×

Vichekesho

Majipu hadi kwenye ndoa?

Sasa mambo yamepamba moto, hii ishu ya kutumbua majipu imefika mahala pake dahh. Juzi nilipata kazi ya kuwa mshenga. Rafiki...

READ MORE

Oya jombaa… usifosi kiatu cha kushoto mguu wa kulia!

Inakuwaje wakali wangu wa nguvu? Oya masela barida? Basi kipande hii haina kwikwi chaliiangu. Ni mpango mzima makachaa wangu. Ebana...

READ MORE

Ziara hizi za kushtukiza, khaa!

Mimi ni msomaji mzuri wa magazeti na msikilizaji mzuri wa redio, huwa naangalia runinga mara chache nikibahatika kupita mahala kuna...

READ MORE

Oya mwana… samaki haliwi kwa kijiko!

Oya masela inakuwaje washkaji zangu? Mpo biyee wanangu? Kitaa hii haina kwikwi wadau wangu. Basi kama vepe barida! Mazee welikamu...

READ MORE

Mtoto wa mjini naishi kama digidigi!

Ukisikia sentensi imeanza na Wahenga walisema…usiipuuze. Hawa wazee wa zamani walitunga misemo enzi hizo wakati hata baiskeli hawaijui, lakini maneno...

READ MORE

Oya mwana usiringie uzuri, ringia bahati

Inakuwa nene masela wangu? Kipande hii ni mzuksi kichizi arifu. Kama vipi welikamu kwa sana kwa fasi ya hapa jamvini...

READ MORE

Enzi zetu weee acha tu!

Enzi zetu ilikuwa raha sana, najua mtabisha maana mnajiona wajanja, lakini aise mmekosa mengi sana. Siku hizi shida tupu, nikikumbuka...

READ MORE

Najua zilikokwenda zile kontena

Yaani we acha tu. Nimekaa hapa nafikiria wapi zilikopotelea kontena mia tatu arobaini na tisa. Inahitaji akili sana kupoteza kontena...

READ MORE

Magufuli kanikata stimu, dah!

Dah nimechanganyikiwa kabisaaa. Akili haifanyi kazi, yaani dah hata sijui nianzie wapi. Picha imekuwa chengachenga kabisa. Unajua kiukweli, nilikuwa nimepanga...

READ MORE

Katuni

READ MORE

Kumbe Pawa Benki si lolote!

JUZIJUZI nilirudi kijijini kwetu kwenda kuwaona wazazi, na pia kushtaki kwani mambo kazini yalikuwa hayaendi sawasawa kabisa. Si unajua tena...

READ MORE

Katuni

READ MORE

Oyaa masela… yatima hadeki!

Wanangu wa kitaani kwa fasi ya kijiweni inakuwa nini wazazi wenyewe? Si ni mpango mzima? Basi barida. Kama vepe sogea...

READ MORE