×

Latest News

JEURI SAKATA LA NYUMBA… MOBETO AMUONESHA MONDI

DAR ES SALAAM: Fedha inaongea! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mzazi mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

BREAKING: BWENI LATEKETEA KWA MOTO MERU KWA DC MURO – VIDEO

Bweni la Shule ya Sekondari Mlangarini iliyopo katika wilaya ya Meru limeungua moto asubuhi ya leo na kusababisha kuteketea kwa...

READ MORE

KISA SIMBA… Kocha AS Vita Ampigia Simu Zahera

MUDA mfupi tu baada kuona amepangwa kundi moja na Simba SC kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha Mkuu wa AS...

READ MORE

BELLA, RUBY, JIDE, MOBETO WALIVYOFUNIKA USIKU WA MASAUTI

Mashabiki wa burudani usiku wa kuamkia leo walipata uhondo wa aina yake kwenye tamasha la Masauti Luxury lililofanyika Life Club...

READ MORE

ZARI AMMALIZA TANASHA, KIFUA, MVUTO

  AMEMMALIZA! Ndivyo walivyoamua wafuasi wa aliyekuwa mpenzi wa Diamond (Nasibu Abdul), Mganda Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ alipowekwa...

READ MORE

Cheka Apigwa Kwa ‘Knock Out’ na Dulla Mbabe ( PICHA +VIDEO)

Usiku wa kuamkia leo Jumapili, bondia Francis Cheka alichezea mkong’oto kwenye pambano lake na  Abadallah Pazi aka Dulla Mbabe katika Ukumbi...

READ MORE

PUMZIKA KWA AMANI IKUPA NGAO

Tunasikitika kutangaza kifo cha mwanafunzi mwenzetu wa Chuo Kikuu cha Tumaini wa Shahada ya Kwanza ya Mawasiliano ya Umma (...

READ MORE

Bibi Msela ‘Chalii wa Arusha’ Akimuelezea Babu wa Loliondo – Video

Bibi maarufu katika jiji la Arusha mwenye misemo yote ya vijana wa Arusha, ambaye ni mfanyabiashara wa ndizi anayefahamika kwa...

READ MORE

NAIBU WAZIRI KILIMO ATEMBELEA MAGHALA YA KOROSHO PWANI

…Mgumba akizungumza na viongozi wa vyama vya ushirika wa Mkoa wa Pwani.    Naibu Waziri  wa Kilimo, Mhe. Omary Mgumba...

READ MORE

Nedy Music Anakukaribisha Kuitazama ‘Zungusha’ Video Mpya

  Msanii wa Bongo Fleva, Nedy Music anakukaribisha kuitazama video ya wimbo wake mpya, ‘Zungusha’.   Video imetengenezwa South Africa...

READ MORE

Mahakama Yapiga Chini Kesi ya Rushwa ya Hussein Gulamali

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Singida imetupilia mbali kesi ya rushwa iliyokuwa ikimkabili mfanyabiashara, Haidar Hussein Gulamali baada ya...

READ MORE

PICHA YA KWANZA YA MUONEKANO WA MTOTO WA RICK ROSS, ‘BILLION’

  Novemba 6 mwaka huu rapa Rick Ross alifanikiwa kupata mtoto wa kiume, ‘Billion Leonard Roberts’ na mwanadada Briana Camille...

READ MORE

Benki ya Biashara ya DCB yang’ara tuzo za NBAA

    Benki ya Biashara ya DCB imeahidi kuendelea kubuni na kuboresha huduma na bidhaa zake hususani huduma za kidigitaji...

READ MORE

ONA ALICHOFANYIWA NA HUYU DADA WAKATI ANATAKA KUTUMBULIWA JIPU – VIDEO

Hii ni shida kubwa mtaani, mwenzio anaumwa jipu, badala ya kumsaidia unamfanyia hivi, kwa nini lakini jamani?

READ MORE

Kakolanya Mguu Mmoja Simba

HABARI mbaya kwa mashabiki wa Yanga ni kwamba, kuna uwezekano kipa namba moja wa timu hiyo, Beno Kakolanya akatua Simba...

READ MORE

SERIKALI CHINA YAPIGA MARUFUKU HARUSI ZA KIFAHARI

SERIKALI ya China ipo mbioni kudhibiti ongezeko la harusi za kifahari ambazo zimekuwa zikishamiri katika miaka ya karibuni.    Kwa...

READ MORE

YAJUE MAHABA YA WANAWAKE WA SIKU HIZI

Waliosema mapenzi yana-run  dunia hawakukosea kwa sababu kila mwaume anahitaji mwanamke wa kuwa naye katika safari ya maisha na kuwa...

READ MORE

BAADA YA MUME TAJIRI KUFARIKI..MKE, MKWE PACHIMBIKA!

MAANDIKO katika Qurani Tukufu yanasema mali zetu, wake zenu na watoto ni fitna kwenu; na kweli mali za mfanyabiashara tajiri...

