×

SBL Yatangaza Kupokea Maombi ya Ufadhili wa Masomo kwa Wanaosomea Kilimo

    IKIWA ni sehemu ya kuunga mkono jitihada za kuongeza mchango wa sekta ya kilimo kwenye uchumi wa nchi,...

READ MORE

Wapinzani wa Yanga CAF Waanza Kuchonga Ligi ya Mabingwa Afrika, Watoa Tamko

BAADA ya kutambulishwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa Zalan FC, Baping Alliab, ameanza kuchonga kwa kusema ataanza kufanya vema katika...

READ MORE

Zuchu Amjibu Kibabe Bosi Wake Diamond Kulipa Bil.10 Aondoke Wasafi

  Zuhura Othman almaarufu Zuchu; ni malkia mpya wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ambaye amejibu kauli ya bosi...

READ MORE

Oleksandr Usyk v Anthony Joshua II: Muingereza Ashindwa Kutwaa Taji ya Ubingwa wa Dunia -Video

JITIHADA za Muingereza Anthony Joshua kunyakua tena mataji ya uzito wa juu yaliyounganishwa ya dunia yalimalizika kwa mafadhaiko huku Oleksandr...

READ MORE

Rais Samia Atoa Salamu za Pole Kufuatia Kifo cha Mwanasiasa Mkongwe Mrema

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha mwanasiasa mkongwe Augustino Mrema ambaye amefariki asubuhi ya leo...

READ MORE

Meridianbet Walivyofunga Safari Kumshika Mkono Mgonjwa Buza

Unapokuwa katika wakati mgumu, unafaa kuwa na matumaini kuwa kuwa jamii yetu ni bora sana, na changamoto zako sio za...

READ MORE

Waziri Balozi Pindi Chana Azindua Mafunzo ya Maafisa Uhamiaji, Ataka Wadau Kucheza na Pasi ya Rais Samia

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Balozi Dkt.Pindi Chana amezindua Programu ya uimarishaji huduma kwa kupitia mafunzo kwa wadau walioko...

READ MORE

DC Zainab Kawawa, Mbunge Kilwa, Wapiga Jogging Kuhamasisha Sensa na Kuchangia Damu

  Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Zainab Kawawa akishirikiana na Mbunge wa Jimbo la Kilwa, Ali Kasinga wamefanya bonanza la...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la SpotiXtra Aug-21, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi ya hadi shilingi...

READ MORE

Waziri wa Mawasiliano Aiomba TTCL Kusaidia Maboresho ya Mawasiliano Zanzibar

WAZIRI wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Dk. Khalid Salum Mohamed ameliomba Shirika la Mawasiliano...

READ MORE

Katibu Mtendaji Baraza la Ushauri Watumiaji Huduma za Usafiri wa Anga Yuko Tayari Kuhesabiwa Agosti 23

Zikiwa zimebaki siku mbili kufikia like jambo letu la kitaifa, yaani Sensa ya Watu na Makazi linalotarajiwa kufanyika nchini more...

READ MORE

Putin Aruhusu Waangalizi wa Umoja wa Mataifa Kutembelea Kinu cha Nyuklia cha Zaporizhzhia

RAIS wa Urusi Vladimir Putin amekubali waangalizi na wakaguzi kutoka Umoja wa Mataifa kutembelea eneo la kinu cha Nyuklia la...

READ MORE

Simba Yatuma Salamu za Pole kwa Watani Wao wa Jadi Yanga Kufuatia Kifo cha Shabiki

KLABU ya soka ya Simba imetuma salamu za pole kwa Uongozi wa Klabu ya yanga kufuatia ajali iliyosababisha kifo cha...

READ MORE

10 Waripotiwa Kufariki Kwenye Mlipuko wa Bomu Ndani ya Hoteli, Mogadishu

WATU 10 wameripotiwa kufariki kufuatia mlipuko uliotokea kwenye Hoteli moja mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.   Serikali pamoja na vyombo...

READ MORE

Aubameyang, Fofana Wanukia Darajani, Lampard Atia Ngumu Kumuachia Gordon

KLABU ya Chelsea ya nchini Uingereza ipo mbioni kukamilisha usajili wa wachezaji Pierre Emerick Aubameyang kutoka Barcelona pamoja na mlinzi...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi Aug-13, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi ya hadi shilingi...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Agosti 20, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 19, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

RC Makalla Atangaza Oparesheni ya Kukamata Matumizi ya Mifuko ya Plastiki

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo August 19 ametangaza Operesheni ya kukamata Mifuko...

READ MORE

Kila Mtu Ana Nafasi Ya Kushinda Jackpot Meridianbet, Unafahamu Jackpot Ni Nini Na Namna Ya Kushinda?

Kwa mpenzi wa kubashiri mtandaoni, bila shaka hili ni jambo unalolitazama kwa jicho la tatu, Jackpoti zimekuwa ni kivutio cha...

READ MORE

Maafisa Watatu wa Serikali Wasimamishwa Kazi kwa Tuhuma za Rushwa

RAIS wa Liberia na mchezaji wa zamani wa soka George Weah amewasimamisha kazi maafisa watatu kwa kosa la ufisadi.  ...

READ MORE