×

Music Videos

VIDEO MPYA:Nisahaulishe – Amini

  Msanii Toka Tanzania Amini baada ya kimya chake cha muda mrefu hatimaye amekuja na kukata kiu ya mashabiki kwa...

READ MORE

VIDEO MPYA:Nicki Minaj Anaifungua Weekend Yako na ‘Hard White’

  Rapa wa kike Nicki Minaj toka lebo ya Young Money ameileta video mpya ya Hard White.   Wimbo wa...

READ MORE

VIDEO MPYA : Ruby – Alele

  Mmoja kati ya wanadada wenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni ni pamoja na Ruby, utafurahia kuona alichokifanya kwenye video...

READ MORE

Utawakubali Weusi Toka Chuga Kwenye ‘Wapoloo’ Video Mpya

  Kundi bora la muziki Tanzania Weusi linaloundwa na Joh Makini, Nikki Wa Pili, G Nako pamoja na Lord Eyez...

READ MORE

Zamu Ya AY Kutesa Na Victoria Kimani Kwenye ‘Loving You’ Video Mpya

  AY ametupia macho Kenya na kumkamata mwanadada Victoria Kiman kumshirikisha kwenye video ya wimbo wake mpya, ‘Loving You’  ...

READ MORE

Izzo Bizness Ameanza Mwaka Na ‘Pepa’ Video Mpya

  Mbeya City Boy maarufu kama Izzo Bizness ameileta video yake mpya, ‘Pepa’ akiwa  pamoja na Gosby.   Video imeongozwa...

READ MORE

Harmonize Avutwa Mpaka Nigeria Kwenye ‘Body Work’ Video Mpya

  The Beat Boss ‘Young D’ amempa shavu msanii toka lebo ya WCB, Harmonize kwenye wimbo wa Body Work akiwa...

READ MORE

Mbosso Mpaka Kenya Kwenye Kolabo Ya ‘Mastory’Video Mpya

  Msanii Gabu toka Kenya ametupia macho katika Lebo ya WCB na kumwona msanii Mbosso, akamualika kwenye wimbo wa Mastory....

READ MORE

Barnaba Ashine Kwenye ‘Washa’ Video Mpya

  Baada ya kuileta audio na kufanya vizuri, msanii Barnaba Boy ametokelezea kwenye video mpya ya Washa.   Video imeongozwa...

READ MORE

Ugaidi Wa Billnass, Roma Kwenye ‘Funga Geti’ Video Mpya

  Utaipenda video mpya ya ‘Funga Geti’ toka kwa Billnass pamoja na Roma, kolabo yao ya kufungua mwaka 2019.  ...

READ MORE

Mapenzi Yamtesa Nuh Mziwanda Kwenye ‘Natapatapa’ Video Mpya

  Msanii wa bongo fleva, Nuh Mziwanda akubali mapenzi yanamtesa kwenye video ya wimbo wake mpya Natapatapa.   “Nayapenda sana...

READ MORE

Professor Jay, Victoria Kimani Wameungana Kuileta ‘Woman’ Video Mpya

  Mbuge wa Mikumi, ‘Joseph Haule’ maarufu kama Professor Jay ameungana na msanii maarufu toka Kenya Victoria Kimani kwenye wimbo...

READ MORE

Future Kadondosha Bonge Moja La Trap Ya ‘Rocket Ship’ Video Mpya

  Rapa Future ameidondosha video ya wimbo wake mpya Rocket Ship.   Rocket Ship imetoka kwenye album yake mpya ya...

READ MORE

Utakubali Alichokifanya Lil Wayne Kwenye ‘Don’t Cry’ Video Mpya

  Rapa Lil Wayne ameileta video ya wimbo wake mpya Don’t Cry akiwa na marehemu XXXTentacion.   Wimbo huo unapatikana...

READ MORE

Vanessa Mdee Ameileta Kolabo Ya Mwaka ‘That’s For Me’ Video Mpya

  Vanessa Mdee aungana na wasanii toka Afrika ya Kusini ambao ni Distruction Boyz, Dj Tira na Prince Bulo kwenye...

READ MORE

Mr Blue Aungana Na Nandy Kwenye ‘Blue’ Video Mpya

  Muunganiko wa Mr Blue na Nandy umetupatia jina la video ya wimbo unaoitwa ‘Blue’.   Video imetengenezwa nchini Afrika...

READ MORE

Rasmi Mbosso Anakukaribisha Kuitazama ‘Tamu’ Video Mpya

  Msanii toka WCB, ‘Mbosso’ anaifanya wikiendi yako kuwa safi kwa video yake mpya ya Tamu.   Kenny toka Zoom...

READ MORE

Nay Wamitego Anakukaribisha Kuitazama ‘Mbele Kwa Mbele’ Video Mpya

  Rasmi Emanuel Elibariki maarufu kama Nay Wamitego ameachia video ya kwanza kwa mwaka 2019 ya wimbo wake mpya, Mbele...

READ MORE

Video Mpya Toka Kwa Tyga, ‘Floss In The Bank’

Baada ya kufikia mauzo ya Platinum mara tatu na wimbo wake wa ‘Taste’ T-Raw yupo tayari kukukaribisha kuitazama video ya...

READ MORE

Isha Mashauzi Anaitambua ‘Thaman Ya Mama’ Video Mpya

  Mwanamama Isha Mashauzi ameitambua thamani ya mama kwenye video ya wimbo wake mpya.   Video imeongozwa na Kheri One....

