Al Ahly Yatinga fainali Ligi ya Mabingwa Afrika, TP Mazembe Nje
Al Ahly ya Misri imetinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa jumla wa 3-0 dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo kwenye nusu fainali.
Al Ahly imeungana na Esperance Tunis kwenye fainali. Mamelodi Sundowns wameondoshwa nje ya…