The House of Favourite Newspapers

HUYU NDIYE MPENZI MPYA WA NICKI MINAJ, BYE BYE MEEK MILL (PICHA)

Rapa wa kike Nicki Minaj ametumia  ukurasa wake wa Instagram kumtambulisha mpenzi wake mpya, Keneth Petty Mwenye umri wa miaka 40, baada ya wiki kadhaa nyuma (Nov 25) kuonekana na mwanaume huyo na kukawa na tetesi kwamba wawili hao wapo pamoja.

 

Nicki Minaj ameonekana anayoo furaha katika mahusiano yake  mapya kwani alisherehekea siku yake ya kuzaliwa ambayo ametimiza miaka 36, siku ya jumamos Disemba 8,  akiwa na marafiki zake pamoja na boy wake mpya.

 

Nicki Minaj kipindi cha nyuma alikuwa na mahusiano na rapper mwenzake kutoka pande hizo za Philadelphia, ‘Meek Mill’ na baadaye Januari 5 mwaka huu waliachana.

 

Picha kibao za Nicki Minaj akiwa na Boyfriend wake mpya ‘Keneth Petty’ zipo hapo chini.

 

Comments are closed.