The House of Favourite Newspapers
gunners X

Makamu wa Rais Nchimbi Aadhimisha Krismasi Parokia ya Mt. Petro, Oysterbay

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameungana na Waumini mbalimbali katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Sherehe ya Noeli (Krismasi), iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro, Osterbay Jijini Dar es Salaam. Tarehe 25 Desemba 2025.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameungana na waumini mbalimbali katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Sherehe ya Noeli (Krismasi) lililofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro, Oysterbay, jijini Dar es Salaam, tarehe 25 Desemba 2025.

Makamu wa Rais alishiriki ibada hiyo pamoja na viongozi wa kanisa na waumini, kama ishara ya kuendelea kuimarisha umoja, upendo na amani katika kipindi cha maadhimisho ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo.

 

Leave A Reply