×

Diamond Afuta Ujumbe wa Kuoa Mke wa Pili, Mashabiki Washangaa

Msanii nyota wa Bongo Fleva na Mkurugenzi Mtendaji wa WCB Wasafi, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz, ameibua maswali mapya...

READ MORE

Vigogo CHADEMA Waburuzwa Mahakamani, Wamo John Heche na Mnyika

Dar es Salaam – Katika hatua isiyotarajiwa, aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Issa Mohammed, pamoja na wenzake...

READ MORE

Simba Yamtambulisha Dimitri Pantev, Sintofahamu Yatawala Nani Kocha Mkuu

Klabu ya Simba Sc imemtambulisha kocha Dimitri Pantev kama meneja wa timu hiyo huku vyanzo vikieleza kocha mkuu wa Wekundu...

READ MORE

Wikiendi ya Soka Barani Ulaya: Mechi Kali na Fursa za Kubashiri Kupitia Meridianbet

Wikiendi hii, mashabiki wa soka wanakaribishwa kwenye tamasha la mechi kali, ushindani wa hali ya juu, na fursa tele za...

READ MORE

“Sweety” Ya Nandy na Jux Yazua Gumzo Mitandaoni – Video

Staa wa muziki wa Bongofleva Nandy kwa kushirikiana na Juma Jux wameachia rasmi video ya wimbo wao mpya “Sweety”, ambao...

READ MORE

Kevin Mbogo wa CCM Afariki Dunia Baada ya Ajali ya Gari Dar

Aliyekuwa mmiliki wa Home Grand Hotels, TCCIA Region Treasurer, na mfadhili wa CCM Wazazi, Kevin Williams Mbogo, amefariki dunia kwa...

READ MORE

Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuikabili Zambia

TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo dhidi ya timu ya taifa ya...

READ MORE

Diddy Ahukumiwa Miaka 4 Jela kwa Kesi ya Usafirishaji wa Wanawake

Staa wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani, Sean ‘Diddy’ Combs amehukumiwa kwenda jela miezi 50 (sawa na miaka 4...

READ MORE

Rais Dkt.Mwinyi amteua Prof.Abdi Talib Abdalla kuwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)

ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Prof.Abdi Talib Abdalla kuwa Naibu Makamu...

READ MORE

Mambo Sita Yasiyopaswa Kufanywa Wakati Wa Ujauzito… Soma Hapa

Kuna mambo mengi yasiyopaswa kufanywa na mjamzito na leo tutadodosa baadhi kama ifuatavyo: Kunywa Pombe Mwanamke mjamzito hapaswi kunywa pombe....

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 4, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Ibrahim Bacca Afungiwa Mechi 5 Baada ya Rafu Mbaya

    Shirikisho la Soka nchini (TFF) limemchukulia hatua kali mchezaji wa Young Africans, Ibrahim Abdullah, baada ya kumpiga rafu...

READ MORE

Dkt. Samia: Tunaboresha Usafiri wa Anga Kuongeza Fursa za Utalii Arusha – Video

Wakazi wa Wilaya ya Karatu, mkoani Arusha, leo Ijumaa Oktoba 3, 2025 wamejitokeza kwa wingi kumpokea na kumsikiliza Mgombea wa...

READ MORE

FIFA Yazindua Mpira Mpya “Trionda” kwa Kombe la Dunia 2026

Shirikisho la Soka Duniani, FIFA, limezindua rasmi mpira wa mashindano ya Kombe la Dunia 2026 unaojulikana kama “Trionda”, mpira wenye...

READ MORE

Vodacom Yawainua Wanawake Na Vijana Kupitia Mpira Wa Kikapu 

Mkurugenzi wa Tehama wa Vodacom Tanzania Plc, Bw. Athumani Mlinga, akimkabidhi Amini Juma, mchezaji wa Dar City Basketball, hundi ya...

READ MORE

Sherehe ya 40 Ya Mtoto wa Jux na Priscilla Yazua Gumzo Mitandaoni

Msanii nyota wa RnB Juma Jux na mke wake mrembo Priscilla wameweka kumbukumbu nyingine ya kipekee baada ya kufanya sherehe...

READ MORE

Ajali ya Moto Kibaha: Watoto Watatu Wafariki Dunia

Watoto watatu wamefariki dunia baada ya nyumba ya ghorofa moja kuteketea kwa moto katika Mtaa wa Kitende, Kwa Mfipa, Wilaya...

READ MORE

Sean ‘Diddy’ Combs Aomba Huruma ya Jaji Kabla ya Hukumu

Sean ‘Diddy’ Combs amemuandikia barua ya kuomba huruma Jaji Arun Subramanian aliyesimamia kesi yake, siku moja kabla ya kuhukumiwa, baada...

READ MORE

Leo Ni Siku ya Mashujaa: Odds Kali na Burudani za Michezo

Mambo yanazidi kushika kasi barani Ulaya. Na leo mashabiki wa soka wanatarajia burudani ya hali ya juu kutoka kwa ligi...

READ MORE

Dkt. Samia Aahidi Kuimarisha Utalii na Michezo Arusha

Arusha, Oktoba 2, 2025 – Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi...

READ MORE