×

Wazee wa Yanga Waibuka Upya- Video

Wazee wa Yanga waibuka upya, Kuelekea mchezo wa watani wa Jadi kati ya Simba dhidi ya Yanga Wazee hao wameitisha...

READ MORE

Kufuru! Komunio Mtoto wa Uwoya, Dorah, Tabu na Mumewe Kimeumana | Hotpot

KATIKA kipindi cha ‘HOTPOT’ leo Juni 14, wadakuzi wa mambo wamezungumzia ‘Party’ ya kibabe aliyofanya Irene Uwoya kwa ajili ya...

READ MORE

Rais Samia Aweka Jiwe La Msingi Ujenzi wa Reli Ya Kisasa (SGR)-Video

RAIS Samia Suluhu Hassan, leo Juni 14, ameendelea na ziara ya siku 3 katika jiji la Mwanza. ambapo leo anaweka...

READ MORE

Rais wa Zamani wa Zambia Alazwa

RAIS wa kwanza wa Zambia, Dk. Kenneth Kaunda amelazwa katika Hospitali ya Maina Soko jijini Lusaka kufuatia maradhi yanayomsumbua kwa...

READ MORE

Mwanza Kuwa Kitovu cha Biashara

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema sababu za Serikali kuimarisha huduma za kiuchumi mkoani Mwanza kwamba inalenga kufanya mkoa...

READ MORE

Familia Iliyouwawa na House Boy Wao, Miili Yaagwa Kanisani- Video

Familia Iliyouawa na House Boy Wao, Miili Inaagwa Kanisani muda huu 

READ MORE

Fahamu CPR Huduma Iliyookoa Maisha ya Christian Eriksen

  MASHABIKI wa kandanda wiki iliyopita walipatwa na huzuni baada ya mchezaji wa timu ya taifa ya Denmark, Christian Eriksen...

READ MORE

Wahadhiri Wenye Miaka 65 Waendelee Kufundisha- Dkt Tulia

NAIBU Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ameisisitiza Wizara ya Elimu kuhakikisha wanaliangalia upya suala la Wahadhiri ili waweze kuendelea...

READ MORE

Hukumu ya Mdude wa Chadema Yaahirishwa

MAHAKAMA  ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya imeahirisha kusoma hukumu ya kesi inayomkabili kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

Kazi Kwenu: Vitu Vinauzwa Bei Chee, Yani Sawa na Bure

SEPCO BEDT COLLECTION AND AUCTIONEERING CO. LTD kwa wa idhini tuliyopewa na mteja wetu tutauza vitu mbalimbali kwa mnada wa...

READ MORE

Afya ya Rais Lungu Ipo Vizuri

RAIS wa Zambia Edgar Lungu amewahakikishia wananchi kwamba yuko vizuri kiafya baada ya kuzimia wakati  akihutubia mkutano wa hadhara, jana...

READ MORE

Walimu 1135 Wapandishwa Madaraja

WAZIRI Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI),  Ummy Mwalimu, amesema tayari wameshawapandisha madaraja walimu 1135...

READ MORE

Rais Samia Atuma Salamu za Rambirambi Kifo cha Prof. Baregu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan Ametuma salamu za rambirambi kuaaatia kifo cha Prof. Mwesiga Baregu...

READ MORE

Rais Samia Asimama Barabarani , Kusikiliza Kero za Wananchi- Video

RAIS Samia Suluhu Hassan, leo Juni 14, ameanza rasmi ziara ya siku 3 katika jiji la Mwanza… ⚫️ Kwa UPDATES...

READ MORE

Video: Sabaya Tuhuma Zamininika, Familia Yafunguka Kifo Cha Mama Na Wanae | Front Page

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Israel Yajiandaa Kuapisha Waziri Mkuu Mpya

ISRAEL  ipo katika maandalizi ya kuapishwa kwa serikali mpya ambayo itamfanya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuwa upande wa upinzani baada...

READ MORE

Kaseke Aweka Rekodi Yake Yanga

NYOTA mzawa, Deus Kaseke anayecheza ndani ya kikosi cha Yanga ameweka rekodi yake ya kuwa mzawa anayefanya vema ndani ya...

READ MORE

Nafasi ya kazi TTCL, Mkaguzi wa ndani mwandamizi

POST MKAGUZI WA NDANI MWANDAMIZI – 1 POST POST CATEGORY(S) ACCOUNTING AND AUDITING EMPLOYER Tanzania Telecommunications Company Limited (TTCL) APPLICATION...

READ MORE

Shishi: Ukitaka Kujua Moto Wangu, Mguse Mume Wangu

Amezaliwa Igunga mkoani Tabora  mwaka 1987. Jina lake halisi ni Zuwena Yusuph Mohammed. Ila wengi wanamtambua kwa jina lake la...

READ MORE