×

Mapokezi Ya Rais Samia Akitokea Ubelgiji (Picha +Video)

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anawasili nchini kutoka Ubelgiji, Leo Februari 20, 2022 baada ya...

READ MORE

Aliyerudisha Begi Lenye Mamilioni Apewa Tuzo

MKULIMA mmoja nchini Benin, Baraka Amidou (37), amepewa tuzo ya heshima kutoka kwa mamlaka ya nchi yake, baada ya kukabidhi...

READ MORE

Tanzania Yashika Nafasi ya 21 Unafuu wa Kununua Gb 1

MAMLAKA   ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema Tanzania ni moja kati ya Nchi 155 Duniani ambazo Intanenti yake ni gharama nafuu....

READ MORE

Uwoya: Simlei Mwanangu Krish Kimayai

IRENE Uwoya ni mmoja wa mastaa wakubwa wa Bongo Movies anayeaminika kuwa na mkwanja mrefu ambaye anasema kuwa, pamoja na...

READ MORE

Majaliwa Aongeza Siku Saba Uchunguzi wa Mauaji

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameridhia kuongeza muda wa siku saba kwa kamati maalum iliyopewa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyofanyika Mtwara...

READ MORE

Kumbe Azam Fc Bado Sana

AZAM inakamata nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara lakini kocha wake, Abdi Hamid Moalin, amesema bado hajaipata...

READ MORE

John Bocco Awatuliza Wanasimba

JOHN Bocco, Nahodha wa Simba, amesema hawatawaangusha Watanzania kwenye mashindano ya kimataifakwa kuwa wapo vizuri na watapambana bila kuchoka. Simba...

READ MORE

Mayele Apewa Mbinu Mpya Yanga

KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi raia...

READ MORE

Diamond Platnumz – Gidi (Official Music Video)

 SUPASTAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul “Diamond Platnumz” leo Feb 19, 2022 ameachia video ya wimbo wake wa Gidi.

READ MORE

Vigogo Simba Wapandia Dau Pointi Sita CAF

SIMBA SC wakiwa wanashuka uwanjani usiku wa leo kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya US Gendarmerie ya...

READ MORE

Utoaji wa Namba Kilimanjaro Marathon Waanza kwa Kishindo

MAMIA ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam walijitokeza katika viwanja vya Mlimani City mwishoni mwa wiki kuchukua namba...

READ MORE

Zuchu Amuonea Aibu Mondi

PAMOJA na kukanusha kwamba wao si wapenzi, lakini ishara nyingi zinaonesha vingine baina ya mastaa wawili wa muziki wanaowika zaidi...

READ MORE

Wateja 700 Wabeba Mil 70 Droo Ya “Mastabata Kivyakovyako”

IKIWA ni Wiki ya Saba tangu kuanza kwa Kampeni ya ‘NMB MastaBata Kivyako Vyako’ jumla ya shilingi milioni 70 zimetolewa...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Februari 20, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 20, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

H Baba, Mwijaku wazidi Kuvuana Nguo

BAADA ya kudai kujitenga kumshabikia msanii Harmonize, mkongwe wa Bongo Fleva, Hamisi Ramadhani Baba (H Baba) na mtangazaji Burton Mwemba...

READ MORE

Ujio wa Asa na Ngoma Mpya ‘Ocean’

MWANAMUZIKI mahiri kutoka nchini Nigeria, Asa ameachia ngoma yake mpya iitwayo Ocean aliyofanya na prodyuza maarufu, Priime, ikiwa ni maandalizi...

READ MORE

Huddah: Sasa Nahitaji Sugar Daddy

MREMBO staa wa mitandaoni wa Kenya, Huddah Monroe amekiri kwamba sasa amechoka kugharamia bili zake mwenyewe hivyo anahitaji sugar daddy...

READ MORE

Mwili wa Dkt. Mwele Waagwa Karimjee

Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson wameongoza...

READ MORE

Chico, Moloko Wamvurugia Nabi

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amesema kuwa kukosekana kwa wachezaji wake zaidi ya saba katika kikosi chake, kunamvurugia mipango...

READ MORE