×

Sakata la Kagere Kusepa Simba Lipo Hivi

IMEKWISHA hiyo! Ndivyo utakavyoweza kusema sasa rasmi mshambuliaji wa Simba Mnyarwanda, Meddie Kagere ataendelea kusalia katika klabu hiyo kwa msimu...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 5, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 5, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS  https://apple.co/38HjiCx Android  http://bit.ly/38Lluc8...

READ MORE

Kwa Yanga hii, Mtapigwa Nyingi Sana!

YANGA juzi ilitangaza kamati mpya ya mashindano ambayo inaongozwa na matajiri, watoto wa mjini waliowahi kuipa makombe saba Yanga kabla...

READ MORE

Tanzania Itapata Faida Nyingi za Kiuchumi Ikiridhia Mkataba wa AfCFTA

  Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo  Tanzania itapata faida nyingi za kiuchumi endapo itaridhia Mkataba wa...

READ MORE

Kumbilamoto Afanya Ziara Vingunguti, Akagua Ujenzi wa Barabara

MEYA wa Jiji la Dara es salaam, Omary Kumbilamoto amefanya ziara kutembelea Ujenzi wa Barabara inayotoka Baracuda kuelekea Vingunguti Mataa....

READ MORE

Wizara Ya Elimu Zanzibar, Tanzania Bara Kuendeleza Ushirikiano

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako (Mb) Septemba 3, 2021 Jijini Dar es Salaam amekutana...

READ MORE

Ruvu Shooting: Hatutafanya Makosa

UONGOZI wa Ruvu Shooting umebainisha kwamba utasajili watu wa kazi kwa ajili ya msimu wa 2021/22 ili kuepuka makosa ambayo...

READ MORE

Kipa wa Yanga Shikalo Atua KMC -Video

FAROUK Shikalo aliyekuwa kipa namba mbili wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi leo Septemba 4 ametambulishwa kuwa mali...

READ MORE

Simba Yaahirisha Jambo Lake

Muonekano wa jezi mpya za klabu ya Simba zitakazotumika mechi za nyumbani msimu wa 2021/22 kwenye mashindano mbalimbali.   Wekundu...

READ MORE

Aliyemfumua Mshono Mgonjwa Kisa Elfu 10 Yamkuta

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imesema video inayosambaa mitandaoni ikimuonyesha daktari aliyemshona jeraha mgonjwa...

READ MORE

Kisa Picha ya Paula, Kajala Amwaga Povu

VARANGATI limeibuka mtandaoni kufuatia msanii Shebylove kutumia picha inayodaiwa kuwa ni ya mtoto wa Kajala Masanja, Paula wakati akitengeneza cover...

READ MORE

Serikali, Huawei Kuwaendeleza Wanawake Sekta ya TEHAMA

Serikali imeahidi kushirikiana na kuunga mkono jitihada za kampuni ya Mawasiliano ya Huawei katika kuweka mkazo zaidi na kuwaendeleza wanawake...

READ MORE

Maajabu: Azaliwa na Sehemu za Kike Kisha Kuota za Kiume

Kijana wa miaka 19 mkazi wa Bukoba, aliyezaliwa na jinsi ya kike na baadaye kuota sehemu za siri za kiume...

READ MORE

Gomes Ampiga Biti Zito Morrison

UNAAMBIWA! Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes Da Rosa, amewataka nyota wake wote waliopo kwenye mapumziko mafupi kutojisahau kufanya mazoezi...

READ MORE

Baada ya Kupigwa na Msauzi, Tony Ataja Dawa – Video

Bondia wa Mtanzania, Tony Rashid ameshindwa kuutetea mkanda wake wa Ubingwa wa ABU dhidi ya bondia Bongani Mahlangu raia wa...

READ MORE

Waarabu, TP Mazembe Kukipiga Simba Day

  IPO wazi kwamba Septemba 19 mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Simba kwenye Tamasha la Simba Day watacheza na moja...

READ MORE

Nandy Kufanya Balaa la Viwanja vya Posta, Dar

FAUSTINA Charles Mfinanga; unaweza kumuita Nandera au Nandy ametangaza balaa la kufa mtu leo, Jumamosi, Septemba 4, 2021 katika Viwanja...

READ MORE

Ndemla Atambulishwa Mtibwa Sugar – Picha

Klabu ya Mtibwa Sugar ya Turiani mkoani Morogoro, imefanikiwa kupata saini ya kiungo fundi mwenye uwezo wa kupiga mashuti ya...

READ MORE

Mwakinyo: Kuna Watu Wananichukia – Video

BONDIA namba moja Tanzania na Afrika, Hassan Mwakinyo amesema wapo baadhi ya Watanzania wanaomchukia kutokana na mafanikio anayoyapata kupitia tasnia...

READ MORE