×

Nafasi za Kazi MeTL Group, Director of Learning and Development

Job Purpose:    To lead on the establishment and development of the institute/training centre that is envisioned to offer international/national...

READ MORE

LIVE​​: TRA YAMJIBU MBOWE, MZEE MWINYI AMKUBALI SAMIA | FRONT PAGE

 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8​ ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx​

READ MORE

Shilingi Trilioni 114.8 Zapitishwa na Bunge

Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania jana Jumatatu tarehe Aprili 12, 2021 limepitisha Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Aprili 13, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 13, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Mama Atoroka na Mahari ya Binti Yake

Mama mmoja kutoka Tana River nchini Kenya aliyejulikana kwa jina la Ann Maweni, amewashangaza mashemeji wake baada ya kutoroka na...

READ MORE

Mdee Avuruga Bunge, Awaita ‘Manjuka’ Slaa, Kunambi Wamvaa – Video

Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi amemuonya Mbunge, Halima Mdee kuacha kuwaita wabunge wapya ‘njuka’ kwa lugha za kejeli. Kunambi ametoa...

READ MORE

Mazito! Rayvanny Kumchana Harmo, Mambo Yawa Mazito – Video

Katika kipindi cha ‘HOTPOT’ Wajuzi wa mambo wamedadavua ishu ya Mwanamuziki, Rayvanny, kumchana mwanamuziki mwenziye Harmonize, kwa madai ya kwamba...

READ MORE

Mradi wa Bandari ya Bagamoyo Pasua Kichwa – Video

Spika wa Bunge, Job Ndugai  amedai kuna upotoshaji mkubwa kuhusu mradi wa bandari ya Bagamoyo. “Tunaposisitiza utekelezaji wa mradi huu...

READ MORE

Kishimba: Wagonjwa Wakopeshwe, Ukikosa Dawa Piga Simu Polisi

Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba (CCM), amesema ipo haja mtu asipopata matibabu hospitalini, apige simu polisi ili askari wawakamate...

READ MORE

Je! Unajua ni Kwanini Diamond Platnumz Anapenda itel A37?

Takribani wiki mbili baada ya itel kumtangaza balozi wake ambaye ni Diamond platnumz, sasa imebainishwa sababu za Diamond platnumz kuipenda...

READ MORE

Kijana Ajiua Baada ya Kukataliwa na Mpenzi Wake

  Kijana aitwaye Kitachana Shenani (30) mkazi wa kitongoji cha Senta kijiji cha Makundusi Wilaya ya Serengeti mkoani Mara amejinyonga...

READ MORE

Mourinho: Son Ana Baba Bora Kuliko Ole Gunnar

Jose Mourinho amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii hapo jana siku ya Jumapili baada ya kocha wa Manchester United Ole...

READ MORE

Ndugai Atoa Maagizo Kuhusu Mjadala Ripoti ya CAG

Spika wa Bunge Job Ndugai amezitaka kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na Hesabu za Serikali za Mitaa...

READ MORE

Tundu Lissu Aomba Kukutana na Rais Samia

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na aliyekuwa mgombea wa Urais kupitia chama hicho mwaka 2020, Tundu...

READ MORE

Mume wa Malkia Kuzikwa Aprili 17, 2021

MAZISHI ya mume wa Malkia Elizabeth II wa Uingereza, Mwanamfalme Philip, yatafanyika wiki ijayo, Aprili 17, majira ya saa nane...

READ MORE

Mzee Mwinyi: Rais Samia Ameanza Vizuri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 12 Aprili, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo...

READ MORE

Kigoma: Akatwa Shingo, Wauaji Waondoka na Kichwa

Mtu mmoja mkazi wa kijiji cha Janda wilayani Buhigwe mkoani Kigoma aliyetambulika kwa jina Shinze Mugarama ameuawa kwa kukatwa shingo...

READ MORE

Mbowe: Nimepata Chanjo ya Corona ‘AstraZeneca’

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema amepata chanjo ya #COVID19 ya Astrazeneca alipokuwa...

READ MORE

Coca-cola Yaitambulisha ‘Sisimua Maisha na Fanta’

Kampuni ya Coca Cola Tanzania, imezindua kampeni ya Sisimua Maisha na Fanta katika hafla iliyopambwa na burudani mbalimbali jijini Dar...

READ MORE