READ MORE

Kimya cha Miaka 8, Westlife Waibuka na Video Mpya ‘Hello My Love’

  IKIWA ni baada ya kukaa kimya kwa miaka 8 bila kutoa ngoma huku mashabiki wao wakijiuliza ni nini kimewasibu...

READ MORE

Utafuirahia Kumuona Yemi Alade Kwenye ‘Oga’ Video Mpya

  Mwanadada Yemi Eberechi Alade maarufu kama Yemi Alade amefungua mwaka kwa kuileta video mpya ya ‘Oga’ ambayo audio aliiachia...

READ MORE

Beka Flavour Ameileta ‘Finally’ Video Mpya

  Msanii aliyekuwa analiunda kundi la Yamoto Bandi Beka Flavour amekuja na video yake mpya Finally ya kwanza kwa mwaka...

READ MORE

Mbosso Athibitisha Ujuzi wa Mapenzi Kwenye ‘Pieces Remix’ Video Mpya

  Msanii toka WCB ‘Mbosso’ amepata nafasi ya kushiriki kwenye video ya wimbo mpya wa Pieces Remix ya mwanadada Chikune...

READ MORE

Chris Brown Athibitisha Unyama Wake Kwenye, ‘Undecided’ Video Mpya

  Staa wa R&b ‘Chris Brown’ amekuja na video ya wimbo wake wa ‘Undecided’ ambao umetokea kupendwa kwa muda mfupi...

READ MORE

Video: Shoo Ya Harmonize Mombasa Usipime (Part 1 &2)

 Msanii kutoka WCB, Rajab Abdul ‘Harmonize’ alifanya shoo ya aina yake mwezi Desemba 2018 Mombasa nchini Kenya huku akiwaimbisha...

READ MORE

Patoranking Amefungua Mwaka Na ‘Everyday’ Video Mpya

  Msanii toka Nigeria Patoranking anakukaribisha kwa furaha kuitazana video ya wimbo wake Everyday Video imetengenezwa na Clarence Shot  ...

READ MORE

Marioo Ameisogeza Ya Kufungia Mwaka ‘Wauwe’ Video Mpya

  Mwisho kabisa wa mwaka 2018 msanii wa Bongo Fleva ‘Marioo’ ameisogeza video mpya ya wimbo wake ‘wauwe’   Video...

READ MORE

Young Dee Aliwasha, ‘Noma Kweli’ Video Mpya

  Zawadi nyingine ya sikukuu, ‘Noma Kweli‘ toka kwa Young Dee ambapo ndani amedondosha bonge la unyama.   Video imeongozwa...

READ MORE

Belle 9 Amepewa Shavu Kwenye ‘Kwa Kule’ Video Mpya

  Itazame video mpya ‘Kwa kule’ ya Gib Cartel aliyomshirikisha Belle 9 na kufanya unyama humo ndani.   Video imetengenezwa...

READ MORE

Goodluck Gozbert Anakukaribisha Kuitazama ‘Kama Si Wewe’ Video Mpya

  Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili Goodluck Gozbet ameileta video ya wimbo wake mpya, ‘Kama si wewe‘   Video...

READ MORE

Zawadi Ya Sikukuu Toka Kwa Young Killer ‘Wakipekee’ Video Mpya

  Furahia sikukuu za Krismas na mwaka mpya kwa zawadi ya video mpya, ‘Wakipekee‘ toka kwa Young Killer Msodoki akiwa...

READ MORE

Kama Ulimmisi Mh Temba, Ameileta Hii ‘Kulikoni’ Video Mpya

  Mh Temba baada ya kimya cha muda mrefu, ameamua kuileta video ya wimbo wake mpya, ‘Kulikoni’   Video imeongozwa...

READ MORE

Mrembo Tanna Baby Anakukaribisha Kuitazama ‘Tunaendana’ Video Mpya

  Baada ya mafanikio mazuri ya wimbo wake wa ‘nipe’ alioufanya na Walter Chilambo, ndio yamemfikisha kwenye mabadiliko ya video...

READ MORE

August Alsina Arudi Tena Na ‘Like You Love Me’ Video Mpya

  Msanii August Alsina ameileta video mpya ya ‘Like You Love Me‘ baada ya kimya cha muda mrefu.    ...

READ MORE

Marioo Amwaga Sifa Kwa Huyu Mrembo Kwenye ‘Ifunanya’ Video Mpya

  Msanii wa bongo fleva, ‘Marioo‘ ameileta video mpya ya ‘Ifunanya‘  iliyoongozwa na Hanscana toka Tanzania.     Tumekuwekea hapa...

READ MORE

Fuse ODG wa Ghana Aja na ‘African Girl’ – Video Mpya

  MSANII Nana Richard Abiona maarufu kama ‘Fuse ODG‘ toka Ghana amekuja na video ya wimbo wake mpya wa ‘African Girl’...

READ MORE

Rapa Meek Mill Anakukaribisha Kuitazama Video Mpya ya ‘Trauma’

  Robert Rihmeek Williams maarufu kama Meek Mill toka Philadelphia, Marekani,  ameileta video mpya ya ‘Trauma‘ inayopatikana kwenye albam yake...

READ MORE

Toka WCB, Lava Lava Ameileta ‘Niuwe’ Video Mpya

Utafurahia kuitazama video ya wimbo mpya wa Lava lava toka WCB unaokwende kwa jina la ‘Niuwe‘, Video imeongozwa na Hascana,...

READ MORE

Mo Music Yupo Tayari Kuileta ‘Naiona Kesho’ Video Mpya

Msanii wa Bongo Fleva, Mo Music ameileta video ya wimbo wake mpya, ‘naiona kesho‘.   Video imeongozwa na Xaimaco.  ...

READ MORE