×

Mzee Kambaulaya Afariki Dunia

MSANII maarufu ambaye pia ni mwanahabari mkongwe, Mzee Barnabas Maro maarufu kama Mzee Kambaulaya au Baba Bishanga amefariki dunia. Taarifa...

READ MORE

Shiboub Aanza Kazi Simba

KIUNGO raia wa Sudan, Sharaf Eldin Shaiboub Ali Abdelrahman ametambulishwa rasmi ndani ya Kikosi cha Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu...

READ MORE

🔴#Live: Ndugai: Nimekosa Mimi, Amuomba Radhi Rais, Jaji Warioba Atoa Dira Katiba Mpya | Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘Front Page’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Infinix Yaja na Feature ya Kuongeza RAM Kwenye Simu

RAM siku hizi imekuwa feature ya muhimu kutokana na program nyingi kwenye simu za kisasa kuhitaji nguvu kubwa ya uendeshaji....

READ MORE

Adele Kununua Mjengo wa Rambo kwa Tsh Bil 133.7

IMERIPOTIWA kuwa, msanii maarufu duniani wa Pop, Adele Laurie Blue Adkins ‘Adele’ ametoa mkwanja kiasi cha takribani Dola za Marekani...

READ MORE

Man United Yachezea Kichapo Nyumbani

Manchester United imekubali kipigo cha goli 1-0 dhidi ya Wolves katika mchezo wa Ligi Kuu England mtanange uliopigwa dimba la...

READ MORE

TECNO Yaanika Washindi wa “Vibe la Krismasi, TECNO Yatosha”

Wakati tulipokuwa kuikaribisha sikukuu za mwisho wa mwaka, hapa namaanisha Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya, Kampuni ya simu janja...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Januari 4, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 4, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nmb Yahitimisha Promosheni Ya Bonge La Mpango

    Kampeni ya Benki ya NMB ya kuwahamasisha wateja wake kuweka akiba ya Bonge la Mpango II ilifungwa rasmi...

READ MORE

Airtel Tanzania Yatoa Msaada Kituo cha Watoto Yatima Katavi

Katavi Jumanne 4 Januari 2022…Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kupitia kampeini maalum ya kusaidia jamii kwa kipindi...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Exim ‘Weka Mkwanja Tukutoe’ Yazidi Kupepea

Dar es Salaam; January 3, 2022: Benki ya Exim imetangaza washindi wa droo ya pili ya kampeni ya ‘Weka Mkwanja...

READ MORE

Simba Yazindua Jezi Mpya Tena

KLABU ya Simba wamezindua jezi zao mpya leo Jumatatu, Januari 3, 2022, kuelekea mchezo wao katika Michuano ya Mapinduzi Cup....

READ MORE

Ombi la Sabaya Lakubaliwa Mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha imekubali ombi la mawakili upande wa utetezi kuondoa ushahidi wa picha za CCTV zilizokuwa ziwasilishwe...

READ MORE

Kauli ya Ahmed Ally Baada ya Kupata Shavu Simba

Ahmed Ally, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Simba SC amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya kupata...

READ MORE

Simba Waizidi Ujanja Yanga, Kumalizana na Bonge la Beki

SIMBA muda wowote watakamilisha usajili wa beki wa kati wa Biashara United, Abdoulmajid Mangalo katika usajili huu wa dirisha dogo...

READ MORE

Ishu ya Madawa ya Kulevya, Kamanda Shilla Awaonya Polisi Airport

KAMANDA wa Polisi wa Viwanja vya Ndege nchini, Kamishna msaidizi wa Polisi (ACP) Jeremiah Shilla amewaagiza Polisi katika Uwanja wa...

READ MORE

Mchungaji Awaogesha Wanawake

HAYA ni maajabu ya fungua mwaka! Mchungaji wa kanisa moja nchini Ghana katika mitandao ya kijamii akiwavua nguo wanawake tena...

READ MORE

Rais Amtumbua Mkurugenzi Mkuu Shirika la Utangazaji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika...

READ MORE

Try Again: Simba Itaitikisa Afrika

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah ‘Try again’, amesema mipango ya Simba kwa sasa ni kutawala soka...

READ MORE