×

Music Videos

VIDEOMPYA:Yemi Alade, Rick Ross ‘Oh My Ghosh Remix’

  Ni mwendo wa party ndani ya video mpya Oh My Ghosh Remix toka kwa mwanadada Yemi Alade toka Nigeria...

READ MORE

VIDEOMPYA:Tanasha Wa Diamond Kaimba Hii ‘Radio’

  Time ya kuipimia video mpya ‘Radio‘ toka kwa mchumba wa Dimaond Platnumz ‘Tanasha Donna‘ toka Kenya akiwa ameshirikiana na...

READ MORE

VIDEOMPYA:Alikiba Atemana Na Mpenzi Wake ‘Mbio’

  Msanii Alikiba Boss wa Kings Music ameileta Brand new video inajulikana kwa jina la Mbio.   Alikiba ameelezea wimbo wake...

READ MORE

VIDEOMPYA:Chege, Vanessa Mdee Vibe la ‘Manjegeka’

  Furahia kuitazama video ya wimbo mpya ‘Manjegeka‘ wa Chege Chigunda akiwa na Vee Money aka Vanessa Mdee wameileta Manjegeka...

READ MORE

VIDEOMPYA: Aslay Kwenye Mapenzi Mazito ‘Nichombeze’

  Video mpya ya Aslay inaitwa Nichombeze.   Video imeongozwa na Joowzey   TAZAMA VIDEO HAPA 

READ MORE

VIDEOMPYA:Barnaba Classic Achoka ‘Nyang’a Nyang’a’

  Msanii Barnaba Boy anakukaribisha kuitazama video ya wimbo wa Nyang’a Nyang’a.   Video imeongozwa na Msafiri toka Kwetu Studio....

READ MORE

VIDEO MPYA:Diamond Platnumz Kakupa Ujumbe Kwa Umpendaye, ‘The One’

  Boss wa WCB, Diamond Platnumz ametoa video ya wimbo wake mpya The One kwenye Pasaka ya pili.   Ametoa...

READ MORE

VIDEOMPYA: Alikiba, Ommy Dimpoz & Cheed Bata La Rockstar

  Alikiba, Ommy Dimpoz pamoja na Cheed toka Kings Music wameileta video mpya kumkaribisha Cheed kwenye Lebo ya Rockstar na...

READ MORE

VIDEOMPYA: Harmonize, Yemi Alade ‘Show Me What You Got’

  Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize ameileta video mpya ‘Show Me What You Got‘ akiwa na mwanadada toka Nigeria...

READ MORE

VIDEOMPYA: Darassa Arusha Jiwe Gizani Kwenye ‘Relax’

  Video mpya ya msanii Darassa ‘Relax‘ inasemekana ni jiwe lililotupwa gizani kwenda kwa wapinzani wake kwenye game ya muziki....

READ MORE

VIDEOMPYA: Darassa, Maua Sama Wapoteza Kwenye Mapenzi

  Msanii Darassa ameachia video ya wimbo wake mpya ‘tumepoteza’ akiwa na Maua Sama   Video imeongozwa na Hansana toka...

READ MORE

VIDEOMPYA:Darassa, Jux Waisifu ‘Leo’ Na Warembo Kama Wote

Msanii Darassa ameileta video ya wimbo wake mpya akiwa na Juma Jux, inaitwa Leo.   Video imeongozwa na Hanscana toka...

READ MORE

VIDEOMPYA: Linex Afurahia Familia Na Akothee ‘Baraka’

  Itazame video mpya ya Akothee na Linex toka Tanzania, wameileta video ya wimbo wao mpya Baraka.   Video imetengenezwa...

READ MORE

VIDEOMPYA:Shetta, Mzee Wa Bwax Ndani Ya Uswahilini

  Msanii Shetta wameungana na mfalme wa uswazi, Mzee wa Bwax kwenye video ya wimbo wao mpya wa Uswahilini.  ...

READ MORE

VIDEOMPYA: Belle 9 Amerudi Tena Na For You

  Msanii wa muziki wa bongo fleva Belle 9 amerudi tena, na kwa mwaka 2019 ameileta video ya wimbo mpya...

READ MORE

VIDEOMPYA: Nandy Azimika Kwa Willy Paul ‘Hallelujah’

  Nandy ameamua kuzama kabisa kwa msanii toka Kenya ‘Willy Paul‘ kwenye swala la biashara baada ya wimbo wao wa...

READ MORE

VIDEOMPYA: Dogo Janja Atoa Story Inayomhusu Demu Wake ‘Yente’

  Dogo Janja ameileta video inayoongelea stori yake na demu wake kwenye mahusiano yao.   “YENTE ni story inayohusu Demu...

READ MORE

VIDEOMPYA: Hamisa Mobetto Adhihirisha Mapenzi Ya Kweli ‘My Love’

  Msanii wa kike Hamisa Mobetto ameileta video ya wimbo wake mpya My Love, ambapo humo ndani amemwaga sifa pamoja...

READ MORE

VIDEOMPYA: Rosa Ree Alivyojiachia Kwenye Club Banger ‘Dip And Whine’

  Rapa wa kike bongo Rosa Ree ameileta video ya ngoma yake mpya Dip And Whine ambayo inafanya powa katika...

READ MORE

VIDEO MPYA: Harmonizer, Sara Mahaba Kama Yote Ndani Ya ‘Niteke’

  Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize toka lebo ya WCB ameonyesha mautundu ya mapenzi kwa mpenzi wake Sara ndani...

READ MORE

VIDEO MPYA: Ommy Dimpoz Aja Na Ujumbe Kwa Wapendanao, ‘Your The Best’

  Baada ya msanii Ommy Dimpoz kuwa na hali nzuri kiafya na kuachia wimbo wake wa shukrani, ‘Ni Wewe‘, muda...

READ MORE

VIDEO MPYA: MISS BELLA – SEPA, IPO HAPA

 MSANII wa Bongo Movies na muziki nchini, Isabela Mpanda ‘Miss Bella’ ameileta video ya wimbo wake mpya, ‘SEPA’. Produced:...

READ MORE

VIDEOMPYA:Queen Darleen Awataja Wema, Zari, Uwoya, Ndani Ya Muhogo

  Queen Darleen toka WCB ameileta video ya wimbo wake mpya, ‘Muhogo’ kwa mara ya kwanza kwa mwaka 2019.  ...

READ MORE

VIDEO MPYA:Aslay – nyang’anyang’a

  Aslay Isihaka Nassoro maarufu kama Aslay ameisogeza video ya wimbo wake mpya Nyang’a nyang’a.   Video imeongozwa na Justin...

READ MORE

VIDEO MPYA:Harmonize, Diamond Platnumz & Burnaboy Kwenye Kainama

  Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize ameileta video ya wimbo wake wa kainama  aliofanya na boss wake Diamond Platnumz...

READ MORE

VIDEO MPYA:Shilole, Aslay Ndani Ya Ukintekenya

  Mwanamuziki wa kike Zena Yusuf Mohammed maarufu kama Shilole, ameileta nyimbo yake mpya kwa mwaka 2019 Ukintekenya ambayo amemshirikisha...

READ MORE

VIDEO MPYA: Darassa, Marioo Kwenye ‘Chanda Chema’

  Msanii Darassa ameendeleza mfumo wake wa kuangusha ngoma na video tokwa mwaka 2019 kuanza.Now ameisogeza Chanda Chema akiwa amemshrikisha...

READ MORE

VIDEO MPYA: Jux Atoa Ujumbe Kwa Wapenzi Wote, ‘Incase You Don’t Know’

  Msanii wa Tanzania Juma Jux amevuka boda mpaka Kenya kumfwata Nyashinski na kumshirikisha kwenye wimbo wake wa Inscase You...

READ MORE

VIDEO MPYA:Navy Kenzo Waja Na Club Banger ‘Roll It’ Itazame Hapa

  Kundi bora la muziki Tanzania linaloundwa na Aika pamoja na Nahreel wameileta video ya wimbo wao mpya Roll It....

READ MORE

VIDEO MPYA:Lava Lava – Tukaze Roho

  Msanii toka WCB Lava Lava ameileta video ya wimbo wake mpya Tukaze Moyo.Video imeongozwa na Kenny toka Zoom Production....

READ MORE

VIDEO MPYA:Fid Q Ft Isha Mashauzi, Rich Mavoko – Bambam

  Rapa Fareed Kubanda maarufu kama Fid Q kwa mara ya kwanza ndani ya mwaka 2019 ameileta kolabo ya Bambam...

READ MORE

VIDEO MPYA:Walichokifanya Meek Mill, Drake Kwenye ‘Going Bad’ Hapa

  Rapa Meek Mill toka Philadelphia baada ya mauzo yake mazuri ya album yake ya ‘Championships’ muda huu ameileta video...

READ MORE

VIDEO MPYA:G Nako, Aslay Na Rich Mavoko Wamlilia ‘Edda’

  Rapa toka kundi la Weusi, G Nako amewashirikisha Aslay na Rich Mavoko kwenye video yake mpya ya Edda.  ...

READ MORE

VIDEO MPYA:Future Abeba Pesa na Toroli Kwenye ‘Never Stop’

  Rapa toka Atlanta Nayvadius DeMun Wilburn maarufu kama Future ameileta video ya wimbo wake ‘Never Stop’.   Wimbo huo...

READ MORE

VIDEO MPYA:Rayvanny, Diamond Platnumz Watisha Kwenye ‘Tetema’

  Msanii Rayvanny toka WCB akiwa na Boss wake ‘Diamond Platnumz’ kwenye video yao ya pamoja kwa mwaka 2019 ‘Tetema’....

READ MORE

VIDEO MPYA:Barnaba, Damian Soul Wamtukuza MuNGU ‘Asante’

  Msanii toka Tanzania Barnaba Boy akiwa na Damian Soul wamerudisha shukrani kwa muumba wao kwenye video ya asante.  ...

READ MORE

VIDEO MPYA:Usipime Bata La Chris Brown, Trey Songz Kwenye ‘Chi Chi’

  Msanii toka Marekani Tremaine Aldon Neverson, maarufuka kama Trey Songz amemvuta Chris Brown kwenye video ya wimbo mpya wa...

READ MORE

VIDEO MPYA:Ommy Dimpoz Arudisha Shukrani Kwa Muumba Wake ‘Ni Wewe’

  Msanii Omary Faraji Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz, ameamua kurudisha shukrani kwa muumba wake kupitia wimbo wake wa Ni...

READ MORE

VIDEO MPYA:Linex, Lady Jay Dee Kwenye ‘Too late’

  Komando Lady Jaydee amepata nafasi ya kushiriki kwenye wimbo mmoja wa too late na msanii Linex toka Kigoma.  ...

READ MORE

VIDEO MPYA:Tazama Nandy Alivyojiachia Kwenye ‘Hazipo’

  Zao la THT mwanadada Nandy ameileta video ya wimbo wa hazipo unaopatikana kwenye album yake ya ‘The African Princess...

READ MORE