×

Akamatwa Akimuuza Mtoto wa Miaka 10 Ili Anunue Pikipiki

Jeshi la Polisi nchini Liberia limemkamata na kumfungulia mashtaka mwanaume wa Sierra Leone mwenye umri wa miaka 29 kwa madai...

READ MORE

Kimeumana! Joh Makini Amvaa Sallam SK

Unaikumbuka ile ngoma ya “Don’t Bother” ya Joh Makini ft AKA? Sasa unaambiwa wimbo huo umezua maneno huko Twitter baada...

READ MORE

Hatimaye VAR Kutumika AFCON

HATIMAYE kwa mara ya kwanza katika historia ya michuano ya AFCON, mechi zote 52 zitatumia marefa wasaidizi wa picha za...

READ MORE

Ujumbe Maalum wa Prof Jay kwa Job Ndugai

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi na msanii mkongwe na maarufu wa Bongo Fleva, Joseph Haule ‘Prof Jay’ ameshea video...

READ MORE

Harmonize: Nilijisikia Vibaya Kiba Kukataa Urafiki

WIKIENDI iliyopita, Harmonize au Konde Boy Mjeshi alikuwa akizindua albam yake ya High School. Kabla ya uzinduzi huo, Harmonize alipata wasaa...

READ MORE

Coutinho Atua Timu ya Samatta

KIUNGO mshambuliaji wa FC Barcelona, Phillipe Coutinho amejiunga kwa mkopo kwenye klabu ya Aston Villa hii baada ya Villa kudhibitisha...

READ MORE

Trippier Atua Newcastle

Newcastle United imefanikiwa kupata sahihi ya beki wa kulia, Kieran Trippier kutoka Atletico Madrid paundi million 12 sawa na 37,501,300,080...

READ MORE

Zuchu: 2022 Ni Mwaka Wangu Pia

PAMOJA na kwamba alifanya vizuri mno kwa mwaka 2021 kiasi cha wimbo wake wa Sukari kushika namba moja kwa nyimbo...

READ MORE

Burudani Ya Soka Inahamia Afrika, Afcon 2022 Kimeumana!!

Wikiendi hii, mzunguko wa 3 wa FA Cup unaendelea hii ikiwa ni sambamba na kuanza kwa Mashindano ya AFCON 2022...

READ MORE

Sarah wa Harmonize Mikononi Mwa Sallam

MIONGONI mwa tuhuma nzito zilizotolewa na staa wa Bongo Fleva, Harmonize au Konde Boy Mjeshi siku ile ya Novemba 18,...

READ MORE

PhD ya Baba Levo ya Mchongo?

MWEZI mmoja uliopita, Mbunge wa Geita Mjini, Joseph Kasheku almaarufu Msukuma alitunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Siasa na...

READ MORE

ITAKULIZA: Msanii Bambucha Akatwa Mguu, Asimulia Mateso Aliyopitia – “Wasanii Wenzangu Wamenitenga”

Msanii wa kitambo, Bambucha amesimulia mateso aliyopitia hadi kufikia hatua ya kukatwa mguu. 

READ MORE

TAKUKURU: Achana na Mil 90, Sabaya Ana Kesi Nyingine ya Kujibu

AFISA wa Takukuru anayetoa ushahidi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Lengai Ole Sabaya na wenzake sita ameiambia Mahakama kuwa...

READ MORE

Kajala: Nimepisha Mitandao Kwanza

STAA mwenye shepu yake kunako Bongo Movies, Kajala Masanja anasema kuwa, ameipisha kidogo mitandao ya kijamii ili watu waendelee na...

READ MORE

Yanga v Azam, Simba v Namungo Nusu Fainali Mapinduzi

KITU pekee ambacho mashabiki wa Simba na Yanga wanakifurahia kwa sasa ni kuziona timu hizo zikiendelea kukipiga kwenye Kombe la...

READ MORE

Yanga Princess Yapanga Kuvunja Rekodi Ya Simba Queens

KOCHA Mkuu wa Yanga Princess, Edna Lema ‘Morinyo’ ameweka wazi kuwa anataka kufuta uteja mbele ya Simba Queens kwa kushinda...

READ MORE

Muigizaji wa Kwanza Mweusi Kushinda Tuzo ya Oscar Afariki

Sidney Poitier, ambaye alivuka vikwazo vya rangi kama mshindi wa kwanza Mweusi wa mwigizaji bora Oscar kwa jukumu lake katika...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Jumamosi, Januari 8, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 8, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Mwalimu Mstaafu Afia Gesti Baada ya Kujiburudisha na Mrembo

Polisi kaunti ya Nakuru nchini Kenya wanachunguza kisa ambapo mwalimu aliyekuwa amestaafu aliaga dunia kwa njia ya kutatanisha baada ya...

READ MORE