×

Kamala Harris Amshambulia Donald Trump Kufuatia Kukamatwa kwa Maduro

Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani, Kamala Harris, amemshambulia vikali Rais Donald Trump kufuatia uamuzi wa serikali ya Marekani...

READ MORE

Polisi Wafunguka Ukweli wa Ajali ya Shilole Kigoma, Watoa Wito kwa Madereva

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limetolea ufafanuzi taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan TikTok, zikidai kuwa msanii wa...

READ MORE

Maisha ni Mazuri Ukibashiri na Meridianbet Leo

Wiki hii imekuwa nzuri sana kwa wale wanaoutumia Meridianbet kufanya ubashiri kwani timu za ushindi zipo hapa leo. ODDS KUBWA...

READ MORE

AFCON: Diarra Aang’ara, Mali Yaipiga Tunisia kwa Matuta 3–2 Yatinga Robo Fainali

Kipa Djigui Diarra na wenzake wa Timu ya Taifa ya Mali wametinga robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika...

READ MORE

Video: ‘Wachawi Walinigeuza Fisi Nibebe Maiti – Nimeteseka Zaidi Ya Miaka 14’ – Mtumishi Mathayo Darema

Katika kijiji cha Balangda, wilayani Hanang’, mkoani Manyara, anaishi Mathayo Darema, mtumishi wa Mungu mwenye ulemavu ambaye miaka mitatu iliyopita...

READ MORE

Operesheni ya kijeshi Iliyoiwezesha Marekani kumteka Nicolas Maduro

Nchini Venezuela, usiku wa kuamkia Januari 3, vikosi vya Marekani vilimteka Rais Nicolas Maduro katika shambulio kubwa lililoitwa “Absolute Resolve,”...

READ MORE

Arsenal Yaendeleza Moto Ligi Kuu England Yaichapa Bournemouth 3–2

Arsenal imeendelea kuonesha ubabe kwenye Ligi Kuu England baada ya kupata ushindi wa tano mfululizo, mara hii wakiichapa AFC Bournemouth...

READ MORE

Mlinda Mlango wa Nigeria, Stanley Nwabali Afiwa na Mama

Mlinda mlango shujaa wa Nigeria, Stanley Nwabali, amekumbwa na wingu zito la majonzi kufuatia kifo cha mama yake mzazi, aliyezikwa...

READ MORE

Trump Asema Marekani Itaiweka Venezuela Chini ya Usimamizi wa Mpito

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kwamba nchi yake itaiendesha Venezuela kwa kipindi cha mpito hadi itakapohakikisha kuna uhamisho wa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti leo Januari 4, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Waziri Sangu, Balozi UAE Wajadili Fursa za Ajira kwa Watanzania

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, amekutana na Balozi wa Jamhuri ya...

READ MORE

Makamu wa Rais Nchimbi Amtembelea Rais Mstaafu Amani Karume Zanzibar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemtembelea na kumjulia hali Rais Mstaafu wa...

READ MORE

Rais Samia Aizawadia Taifa Stars Milioni 500 Baada ya Kufuzu 16 Bora AFCON

Serikali kupitia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeizawadia timu ya Taifa (Taifa Stars) kiasi...

READ MORE

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Akutana na Viongozi wa TAMISEMI

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 03, 2026 amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI,...

READ MORE

Marekani Yafanya Shambulio Kijeshi Venezuela na Kumkamata Rais Maduro

Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa Marekani imefanya mashambulizi makubwa ya kijeshi dhidi ya Venezuela na kufanikiwa kumkamata Rais...

READ MORE

Museveni na Bobi Wine Wapishana Kauli, Joto la Uchaguzi Uganda Laanza Kupanda

Huku zikiwa zimesalia siku 13 kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Uganda kufanyika Januari 15, Rais Yoweri Museveni na mpinzani wake...

READ MORE

Shilole Apata Ajali Njiani Akitoka Kigoma Kurudi Dodoma

Msanii wa Bongo Muvi na mjasiriamali anayemiliki mgahawa maarufu wa Shishi Food, Zuwena Mohamed amepata ajali ya gari akiwa njiani...

READ MORE

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Akagua Ujenzi wa Madrasa Ali Ba Alawi Kiluvya – Video

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, amefika kukagua ujenzi wa Madrasa Ali Ba Alawi Kiluvya, ambayo miezi kadhaa iliyopita...

READ MORE

Ondoka na Mkwanja Mrefu Ndani ya Meridianbet

Siku ya leo mechi kibao za pesa zinaendelea  ndani ya Meridianbet huku wakali wa ubashiri Meridianbet wanakwambia hivi mtafutaji hachoki,...

READ MORE

Rais wa zamani wa Brazil Aruhusiwa Hospitali, Arudishwa Gerezani

Rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro ameondoka hospitalini katika Mji Mkuu wa Brasilia, wiki moja baada ya kufanyiwa upasuaji...

READ MORE