×

Maharusi Wakesha Uwanja wa Mpira kwa Kukiuka Masharti ya Corona

Picha na video za bibi na bwana harusi wakiwa pamoja na familia zao zimepigwa wakiwa wamekesha katika uwanja wa mpira...

READ MORE

Guardiola Alia na UEFA, FIFA

BOSI wa Manchester City, Pep Guardiola amelalamika kuwa Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) pamoja na Shirikisho la Soka la Kimataifa...

READ MORE

Lupita Nyong’o Atembelea Serengeti kwa Mara ya Kwanza

  Nyota wa Hollywood kutoka nchini Kenya Lupita Nyong’o ametembelea kwa mara ya kwanza mbuga ya wanyama ya Tanzania ya...

READ MORE

Ferdinand: De Gea Ataondoka Man U

MKONGWE wa Manchester United, Rio Ferdinand amesema kitendo cha kipa David De Gea kuwekwa benchi ni wazi staa huyo hataendelea...

READ MORE

Shigongo Achimba Visima vya Maji Buchosa

  IKIWA ni mkakati kuhakikisha tatizo la maji linamalizika katika maeneo mbalimbali ya Jimbo la Buchosa, Mbunge wa Jimbo hilo...

READ MORE

Simba Yakwea Pipa Kuwafuata Al Ahly

PATRICK Rweyemamu, Meneja wa Klabu ya Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa kimataifa dhidi ya...

READ MORE

Wafungwa 1,800 Watoroka Jela

Mamlaka ya kitaifa ya magereza nchini Nigeria imethibitisha kwamba zaidi ya wafungwa 1,800 wametoroka jela nchini humo kufuatia shambulio la...

READ MORE

Antony Joshua, Tyson Fury Vita ya Wanaume

  Mratibu wa mapambano ya bondia Antony Joshua, Eddie Hearn, amethibitisha kuwa bondia huyo ameaanza maandalizi ya kujiandaa na pambano...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Walimu 6,000 Waajiriwe – Videio

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu amewataka Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za...

READ MORE

Raiola Ajibu Kuhusu Kupokea wa Mkwanja, Haaland Kwenda Barca

WAKALA wa mchezaji Erling Haaland, Mino Raiola amekanusha uvumi unaoenea kuwa amepokea Euro milioni 40 ambazo ni sawa na bilioni...

READ MORE

Rais Samia: Ukinizingua, Tutazinguana! – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaagiza watendaji wa serikali kujituma kufanya kazi akisisitiza...

READ MORE

Onyango Akabidhiwa Tuzo Simba SC

BEKI kisiki wa Simba raia wa Kenya, Joash Onyango, amekabidhiwa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Machi wa kikosi hicho...

READ MORE

Rais Samia Ataka Waliofunga Biashara Warejeshwe – Video

  Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameitaka Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kuangalia namna bora ya kuwarudisha wafanyabiashara...

READ MORE

Samia Atoa Maagizo Sakata la Vifurushi vya Intaneti – Video

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kushughulikia sakata la kupanda kwa...

READ MORE

Serikali Yakiri Kukosa Fedha Ujenzi Barabara ya Morogoro – Tanga

Serikali ya Tanzania imekiri kukosa bajeti ya ujenzi wa kiwango cha lami barabara ya Kilindi-Iyogwe hadi Gairo yenye urefu wa...

READ MORE

Bango la Wananchi Kuondoka na Mkurugenzi, DC – Video

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema viongozi wa kitaifa wakikutana na mabango katika ziara zao, atawaondoa kazini mkurugenzi wa...

READ MORE

Rais Samia: Vyombo vya Habari Mlivyovifungia, Vifungulieni – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuvifungulia...

READ MORE

Ajella: Mimi Bado Mdogo, Sina Boyfriend

First Lady wa lebo ya Konde Gang Anjella amesema yeye bado ni mtoto mdogo sana ndio kwanza ana umri wa...

READ MORE

Rais Samia Kuunda Tume ya Covid-19 – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu amesema anatarajia kuunda kamati ya wataalamu ambayo itamshauri kuhusu...

READ MORE

Nafasi za Kazi Mbili DART, Deadline 11 April 2021

Principal Supplies Officer II Ref. No. AB.186/358/01/19 TRANSFER VACANCIES. Dar Rapid Transit (DART) would like to invite applications from suitably...

READ MORE