×

Rais Mwinyi Awataka Wananchi Washiriki Michezo kwa Afya na Maendeleo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika ujenzi na...

READ MORE

Nyimbo 10 Bora Zilizotikisa Afrika Mwaka 2025

Mwaka 2025 umekuwa mwaka wa muziki wa kipekee barani Afrika, ukiwakilisha mchanganyiko wa midundo ya zamani na ya kisasa. Hapa...

READ MORE

Bupandwa FC Yaibuka Mabingwa wa Bonanza la Shigongo kwa Penati 3–0

Timu ya Bupandwa FC imeibuka mshindi wa Bonanza la Shigongo la Kufunga Mwaka, baada ya kuichabanga Katwe FC kwa mikwaju...

READ MORE

TRC Yasitisha Safari za Treni ya SGR Kati ya Dodoma na Morogoro

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza kusitisha safari za treni ya mwendokasi (SGR) kwa ruti ya Dodoma – Morogoro kwa...

READ MORE

Ngoma za Moto! Amapiano na Vibe Zilizopendwa na Mashabiki 2025

Mwaka 2025 umeendelea kuonesha kwa nini Afrika Kusini ni moja ya nguzo kubwa za muziki barani Afrika. Kuanzia vilabu vya...

READ MORE

Leo ni siku nzuri Meridianbet Kupiga Pesa! Liverpool Wakipambana na Leeds United

Leo hii ni siku nzuri kabisa ya wewe mteja wa Meridianbet kuondoka na ubingwa hapa. Timu kibao zipo uwanjani kwaajili...

READ MORE

RC Mwassa Aongoza Dua ya Kuliombea Taifa Kata ya Katoro, Kagera

Dua maalum ya kuliombea Taifa iliandaliwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Farisi Buruhani,...

READ MORE

Watu 10 Wafariki, 18 Wajeruhiwa kwa Ajali mikese Morogoro

Watu 10 wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha magari mawili kugongana uso kwa uso, katika...

READ MORE

Morocco Vs Tanzania: Mchezo wa 16 Bora Unaotarajiwa Kushangaza Mashabiki

Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2025, inayoendelea nchini Morocco ni kati ya michuano isiyotabirika zaidi katika historia ya...

READ MORE

Sasa Kila Mzunguko Unamaana Na Meridian Panda Deluxe

Meridian Panda Deluxe ni ushahidi kwamba ubunifu hauhitaji kuwa mgumu ili kuvutia. Mchezo huu umejengwa juu ya wazo la urahisi...

READ MORE

Serikali Yaandaa Tume ya Maridhiano Kuimarisha Umoja wa Kitaifa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuwa Serikali imeanza maandalizi ya kuunda Tume ya...

READ MORE

Wawili Washikiliwa na Polisi Kufuatia Kifo cha Mtanzania Uturuki – Video

Kufuatia kusambaa kwa video mitandaoni ikimuonesha Mtanzania aliyefariki dunia baada ya kudondoka kutoka ghorofa ya 14 nchini Uturuki, umeibuka mjadala...

READ MORE

Januari Ilinipokea kwa Hofu ya Ada za Watoto, Hizi Ndizo Mbinu Nilizozitumia

Januari ilipofika, nilikuwa na wasiwasi mzito moyoni. Shule zilikuwa zinafunguliwa, lakini mfukoni sikuwa na kitu cha maana. Sikukuu zilinimaliza kifedha,...

READ MORE

Ukraine Yakanusha Shambulio la Droni Dhidi ya Makazi ya Putin, Urusi Yazidi Kudai

Serikali ya Ukraine Jumanne imekanusha vikali madai ya Urusi kuwa ilihusika na shambulio la droni lililolenga moja ya makazi ya...

READ MORE

Nyimbo 10 Bora Zilizotrend Tanzania 2025 – Hizi Ndizo Hits za Kila Mtu

Muziki wa Bongo Flava umeendelea kushikilia nafasi yake mwaka 2025, huku baadhi ya wasanii wakitoa hits ambazo zimetawala redio, YouTube,...

READ MORE

Akina Mama Sinza Watabasamu Kupitia Msaada wa Meridianbet Hospitali ya Palestina

Tabasamu na hisia za shukrani zilitawala katika Hospitali ya Palestina, Sinza jijini Dar es Salaam, baada ya Meridianbet kutoa msaada...

READ MORE

Uzinduzi Rasmi Wa Jukwaa Jipya La Mauzo Mtandaoni La ‘Samsungstore.Tz’

Mshirika wa Samsung Tanzania,  Mars Communication Limited, imezindua rasmi jukwaa lake jipya la mauzo mtandaoni, hatua muhimu inayowarahisisha wateja kote...

READ MORE

Taifa Stars Yaweka Rekodi, Kuvaana na Morocco 16 Bora AFCON 2025

Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imepangwa kuvaana na Morocco katika hatua ya 16 bora ya Mashindano ya Kombe...

READ MORE

Mtanzania Aliyetoroka Oman Afichua Mazito ‘Nilikuwa Napewa Sambusa, Mshahara Hakuna’” – Video

Mwanadada Farida Hamadi ni miongoni mwa wanawake waliokuwa wanaishi nchini Oman 🇴🇲, ambako walikwenda kufanya kazi za ndani lakini baadaye...

READ MORE

AFCON, EPL na Ligi za Kimataifa Kitawaka leo, Piga Mpunga na Meridianbet

Michuano ya AFCON barani Afrika inaendelea lakini pia kuna mechi nyingine nyingi zinaendelea. Ingia kwenye akaunti yako na uanze kusaka...

READ MORE