na Shirikisho la Soka Nchini Uingereza, FA kwa kudai kwamba itakuwa vigumu...

READ MORE

EFL: West Ham Waibomoa Chelsea na Vurugu Zatanda Uwanjani

ENGLAND: West Ham wamefika hatua ya robo fainali Kombe la EFL baada ya kudhihirisha ubabe wao na kuwalaza Chelsea 2-1...

READ MORE

Man U Walipa Kisasi kwa Man City, Waiondoa EFL

MANCHESTER, ENGALD: Manchester United walifika hatua ya robo fainali katika Kombe la EFL baada ya kuwalaza mabingwa watetezi Manchester City...

READ MORE

Mourinho Aichapa Man City Kombe la EFL

Kikosi cha Manchester United kinachoongozwa na Jose Mourinho usiku huu kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Manchester City....

READ MORE

Full Time: Yanga 4-0 JKT Ruvu

DAKIKA 90 za mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliopigwa katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kati ya...

READ MORE

Serikali Imesitisha Suala La Mabadiliko Ya Ukodishwaji Ndani Ya Yanga, Simba

 Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kupitia katibu mkuu wake, Mohamed Kiganja akiongea na wanahabari.   Serikali imetangaza kuzuia mchakato...

READ MORE

Kauli ya Vicent Bossou Baada ya Kujiuzulu kwa Kocha Hans Van Der Pluijm

DAR ES SALAAM: Beki wa Yanga, Vincent Bossou raia wa Togo ameweka wazi hisia zake kwamba wao hawataathiriwa na kitendo...

READ MORE

Huu Ndiyo Mtihani wa Kwanza kwa Mwambusi Leo

DAR ES SALAAM: Kocha Juma Mwambusi ndiye ataiongoza Yanga katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu JKT kwenye...

READ MORE

Nahodha wa Timu ya Soka ya Brazil Afariki Dunia

Aliyewahi kuwa nahodha wa timu ya taifa ya soka ya Brazil, Carlos Alberto Torres amefariki dunia jana Oktoba 25, 2016 akiwa...

READ MORE

Washindi wa Tuzo Ligi Ya La Liga msimu wa 2015-16

Mshambuliaji, Antoine Griezmann ndiye mwanasoka anayependwa zaidi na mashabiki katika Ligi Kuu Hispania. Mshambuliaji nyota wa FC Barcelona, Luis Suarez...

READ MORE

Hatimaye Kocha Mkuu wa Yanga Awaaga Wachezaji na Benchi la Ufundi

HATIMAYE ikiwa ni siku moja baada ya aliyekuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans, Hans van...

READ MORE

Hawa Ndiyo Washindi wa Tuzo za La Liga Msimu wa 2015/16

Tuzo za La Liga Award 2015/2016 zilitolewa rasmi usiku wa Oktoba 24, 2016, tuzo za wachezaji na makocha waliofanya vizuri...

READ MORE

Maneno ya Conte Kuhusu Kuwakejeli Man United

Meneja wa klabu ya Chelsea ya Uingereza Antonio Conte amesema hakuwa anakusudia “kumkejeli yeyote” baada yake kuonekana akitaka kumkeresha zaidi...

READ MORE

Mbali na Kumshusha Kocha Mzambia, Yanga Yamleta CEO Mpya

Klabu ya Dar es Salaam Young Africans ‘Yanga’ imeendelea kuchukua vichwa vya habari kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya...

READ MORE

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm Ajiuzulu

Ikiwa ni takribani wiki mbili tangu kuanza kusambaa kwa taarifa kuhusu hatma ya Kocha Mkuu wa Klabu ya Dar es...

READ MORE

Thomas Ulimwengu Aondoka TP Mazembe, Sasa Kuzisaka Klabu za Ulaya

Klabu ya TP Mazembe ya Jahmhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambayo alikuwa akiichezea Mtanzania, Mbwana Samatta anayekipiga kunako Ubelgiji, jana...

READ MORE

Makundi Mawili ya Tuzo ya Ballon d’Or Yatangazwa, Bale, Ronaldo Wayaongoza

Wanatarajia kutangazwa wachezaji 30 katika tuzo ya mwanasoka bora duniani ambayo imerejeswa na itaendelea kusimamiwa na Jarida la France Footbal....

READ MORE

Kocha Mzambia Asaini Miaka 2 Yanga Kuchukua Mikoba ya Pluijm

Kwa mujibu wa kituo cha redio E-FM, mtangazaji Maulid Kitenge ametangaza Kocha wa Klabu ya Zesco United, George Lwandamina amesaini...

READ MORE

Video: Manji Atangaza Rasmi Kuahirisha Mkutano Wa Yanga

Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusufu Manji akitoa tamko lake kwa wanahabari (hawapo pichani). Mkutano na wanahabari ukiendelea. Baadhi ya...

READ MORE

Kikosi Cha Simba SC Vs Mbao FC Leo

Vincent Angban Janvier Bokungu Mohamed Hussein Juuko Murushid Method Mwanjali Jonas Mkude Shiza Kichuya Mzamiru Yassin Laudit Mavugo Ibrahim Migomba...

READ MORE

Neymar Kuongezewa Mkataba Mpya Ijumaa Hii

Uongozi wa klabu bingwa ya LaLiga 2015/2016 ya Barcelona umefikia makubaliano na mshambuliaji wa timu hiyo, Neymar ya kumuongezea mkataba...

READ MORE

UEFA: Barcelona Wamuadhibu Kocha Wao wa Zamani

Lionel Messi akishangilia mojawapo ya mabao yake. KIKOSI cha Barcelona kikiwa nyumbani jana usiku kilimdhalilisha kocha wao wa zamani anayeifundisha...

READ MORE

Wazee wa Yanga Wazidi Kumkaba Koo Manji (Picha&Video)

Katibu wa Kamati ya Muafaka ya Wazee wa klabu hiyo, Ibrahim Akilimali akizungumza na wanahabari. Wanahabari wakichukua tukio hilo. WAZEE...

READ MORE

Tambwe: Huyu Kichuya ni Hatari Aisee

KASI ya kuzifumania nyavu ya winga wa Simba, Shiza Kichuya aliyonayo sasa katika Ligi Kuu Bara, imempagawisha mshambuliaji wa Yanga,...

READ MORE

Mwamuzi Aliyepigwa Tanga Atoka Hospitali

YULE mwamuzi aliyechezea kichapo kutoka kwa mashabiki wa Coastal Union, Jumapili iliyopita, Thomas Mkombozi ameripotiwa kuendelea vizuri kiafya baada ya...

READ MORE