×

Mtuhumiwa Kesi ya Mbowe Adai Kufungwa Kitambaa Cheuzi Usoni

MAPYA yameibuka wakati mtuhumiwa namba mbili wa kesi 16/2021, Adam Kasekwa ambaye ni shahidi namba moja katika kesi ndogo ndani...

READ MORE

Yanga Itashinda Ubingwa wa Ligi Kuu?

BAADA ya miaka minne hatimaye, Timu ya Yanga imeshinda Medali ya kwanza ya maana…. Imeshinda Ngao ya Jamii baada ya...

READ MORE

Kifo cha Mohamed Chaacha Majonzi kwa Mke, Mama, Watoto – Video

Kifo cha Mohamed Ramadhan Mkongo, mfanyabiashara ndogondogo au maarufu kama machinga kilichotokea alfajiri ya Septemba 23, 2021 katika eneo la...

READ MORE

Kiba: Blue Ndio Alinihamasisha Kuingia Kwenye Muziki

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba amesema alipata hamasa ya kuingia kwenye Bongofleva baada ya kuwaona Mr. Blue na...

READ MORE

Kimeumana! Mondi, Harmo, Barna Boy, Wizkid & Davido

WAANDAAJI wa Tuzo za All Music Award (AFRIMA 2021), Septemba 23, mwaka huu, wametaja listi ya majina ya wasanii, Ma-DJ,...

READ MORE

Jaji: Mama wa Nyumbani Walipwe na Waume Zao

JAJI Mkuu wa Kenya Theresia Matheka wiki iliyopita ametoa hukumu inayosema Wanawake walioolewa na kubaki kuwa Mama wa nyumbani ni...

READ MORE

Uwoya Atawatoa Roho Watoto wa Watu

HABARI ikufikie kwamba, supastaa wa Bongo Movies mwenye maisha yake Bongo, Irene Uwoya ipo siku atawatoa watoto wa watu roho...

READ MORE

Atembea kwa Miguu Kigoma – Kilimanjaro Kuhamasisha Chanjo

Serikali kupitia Wizara ya Afya imemtambua Mwanariadha Michael Nondo, mkazi wa Kigoma aliyejitolea kutembea kutoka mkoani Kigoma hadi Kilimanjaro kwa...

READ MORE

Rais Samia: Sijawateua Kuwa Miungu Watu – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi wa mamlaka za serikali za mitaa kutenda haki...

READ MORE

Manara Ajitapa: Yanga Hatuachi Kitu Msimu Huu

MSEMAJI wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amesema kuwa Klabu hiyo ina malengo ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Soka...

READ MORE

Samia: Mmejenga Masoko Mbali ya Watu, Yafanyeni Kumbi za Harusi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema masoko yaliyojengwa sehemu ambazo hazifikiki labda yageuzwe kumbi za...

READ MORE

Kim Paoulsen Aanika Kikosi cha Wachezaji 25 Taifa Stars

Kocha Mkuu wa Taifa Stars Kim Poulsen ametangaza kikosi cha wachezaji 25 kitakachojiandaa na mchezo wa kufuzu kombe la dunia...

READ MORE

Rais Samia Akerwa na Kibanda cha TANESCO

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezungumzia ubadhirifu wa fedha ambao umekuwa ukifanywa na Halmashauri na...

READ MORE

Ukweli Kuhusu Pauline Zongo uko Hivi

NAMFAHAMU Pauline Zongo tangu enzi za East Coast Team akiwa kama First Lady wa kundi hilo akiwa na wasanii wengine...

READ MORE

Makamba: Hii Ndio Tanesco Mpya

Hii ndiyo Tanesco (Shirika la Umeme la Tanzania) mpya ndivyo unavyoweza kusema, baada ya Waziri wa Nishati, January Makamba kueleza...

READ MORE

Madini Mondi Yagharimu Nyumba 3 Za Kifahari

DIAMOND Platnumz; mwamba anayemiliki vitu vya bei mbaya ikiwemo mijengo ya thamani Tanzania na Afrika Kusini, hoteli ya kifahari, lebo...

READ MORE

Madiwani Kulipwa Posho Kila Mwezi- Rais Samia

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan,  amesema kuwa serikali imeridhia madiwani kulipwa posho ya kila mwezi...

READ MORE

Aliyepanga Mauaji ya Kimbari 1994 Afia Gerezani

KANALI wa Jeshi la zamani la Rwanda aliyekutwa na hatia kutokana na nafasi yake katika mauaji ya kimbali ya mwaka...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Mahakamani Tena

LEO Jumatatu, Septemba 27, 2021, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman Mbowe na wenzake watatu wamefiika Katika Mahakama Kuu Divisheni...

READ MORE