×

Mbunge ataka ajira za walimu

MBUNGE wa Nanyamba, Abdallah Chikota (CCM) ameishauri serikali kutoa kibali maalum cha ajira ya watumishi wa sekta ya elimu na...

READ MORE

Kiduku Asaini Kucheza Na Kabangu Wa DR Congo, Machi Mwaka Huu

  Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Twaha Kiduku leo Jumanne amesaini mkataba wa kupanda ulingoni kuzichapa dhidi ya Alex...

READ MORE

Rais Samia Awasili Nchini Ubelgiji Leo

Rais Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Ubelgiji ambapo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya,...

READ MORE

Mamia Wajitokeza Kufungwa Gereza Jipya Kwa Hiyari Yao

Waswahili wanasema jela jeraha, ubaya ubayani! Kwa nchi nyingi za Kiafrika, jela ni mahali ambapo hakuna ambaye yupo tayari kuingia...

READ MORE

Tajiri Aendelea Kusaka Namba Ya Wema

BAADA ya habari za Wema Sepetu kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba hana gari, yupo tajiri mmoja mwenye maskani yake...

READ MORE

Ajinyonga Akituhumu Ndugu Wajomba Zake Kuua Ndugu Zake 16 Kishirikina

Williamu Mwalugelo (46) mkazi wa Kawajense Manispaa ya Mpanda amejinyonga kwa kutumia kamba ya manila kwa kujining’iniza kwenye dari chumbani...

READ MORE

SGA Yadokeza Wanawake Juu ya Uongozi na Kukabili Hisia

    Wanawake wamedokezwa juu ya umuhimu wa kukuza vipaji vyao vya uongozi katika zama hizi za kampuni kubwa na...

READ MORE

Wiki Bomba UCL na Ushindi wa Meridianbet

Wiki hii inakuwa tamu zaidi kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, Mbappe akiwa anakutana na klabu yake pendwa anayo husishwa nayo...

READ MORE

Familia: Hatujui Muna Anaendeleaje

FAMILIA ya mwanadada Muna Love ambaye inasemekana kuwa hali yake ni mbaya baada ya upasuaji (sajari) wa kurekebisha maumbile ya...

READ MORE

Pablo: Bocco Atawashangaza Zaidi

LICHA ya Nahodha wa Simba, John Bocco kushindwa kufunga kwenye mechi za Ligi Kuu Bara msimu huu, lakini Kocha Mkuu...

READ MORE

TAMISEMI Yaomba Kibali Kwa Rais Kuajiri Walimu 7000

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imeomba kibali kwa Rais Samia Suluhu Hassan cha kuajiri...

READ MORE

Nabi Awapangia Biashara Muziki Mnene

YANGA watashuka dimbani leo Jumanne kucheza na Biashara United kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora ndani ya Dimba la...

READ MORE

Uncle Shamte: Natamani Nishuhudie Diamond Akioa

MUME wa mama mzazi wa Diamond Platnumz, Mama Dangote ambaye anajulikana zaidi kwa jina la Uncle Shamte anasema amekuwa akiulizwa...

READ MORE

Live: Mwandishi Imelda Mtema Afunguka Kufanyiwa Timbwili Na Wema, Kufukuzwa Na Kisu Barabarani…

Mwandishi Imelda Mtema amepata tuzo ya Heshima iliyoandaliwa na Mtangazaji Dina Marious. Leo Februari 15, 2022 anazungumza… 

READ MORE

Wajue Waigizaji 10 Bora wa Kike Bongo Movies Wa Muda Wote

NYOTA ni kitu kikubwa ambacho watu wengi wangetamani kuwa nacho, lakini Mungu hakufanya hivyo kwa kila mwanadamu, bali alitoa zawadi...

READ MORE

Diamond: Nipo Kwenye Mahusiano Yanayonipa Raha

SUPASTAA wa Bongoflava Naseeb Abdul Juma almaarufu kama Diamond Platnumz amefichua kwamba tayari amepata penzi tena na kwa sasa yuko...

READ MORE

Nabi aliandaa jembe jipya la kumrithi Job Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, ameanza kumuandaa beki wake mpya wa kati, Ibrahim Abdallah ‘Bacca’ atakayemrithi Dickson Job...

READ MORE

Top 10 ya Mabondia Bora Tanzania

UKIACHANA na mchezo wa soka ambao umekuwa na wafuatiliaji wengi zaidi duniani, mchezo ambao pia unafuatiliwa na mashabiki ni ule...

READ MORE

Exim yakabidhi Vanguard kwa mshindi wa ‘Weka Mkwanja tukutoe!’

Dar es Salaam: Februari 15, 2022: Benki ya Exim imekabidhi gari aina ya Toyota Vanguard kwa taasisi ya Work of...

READ MORE

Zuchu Amkatia Diamond Mauno Stejini, Amvua Koti -Video

 SUPASTAA wa Tanzania, Diamond Platnumz na msanii wake wa WCB, Zuchu  wamefanya yao usiku wa kuamkia leo Februari 15,...

READ MORE