The House of Favourite Newspapers

Shuhudia Uzinduzi Rasmi wa Kihistoria wa Sokabet (Video)

0
Mratibu wa Sokabet, Franco Ruhinda (kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi huo, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Oxygen 8 ambao ni wabia wa Sokabet, Shane Leahy.

KAMPUNI ya Mchezo wa Kubahatisha ya Sokabet, leo Jumatatu imezinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam katika hafla fupi iyofanyika kwenye Hoteli ya Protea.

Katika uzinduzi huo, Sokabet wameingia makubaliano na kusaini mkataba wa kuidhamini Timu ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Majimaji ya Songea ambayo imekabidhiwa rasmi vifaa vya michezo na Sokabet kwa ajili ya Ligi hiyo.

Akizungumza wakati wa Uzinduzi huo, Mratibu wa Sokabet, Franco Ruhinda amesema Sokabet Jackpot imezinduliwa ikiwa na lengo la kukuza michezo hapa nchini na maendeleo na mapinduzi makubwa ya teknolojia katika michezo.

Sokabet ambayo inapatikana ndani ya tovuti ya www.sokabet.co.tz inatotoa nafasi kwa Watanzania kushinda hadi shilingi milioni 100.

 

Shane Leahy akizungumnza na wanahabari wakati wa uzinduzi huo.

Mbali na Sokabet Jackpot ambayo ukiweka Sh 1,000 tu, unatabiri matokeo kisha kusubiri mamilioni yako, ndani ya tovuti hiyo kuna mambo mengi mazuri yanayohusisha kubashiri matokeo.

JINSI YA KUTOA FEDHA ZAKO

Unapokuwa umebashiri na kushinda, kiasi ulichoshinda kitaingizwa kwenye akaunti yako ndani ya tovuti hiyo na utakiona kila utakapoingia.

Ukishaingia kwenye akaunti yako, utaona salio lililopo, ukitaka kulitoa, bonyeza kwenye jina lako, itatokea orodha ya vitu mbalimbali kuhusu akaunti hiyo, nenda sehemu iliyoandikwa ‘WITHDRAW’, ipo upande wa kulia, ukibonyeza itakuletea sehemu ya kujaza kiasi cha fedha unachotaka kutoa.

 

Mwenyekiti wa Klabu ya Majimaji, Steven Ngonyani akizungumza wakati wa uzinduzi huo.

Ukishajaza, kwa chini utaona sehemu imeandikwa ‘WITHDRAW MONEY’, bonyeza hapo na fedha itatoka muda huohuo kuingia kwenye simu yako.

SH 200 INAKUPA MILIONI

Ukishaingiza fedha kwenye akaunti yako, unaweza kuanza kubashiri hata ukiwa na shilingi 200 tu ambayo itakuwezesha kupata mamilioni.

KUJIANDIKISHA NI BURE

Ingia www.sokabet. co.tz bonyeza sehemu ya ‘SIGN UP’, jaza nafasi chache zilizo wazi, ukimaliza utatumiwa namba yako ya siri kwa njia ya SMS.

 

Mchezaji wa zamani wa Majimaji, Steven Mapunda ‘Garincha’ ambaye kwa sasa ni kiongozi wa klabu hiyo.

Baada ya hapo utajerea sehemu ya kuingia ndani, yaani ‘LOGIN’, andika namba yako ya simu (uliyoijaza kwenye sehemu zilizo wazi) kisha ingiza namba ya siri ambayo ulitumiwa kwa njia ya SMS, hapo utakuwa umeshaingia kwenye akaunti yako rasmi.

Utakaporejea baadaye kufungua tovuti hiyo, hutakuwa na sababu ya kujiandikisha upya, badala yake utaingiza namba yako ya simu kisha namba ya siri tu basi.

KUINGIZA FEDHA NA KUBETI FANYA HAYA

Watumiaji wa Vodacom, bonyeza *150*00#, chagua namba 4 (lipa kwa M-Pesa), chagua namba 4 (weka namba ya kampuni), ingiza namba ya kampuni ambayo ni 335757, kisha ingiza kumbukumbu ambayo ni neno ‘Soka’.

Baada ya hapo utaingiza kiasi unachotaka kuweka, mfano, Sh 1,000 au 5,000 na kuendelea, utamalizia kwa kuingiza namba yako ya siri na bonyeza namba 1 ili kukamilisha mchakato.

Kwa Tigopesa, kubonyeza *150*01#, chagua namba 4 (lipia bili), bonyeza namba 3 (ingiza namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, ingiza neno ‘SOKABET’, malizia na namba yako ya siri ya Tigopesa.

 

Mwakilishi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Kabora Mboya akizungumzia ujio wa Sokabet nchini Tanzania.

Kwa Airtel bonyeza *150*60#, chagua namba 5 (lipia bili), bonyeza namba 4 (namba ya kampuni), ingiza namba 335757 kisha ingiza kiasi cha fedha, itakwambia ingiza kumbukumbu namba (hapa ingiza neno ‘Soka’), kisha namba yako ya siri ya Airtel Money.

Hapo utakuwa umeshajaza salio kwenye akaunti yako ya Sokabet tayari kwa ajili ya kuanza kubashiri.

JACKPOT YENYEWE INAKUPA SH MILIONI 100

Nikukumbushe tu kuwa pamoja na vipengele vingine vingi ili ushiriki kipengele cha kushinda hadi Sh milioni 100 unatakiwa ufanye yafuatayo;

Ingia www.sokabet. co.tz kisha utatakiwa kuingia kwenye akaunti yako (kama umeshajisajili), baada ya hapo juu kabisa kushoto utaona kuna sehemu imeandikwa JACKPOT, bonyeza hapo na itatokea orodha ya mechi unazotakiwa kubashiri ili ujishindie Sh milioni 100.

Unatakiwa kupatia matokeo ya mechi 13 tu. Idadi ya mechi za jumla ni 16, hizo 3 nyingine ni za ziada tu ambazo haziwezi kuathiri zile 13 ulizobashiri. Hizo tatu za ziada zinawekwa ili zijumuishwe kwa dharura endapo itatokea kuna mechi ndani ya zile 13 haikufanyika au haikumalizika.

 

Wanahabari wakifuatilia tukio hilo.

UKIKOSEA MECHI CHACHE NDIYO BASI?

Ikitokea wabashiri wamepatia michezo 12 kati ya 13 basi watapatiwa Sh milioni 5 (Sh 5,000,000) watakaopatia mechi 11 watapatiwa Sh milioni 2 (Sh 2,000,000).

NAMBA YA BAHATI 335757

Kumbuka namba 335757 ambayo ni namba ya kampuni ni muhimu kuiweka kichwani lakini ukikwama popote ndani ya Sokabet, wasiliana na namba ya huduma kwa wateja ambayo ni 0654705555.

PICHA NA AMANI MADEBE NA RICHARD BUKOS | GPL

=====

Kumbuka kuwa ili kujiunga na kubashiri ili kuvuna fedha unatakiwa kutembelea tovuti ya www.sokabet.co.tz ambapo humo ndani una nafasi ya kushinda hadi shilingi milioni 100 kwa kuweka Sh 1,000 tu.

SHUHUDIA UZINDUZI HUO.

 

Leave A Reply