KIM AFUNGUKIA UHUSIANO KIMAPENZI
MUUZA nyago kwenye video mbalimbali za wanamuziki wa Bongo Fleva, Lilian Kessy ‘Kim Nana’ amesema watu wengi watakuwa wanajichanganya sana kwa kutaka kujua uhusiano wake wa kimapenzi wa sasa.
Akizungumza na globalpublishers.co.tz, Kim alisema kuwa, anawashangaa watu wanaokuwa bize kutaka kujua sasa hivi anatoka na nani jambo ambalo haliwahusu hivyo watakuwa kwenye wakati mgumu sana kwa sababu hayo ni maisha yake binafsi.
Stori: Imelda Mtema
Comments are closed.