×

Mil 160 Zasajili Kipa Yanga SC

UONGOZI unaomsimamia kipa Tape Eliezer Ira, umewaambia Klabu ya Yanga kuwa unahitaji dola 70,000 (sawa na Sh 161,584,000) ili kumuachia...

READ MORE

Dk. Diallo Aomba Radhi Kauli Yake Tata

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mwanza, Dk. Anthony Diallo ameomba radhi ‘kiaina’ baada ya kauli yake kuzua...

READ MORE

Italy Yatwaa Ubingwa wa Euro 2020

TIMU ya Taifa ya Italy imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa Kombe la Euro2020 baada ya kuifunga Uingereza kwa jumla ya mikwaju...

READ MORE

Ronaldo Abeba Kiatu cha Dhahabu Euro 2020

Cristiano Ronaldo ametwaa kiatu cha dhahabu cha mashindano ya Euro 2020 baada ya kuibuka mfungaji bora wa mashindano. ✍️ Takwimu...

READ MORE

Yanga Yataja Warithi wa Lamine, Sarpong

KAMA mpango wa Yanga wa kuachana na wachezaji wake, Lamine Moro na Michael Sarpong ukatimia, basi huenda mshambuliaji wa AS...

READ MORE

LIVE: Dialo Aibuka na Mapya, Apigwa Kila Kona – Front Page

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Balaa la Bomoabomoa Mpya Kutikisa Dar

Baadhi ya wakazi wa Kimara watakumbana na bomoabomoa nyingine baada ya Wakala wa Barabara nchini (Tanroads) mkoa wa Dar es...

READ MORE

CCBRT Yaishukuru Tigo Kuwachangia Milioni 22 Kuwatibia Watoto Wenye Miguu Vifundo

    Taasisi ya matibabu ya CCBRT, leo imeishukuru Kampuni ya mawasiliano ya Tigo kwa kuendelea kuwachangia fedha za matibabu...

READ MORE

Simba Yaikalisha Coastal Union, Yatangaza Ubingwa

MABINGWA watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara Simba, imefanikiwa kutetea ubingwa wa ligi hiyo, baada ya kuitungua Coastal Union ya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 12, 2021

  ;   Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 12, 2021....

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Vinara Matokeo Kidato cha Sita Baobab Wamkuna Mwalimu Wao

  SHULE ya Sekondari Baobab ya Mapinga Bagamoyo imefanikiwa kufaulisha wanafunzi wote kwenda vyuo vikuu mbalimbali ndani na kufanikiwa kutoa...

READ MORE

Simba Yatangaza Ubingwa VPL

MABAO mawili ya John Bocco na Chriss Mugalu kwenye mchezo wa Ligi dhidi ya Coastal Union uliopigwa kwenye Dimba la...

READ MORE

Deus Kaseke Asaini Miaka Miwili Yanga

KATIKA kuhakikisha wanakiboresha kikosi chao kwa ajili ya msimu ujao, Yanga imemuongezea mkataba wa miaka miwili kiungo Deus Kaseke. Huyo...

READ MORE

Gesi Yazuia Wafanyabiashara Kuendelea na Shughuli Zao KariaKoo

KAMISHNA Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John Masunga amesema kutokana na ukubwa wa eneo lililoungua bado kutaendelea kuwa...

READ MORE

Rais wa Uefa Akiri Mapungufu Euro 2020

  ZIKIWA  zimesalia saa chache tu kabla ya ile fainali inayosubiriwa ya Euro 2020, Rais wa Shirikisho Soka la  Ulaya,...

READ MORE

Simba vs Coastal…Rekodi Mpya Inawekwa

REKODI mpya inakwenda kuwekwa leo Jumapili kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar pindi Simba itakapoikaribisha Coastal Union ukiwa ni mchezo wa...

READ MORE

Video: Global Movies – Kidude

 KIDUDE katoka jela, kaleta balaa mtaani, kilichomkuta MUNGU anajua…… Full MOVIE on Global TV OUT NOW….. #Global Movie

READ MORE

Malkia Aitakia Heri England

KIKOSI cha Kocha Gareth Southgate cha England kimepokea ujumbe kutoka kwa Malkia Elizabeth II kabla ya Fainali ya Euro 2020...

READ MORE

Waziri Jafo: Wananchi Fanyeni Kilimo Endelevu Kulinda Mazingira

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Selemani Jafo amewataka wananchi kutumia ardhi kufanya...

READ MORE