×

Colin Powell Afariki Dunia Kwa Covid-19

WAZIRI wa mambo ya nje wa zamani wa Marekani Colin Powell amefariki dunia kwa  ugonjwa wa Covid-19, Powell ambaye alikuwa...

READ MORE

Esma Anapiga tu Pesa

ESMA Khan almaarufu Esma Platnuzm ni dada wa supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul au Diamond Platnumz ambaye amefunguka namna...

READ MORE

Yanga SC yafunika mapokezi Songea

MAELFU ya mashabiki wa Yanga jana walifurika kupokea msafara wa timu hiyo uliofika saa sita mchana kwa ajili ya mchezo...

READ MORE

Diamond na Harmonize Wajibizana Kwa Vitendo

Hakuna muda wa maneno mengi, bali kinachoendelea ni majibizano ya kivitendo zaidi kati ya Diamond Platnumz na Harmonize; mmoja akifanya...

READ MORE

Tyga Afunguka Tuhuma za Kumpiga Mpenzi Wake

RAPA, muimbaji na muandishi wa nyimbo za Hip Hop, Micheal Ray Stevenson maarufu kama Tyga, amevunja ukimya juu ya tuhuma...

READ MORE

Mwijaku, Juma Lokole Wavuana Nguo

Mwijaku na Juma Lokole ni watangazaji maarufu kwenye mitandao ya kijamii ambao hawaivi kwenye chungu kimoja; kila mmoja amekuwa akimvua...

READ MORE

Sabaya Anyolewa, Afikishwa Mahakamani Kesi Nyingine Tena

IKIWA ni siku tatu tangu alipohukumiwa kwenda jela miaka 30, yeye na wenzake wawili kwa makosa ya nunyang’anyi wa kutumia...

READ MORE

Mke Amchoma Kisu Mumewe

JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia mwanamke aitwaye Amina Hamis (32) kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kumchoma kitu chenye...

READ MORE

Samia: Longido Kulikuwa na DED Mkorofi, Nilimuondoa – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi kufanya kazi kwa weredi na kuacha malumbano...

READ MORE

Wanakijiji Walia Kubomolewa Nyumba Zao, na Kufukuzwa Kwenye Makazi, Naibu Meya Azungumza

    WAKAZI wa Kijiji cha Mbogo kilichopo Pongwe mkoani Tanga wamelia kubomolewa nyumba zao na kuondolewa kwa nguvu eneo...

READ MORE

Young Thug Aiharibu Rolls-Royce ya Tsh Mil 600

Rapa maarufu wa pande za Joe Biden namaanisha Marekani, Jeffery Lamar Williams almaarufu kama Young Thug anayetamba na albamu yake...

READ MORE

Mafuriko Yaua Watu 24

WATU  24 wamefariki katika mafuriko kusini mwa India baada ya mvua kubwa kusababisha mito kufurika, kukata usafiri katika miji na...

READ MORE

Mwanafunzi Aozeshwa kwa Mahari ya Tsh. 330,000 na Nguruwe

MKAZI wa Kitongoji cha Mabatini, wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Kennedy Fumpa (37), amekamatwa kwa tuhuma za kumuoa mwanafunzi wa darasa...

READ MORE

Live: Rais Samia Anazindua Kiwanda Cha Nyama Longido

RAIS Samia Suluhu Hassan anazindua mradi wa maji, kiwanda cha nyama na kuzungumza na wananchi   

READ MORE

Samia Apindua Meza Kambi ya CHADEMA, Bananga Akubali Yaishe- Front Page

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Alikamwe: Mambo 10 Nilioyaona Galaxy vs Simba

1: GREAT WIN Mnyama .. 2 away Goals.. Clean Sheet Safi.. Well Done Mnyama! 🦁 Vile ndivyo Timu kubwa Afrika...

READ MORE

Zuchu ‘Paka’ Kiboko ya ‘Simba’ Mondi

KUPISHA njia ni kukubali kuzidiwa kasi; lakini si kukubali kushindwa kwa sababu safari ina mengi njiani. Zuchu msanii aliyesainiwa na...

READ MORE

Kumbe Tommy na Lyyn Ilikuwa Kweli

MKALI mwingine wa Bongo Fleva anayetumikia Lebo ya Kings Music, Tommy Flavour amefunguka kuwa, kumbe penzi lake na video vixen...

READ MORE

Magari 3 ya Kifahari ya Mondi Hasara Tupu

ACHANA na saa aina ya Rolex aliyonunua wiki hii nchini Marekani yenye thamani ya shilingi milioni 69 za Kitanzania, siri...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Jumatatu, Oktoba 18, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 18, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE