×

23 Waitwa Taifa Stars Kuivaa Uganda

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Kim Poulsen, ametaja majina ya wachezaji 23 watakaoingia kambini leo...

READ MORE

Mkuu wa Gereza Afungwa kwa Kuiba Fedha za Mfungwa

MAHAKAMA nchini Rwanda imemhukumu kifungo cha miaka mitano jela aliyekuwa mkuu wa gereza kuu la Kigali kwa kuiba fedha kutoka...

READ MORE

Zuchu Amtunishia Misuli Diamond

JANUARI 30, mwaka huu msanii kutoka kiwanda cha Bongo Fleva, Zuchu aliachia wimbo wake wa SUKARI, ndani ya miezi 10...

READ MORE

Lukamba Afuta Utambulisho wa Mpiga Picha wa Diamond

NI headlines kutoka kwa mpiga picha maarufu wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Lukamba ambaye amefuta utambulisho uliokuwa ukimtambulisha kama mpiga picha...

READ MORE

Sababu ya Mwanri Kuamrisha Shamba Livurugwe

Balozi wa zao la pamba nchini Aggrey Mwanri, ameamrisha shamba la Jeremia Kisumo na Laher Robert wakazi wa Mshinde, Kata...

READ MORE

Diamomd Ana Donge Na RC Makalla?

  UKISIKIA “donge” maana yake kinyongo yaani ile chuki nzito juu ya mtu fulani aliyekufanyia ndivyo sivyo.   Sasa bwana...

READ MORE

Rais Samia: Nitaendelea Kuzunguka – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amesema safari ya uwekezaji kuna njia ndefu na ndiyo maana wakati mwingine analazimika kutoka kwa ajili...

READ MORE

Waliokufa Baada Ya Basi Kutumbukia Mtoni Wafika 32

Idadi ya watu waliopoteza maisha ya baada ya basi walilokuwa wakisafiria, kusombwa na maji katika Mto Enziu, Ngune, Kaunti ya...

READ MORE

Rais Samia Kumwaga Barabara, Kivuko Kikubwa Kigamboni – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea kilio cha wananchi wa Kigamboni kuhusu changamoto ya...

READ MORE

Samia: Kwa Mungu Kuna Kujibu, Nikifika Huko Nitasema – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepiga marufuku baadhi ya watendaji wanaofanya kazi kwa mazoea na...

READ MORE

Tamasha La Koffi Olomide Lasitishwa Nchini Kenya

Tamasha la muziki la nyota wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Koffi Olomide, lililotarajiwa kufanyika Desemba 11, jijini Nairobi limekatishwa....

READ MORE

Vanessa Apigwa Tukio Kama Zuchu

MWANAMAMA aliyetundika daruga kunako Bongo Fleva, Vanessa Mdee au V-Money anawatahadharisha wasanii Bongo juu ya kukubali kutumika vibaya na kupigwa...

READ MORE

Lewandowski Kupewa Tuzo Yake ya Ballon d’OR

Baada ya Lionel Messi kuzungumza kuwa mshambuliaji wa Bayern Munich Roberto Lewandowski anastahili kupewa tuzo ya Ballon d’Or ya mwaka...

READ MORE

Hawa Ndiyo Wakongwe Waliofanya Albam Nyingi Zaidi Bongo

MIAKA ya nyuma mafanikio ya msanii ilikuwa ni kuwa na album ambayo ilikuwa kama utambulisho wa msanii katika kazi zake....

READ MORE

Tamaa Maisha Ya Kifahari… Mastaa, Watoto wa Mjini Wasota Magereza kwa Unga

MORINE Amatusi Liyumba ni binti mrembo wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), marehemu...

READ MORE

Yanga Yafyeka Wanne, Yumo Kabwili

KUELEKEA usajili wa dirisha dogo, taarifa zinasema kuwa tayari Kamati ya Usajili ya Yanga imeanza kazi baada ya kuwafyeka wachezaji...

READ MORE

Basi Lililotumbukia Mtoni Latolewa, Waliokufa Waongezeka

Shughuli za uokoaji ziliendelea siku ya Jumapili kufuatia ajali mbaya iliyotokea Jumamosi katika mto wa Enziu, kaunti ya Kitui huku...

READ MORE