×

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 19, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Yanga Yaangusha Pointi Ugenini Dhidi ya Silver Strikers

Klabu ya Young Africans SC imeanza hatua ya pili ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League 2025/26)...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Awasalimia Wananchi wa Mikumi Akielekea Kilombero

Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwasalimia...

READ MORE

Wanawake Wajasiliamali Wanufaika  Na Kampeni Ya “Jambo Kubwa Linakuja, Bluu Inatawala” 

Taasisi isiyo ya kiserikali ya Bluu imeendelea na kampeni yake ya “JAMBO KUBWA LINAKUJA, BLUU INATAWALA” kwa kutoa msaada wa...

READ MORE

Street University Yarejea kwa Kishindo Kikubwa Jijini Mwanza

Baada ya kipindi kirefu cha kusubiri, Street University imerudi tena kwa kishindo kikubwa! Mwasisi wake, Eric James Shigongo, amewaalika vijana...

READ MORE

Burudani ya EPL Yarejea Tena! Meridianbet Waja na Odds Kali Zaidi Leo

Burudani ya EPL imerudi tena leo kwa michezo mizito kutoka viwanja vya England. Meridianbet inakuletea odds kali zaidi na machaguo...

READ MORE

Padre Aliyepotea Apatikana Akiwa Hai Mkoani Ruvuma – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma limethibitisha kumpata Padre Camillus Nikata, wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea ambaye pia ni...

READ MORE

Jeshi la Polisi lafafanua madai ya Godbless Lema kuhusu usalama wake – Video

Jeshi la Polisi Tanzania limetoa kauli kufuatia taarifa zilizotolewa na mwanasiasa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia...

READ MORE

Jaji Mkuu Masaju amuapisha Hillary Massala kuwa Hakimu Mkazi

Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania,  George Masaju Oktoba 17, 2025 amemuapisha Hillary Massala Kuzenza kuwa Hakimu Mkazi kwenye ukumbi...

READ MORE

Upepo Mpya wa Burudani ya Kasino Mtandaoni Kupitia Meridianbet

Katika ulimwengu wa teknolojia ya kisasa, ambapo kila huduma inakimbizana na ubunifu, sekta ya michezo ya kubashiri haijasalia nyuma. Kampuni...

READ MORE

Yacouba Songne na Monica Maulid ni wazazi wa binti yao Genesis

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga kutoka Burkina Faso, Yacouba Songne na mwanadada wa Kitanzania, Monica Maulid, ni wazazi wa mtoto...

READ MORE

Usikubali udhaifu wa umpendaye, hamuwezi kudumu!

Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa, nakukaribisha kwa mara nyingine katika safu yetu hii ambapo tunajuzana mambo mbalimbali...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 18, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Nmb Yawano Wananchi, Vikundi Vya Kijamii Kimanzichana

PROGRAMU Endelevu ya usambazaji wa Elimu ya Fedha, Huduma Jumuishi za Kibenki, Utunzaji Mazingira na Matumizi ya Nishati Safi ya...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Atoa Heshima za Mwisho kwa Raila Odinga Jijini Nairobi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametoa heshima za mwisho kwa mwili wa Waziri...

READ MORE

Ibada ya Kitaifa ya Kumuaga Raila Odinga Yafanyika Nairobi

Ibada ya kitaifa ya kumuaga Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, marehemu Raila Amolo Odinga, imefanyika leo jijini Nairobi, ikiunganisha...

READ MORE

Odinga Alipokutana Live na Mwandishi wa Global na Kumshangaza

Nikiwa mwandishi na mpiga picha wa kawaida sana nisiye na makuu Novemba 27 mwaka 2011 nilikuwa mpiga picha wa matukio...

READ MORE

Mkulima Singida Ahukumiwa Kifungo cha Maisha kwa Kumbaka Mjukuu Wake

Mahakama ya Wilaya ya Singida imemhukumu Hamis Said Debwa (65), mkulima na mkazi wa Mnung’una, kifungo cha maisha jela kwa...

READ MORE

Serikali Yapandisha Kima cha Chini cha Mshahara kwa Sekta Binafsi kwa Asilimia 33.4

Serikali imetangaza ongezeko la kima cha chini cha mshahara kwa wafanyakazi wa sekta binafsi kwa wastani wa asilimia 33.4, kutoka...

READ MORE

TBL Yafanya Maadhimisho ya Global Beer Responsible Day

Dar es salaam, 17 Oktoba, 2025. Kampuni ya bia Tanzania Breweries Plc (TBL), ambayo ni kuwa sehemu ya familia ya...

READ MORE