×

Kocha Simba Amaliza Kila Kitu

KAZI imeanza huko Simba SC. Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kocha mkuu wa timu hiyo, Pablo Franco kukabidhi rasmi ripoti ya...

READ MORE

Beki Kisiki Mikononi Mwa Yanga

IMEFICHUKA kuwa, uongozi wa Klabu ya Yanga umeingilia dili la kumnasa nahodha wa Biashara United, Abulmajid Mangalo ambaye amekuwa akiwindwa...

READ MORE

Waziri wa Afya Zanzibar Apata Uviko-19

Waziri wa Afya, Ustawi wa jamii, Wazee, Jinsia na Watoto, Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amepata maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19...

READ MORE

Mayele, Fei Toto Wawatisha Biashara United

MASTAA wa Yanga wameweka wazi kuwa watakachowafanyia Biashara United ni kuchukua pointi zao tatu kwa ajili ya kujiweka katika nafasi...

READ MORE

Rais Mwinyi Atoa Pole Kwa Waliofariki Kwa Kula Samaki Kasa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa salamu za rambirambi kwa familia za...

READ MORE

Barbara: Simba Tupo Imara, Wachezaji Wanajituma

  MTENDAJI Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez ameweka wazi kuwa Simba ipo imara na hesabu kubwani kutimiza malengo waliyojiwekea kutokana...

READ MORE

Rapa Cassper Nyovest Ashinda Pambano la Ngumi

RAPA maarufu nchini Afrika Kusini, Cassper Nyovest ameshinda pambano la ngumi aliloandaa kati yake na shabiki ambaye amekuwa akimkosoa na...

READ MORE

Mashine Mpya Yaahidi Mabao Yanga

JEMBE jipya la Yanga, Chico Ushindi amefunguka kuhitaji kutengeneza nafasi nyingi za mabao ambazo pindi atakapoanza kuitumikia rasmi Yanga ambazo...

READ MORE

Kiungo Mbrazil Kukabidhiwa Mikoba ya Lwanga Simba

IMEBAINIKA kuwa mabosi wa Simba wapo katika harakati za kumrudisha kiungo mkabaji Gerson Fraga raia waBrazil kwa ajili ya kuziba...

READ MORE

Aliyekuwa Askofu Mkuu Wa TAG Tanzania Afariki Dunia

Askofu Prof. Ranwell Mwenisongole alikuwa Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la City Christian Center (CCC) – TAG Upanga Jijini Dar es...

READ MORE

Mpigania Haki wa Afrika Kusini, Askofu Tutu Afariki Dunia

IKULU ya Afrika Kusini imetangaza kuwa Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel na mpigania haki nchini Afrika Kusini, Askofu...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Amaxon Company Ltd Tanzania, Manager of Cleaning and Gardening

    Amaxon Company Limited Manager of Clearing and Forwarding Job Vacancy – Manager of Cleaning and Gardening Location – Dar es...

READ MORE

Burudani Ya Soka Kuendelea Kipindi Hiki Cha Sikukuu!

Kwa wapenzi wa soka, burudani ndio kwanza inaanza, sikukuu inanoga zaidi ukiwa unautizama mkeka wako unavyokuletea faida ndani ya dakika...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Desemba 26, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Desemba 26, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Aliyelala Kitandani Mbeya Ajikuta Ameamkia Masasi Juu ya mti

SAILI Juma (27) mkazi wa Mbeya ambaye mapema wiki hii alilala kitandani nyumbani kwao Mbeya na ghafla akaamkia juu ya...

READ MORE

Moto Ndani ya Kivuko Waua Watu 37

KIMATAIFA Watu wasiopungua 37 wamefariki Dunia baada ya moto kuzuka ndani ya kivuko kimoja kilichofurika abiria kusini mwa mji mkuu...

READ MORE

Watoto Wanne Wafariki Unguja

Watoto wanne wamefariki Dunia, Kaskazini Unguja huku wengine 47 wakiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Kivunge kutokana na kula nyama...

READ MORE

TV Unayoweza Kulamba Kioo Chake Kuonja Ladha ya Chakula

MFANO wa skrini ya TV unayoweza kulamba ambayo inaweza kuwa na ladha ya chakula imetengenezwa na Profesa wa Kijapani, Reuters...

READ MORE

Pumbulu: Mila ya Kisukuma Baada ya Mwanamke Kufariki Akijifungua

MILA na Desturi zina mchango mkubwa katika jamii endapo zitaenziwa kwa kuheshimu haki zingine za binadamu, hata hivyo wakati mwingine...

READ MORE