READ MORE

WATEJA WA TIGO KUFANYA MALIPO KWA MFUMO WA KIELETRONIKI WA MALIPO SERIKALINI (GePG)

 Wateja wa Kampuni ya Tigo, sasa wanaweza kufanya malipo kutumia mfumo wa Kielektroniki wa Malipo Serikalini (GePG) baada ya kampuni...

READ MORE

Hawa Ndo Watu Watano wa Ajabu Zaidi Kuwahi Kutokea Duniani – Picha

Unaweza kufikiri umewahi kuona vitu vya ajabu, vingine vikiwa katika picha zilizotengenezwa makusudi kwa kompyuta.  Lakini picha zifuatazo zilipigwa kabla...

READ MORE

MAMA: UMAARUFU WA MOBETO NILIUONA MAPEMA

 MAMA wa mwanamitindo mwenye jina kubwa Bongo, Hamisa Mobeto, Shufaa Rutiginga ‘Mama Mobeto’, ameibuka na kusema kuwa aliuona umaarufu wa...

READ MORE

VUNJA BEI WANAGAWA TU VYOMBO, UKISOSA NI UZEMBE WAKO!

Mwanamichezo Vunja Bei ameamua kuhakikisha watu wanapata vyombo vya ndani kwa bei nafuu akitengeneza ofa mbalimbali.   Mambo ni moto!...

READ MORE

Rasmi: Manji ‘OUT’ Yanga, Hagombei Chochote, Watano Wajitosa Kumrithi

Wanachama na mashabiki wa Yanga sasa wanapaswa kujiandaa kisaikolojia kuishi maisha bila Yusuf Manji baada ya jina la mwenyekiti huyo...

READ MORE

MPAKA MAREKANI? AY ANATISHA!

 WASANII wa Af­rika ambao katika miaka ya hivikaribuni wamepata umaarufu sana na kusi­fika kwamba ni matajiri ni Davido na P...

READ MORE

NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA KIWANDA CHA UREJERESHAJI KISARAWE

    NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Joseph Sokoine, ametembelea kiwanda cha urejereshaji (recycling) kinachojengwa Kisarawe mkoani Pwani...

READ MORE

TRA Imekuja na Hii Mpya, Mpaka Tutaelewa Tu! – Video

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema ipo katika mchakato wa kuweka elimu ya kodi katika mitaala ‘syllabus’ ya elimu nchini...

READ MORE

Shein Aipongeza China Kwa Kusaidia Maendeleo Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Watu wa...

READ MORE

Forbes Laorodhesha Vijana Wenye Vipaji Chini Ya Miaka 30 Kwa 2019

Jarida maarufu la kiiashara ‘Forbes’ limetoa orodha ya vijana 30 wenye chini ya umri wa miaka 30 wenye vipaji vikubwa...

READ MORE

NYUMBA ALIMOFICHWA ‘MO’ YAFAHAMIKA, NI MBEZI BEACH DAR

NYUMBA inayodaiwa kuwa ndimo alifichwa mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo’ baada ya kutekwa na watu ambao bado hawajajulikana hadi leo ipo...

READ MORE

HOTEL YA MAREHEMU ABDALLAH KIGODA YATEKETEA KWA MOTO

HOTELI ya aliyekua Mbunge wa Handeni mkoani Tanga marehemu Abdalah Kigoda inayoitwa Bwawani imeteketea kwa moto leo Ijumaa, Novemba 9,...

READ MORE

BOOMPLAY, UNIVERSAL MUSIC GROUP WATANGAZA USHIRIKIANO KATIKA USAMBAZAJI MUZIKI  

Universal Music Group inakuwa kampuni ya kwanza kuingia mkataba na jukwaa linaloongoza kwa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki barani...

READ MORE

Mashabiki Man U Wachukizwa na Mourinho Kuhusu Penalti ya Pogba

PAMOJA na kurejea katika mstari wa kujiweka sawa baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Juventus ya Italia, Manchester United ambayo...

READ MORE

Mtanzania Rebeca Gyumi Atunukiwa Tuzo ya Haki za Binadamu ya UN

REBECCA GYUMI, mwanaharakati wa haki za wanawake na wasichana nchini Tanzania pamoja na watu wengine wawili na shirika moja la...

READ MORE

EXCLUSIVE: MTOTO WA MASOGANGE AFUNGUKIA KIPAJI CHAKE/AMTAJA DIAMOND

  SANIA SHABAN mtoto wa marehemu Agnes Masogange ambaye alikuwa msanii wa muziki na mwigizaji, ameweka wazi kwamba anapenda kuimba...

READ MORE

AMBER RUTTY Ajisalimisha Polisi na Bwana’ke – Video

MUUZA nyago kwenye video za Bongo Fleva, Amber Rutty amejisalimisha katika Kituo cha Polisi Mbagala, wilayani Temeke kutii maagizo ya...

READ MORE

RC MAKONDA ATANGAZA FURSA KWA VIJANA WATAALAM WA IT

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, anawaalika wote wenye utaalam wa Teknolojia ya Habari yaani (Information Technology...

READ MORE