×

Senzo Ampa Mchongo Nabi

OFISA Mtendaji Mkuu wa Yanga, Senzo Mbatha, amefunguka kuwa licha ya baadhi ya mapungufu yanayoonekana kwenye kikosi cha timu yao,...

READ MORE

Kigogo Chadema Kortini kwa Kumwita IGP Gaidi-Video

  KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Shilingi Milioni 40 Kushindaniwa CRDB Bank Taifa Cup 2021

    Dar es Salaam 7 Oktoba 2021 – Timu 32 za mikoa za mpira wa kikapu zinatarajiwa kuchuana vikali...

READ MORE

Studio za Expanse Zimetoa Mchezo Mpya kuelekea G2E, Las Vegas

Baada ya mafanikio makubwa kupitia michezo ya Evoji na Titan Roullette, Studio za Expanse zimetoa mchezo mpya wa kasino ya...

READ MORE

Haya Hapa Magazeti ya Leo Ijumaa, Oktoba 8, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 8, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Kigogo Chadema Afikishwa Kortini kwa Tuhuma za Kumchafua IGP Sirro

Mwenyekiti wa Baraza la wazee wa Chama  cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Hashim Issa (63), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Mayele, Makambo Waahidi Mabao Yanga

BAADA ya kushindwa kufunga bao lolote katika michezo miwili waliyocheza ya ligi kuu mpaka sasa, mastaa wa Yanga, Heritier Makambo...

READ MORE

Davido Akacha Mazishi ya Mpiga Picha Wake

MSANII maarufu wa Muziki kutoka pande za Nigeria, David Adeleji Adeleke maarufu kama Davido ameingia kwenye headlines baada ya kutoonekana...

READ MORE

Tambwe: Fei Toto ni Mchezaji Hatari Yanga

ALIYEKUWA Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe amefunguka kuwa kiungo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ni mchezaji mzuri na hatari...

READ MORE

Ndege Mbili Kupokelewa Kesho Z’bar

NDEGE mpya 2 aina ya Airbus A220-300, zilizonunuliwa na Serikali ya Tanzania zimeondoka nchini Canada kuja Tanzania.   Ndege hizo...

READ MORE

Stars Yapoteza Dhidi ya Benin kwa Mkapa

TIMU ya Tanzania Taifa Stars leo Oktoba 7, 2021 imekubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Benin kwenye mchezo wa...

READ MORE

Ajali: Magari Mawili Yateketea Kwa Moto, Chanzo Cha Moto Kinashangaza, Afisa Misitu Afunguka-Video

  Gari aina Nissan Patrol ya Idara ya maji ya Halmashauri ya Mji wa Makambako na semitela mbili zimeungua kwa...

READ MORE

Mtanzania Ashinda Tuzo ya Nobel

Abdulrazak Gurnah huwenda likawa ni jina jipya kabisa masikioni mwako ila huyu ni Mtanzania aliyezaliwa Zanzibar mwaka 1948 ni Profesa...

READ MORE

Sokwe Ndakasi Afariki Dunia

Sokwe anayefahamika kwa jina la Ndakasi, aliyepata umaarufu kupitia picha iliyopigwa mwaka 2019 akiwa ameweka pozi katika ‘selfie’ na mhifadhi...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi Britam, Assistant Accountant

  Key responsibilities    Cash flow management – Daily monitoring of customer accounts and ensure adherence to cash before cover...

READ MORE

Kipa Mpya Yanga SC Azidiwa Uwezo na Kabwili

KOCHA wa Makipa Yanga, Razack Siwa amefunguka kuwa kinachomzuia kipa wake, Erick Johora kucheza tangu kuanza kwa msimu huu ni...

READ MORE

CEO Azam Asuka Mipango ya Ubingwa

KATIKA kuhakikisha kuwa wanakuwa na kikosi imara ambacho kitakuwa na uwezo wa kupambania makombe katika michuano wanayoshiriki, uongozi wa klabu...

READ MORE

Alikiba feat Blaq Diamond – Niteke {Track No.12}

 Msanii Wa Bongo Fleva,Alikiba Ft Blaq Diamond Ameachia Wimbo Wake Mpya- Niteke.

READ MORE