×

Henderson Ala Shavu Man U, Kumuweka Nje De Gea

KUNA uwezekano kipa namba mbili wa Manchester United, Dean Henderson, akamuweka benchi kipa namba moja wa kikosi hicho, David de...

READ MORE

Rais Magufuli Awaondoa Hofu Watanzania -Video

Rais Dk John Magufuli amewataka watanzania kutokuwa na hofu na ugonjwa wa corona na badala yake wanatakiwa kumtanguliza Mungu mbele...

READ MORE

Laini za Simu Kuwekwa ‘Password’ Kuanzia Julai Mosi

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imesema ifikapo Julai mosi, laini zote zitakazotolewa zitakuwa na neno la siri ambalo mteja atatakiwa...

READ MORE

Simba Yaiwekea Al Ahly Kikao Kizito

MIKAKATI ya kuhakikisha Simba inavuna pointi tatu dhidi ya Al Ahly ya Misri, imeendelea usiku wa kuamkia jana, ambapo benchi...

READ MORE

Wawili Wafariki Kwenye Maandamano Myanmar

IDARA ya huduma za dharura nchini Myanmar imesema, watu wawili waliuawa katika mji wa Mandalay jana Jumamosi Feb. 20 wakati...

READ MORE

JPM Awataka Watanzania Kuchukua Tahadhari ya Corona

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli, amewataka watanzania kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa Korona kama zinaelekezwa na...

READ MORE

JPM Ashiriki Ibada Ya Dominika Ya Kwanza Ya Kwaresima Oystrerbay Dar

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  leo Februari 21, 2021 ameshiriki katika Ibada ya Dominika...

READ MORE

Mastaa 8 Simba SC Kuwakosa Waarabu

DIDIER Gomes huenda akawakosa nyota wake nane kwenye kikosi cha kwanza katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya...

READ MORE

Mugalu Awachimba Mkwara Waarabu

MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu raia wa DR Congo, amefichukua kuwa wana kila sababu ya kuhakikisha wanapata ushindi katika mchezo...

READ MORE

Bwana Mpya Amponza Zari

YULE bwana mpya aliyemtambulisha kwa picha hivi karibuni mzazi mwenziye Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’,...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Februari 21, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 21, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazeti la...

READ MORE

Yanga Yashinda dhidi ya Mtibwa Bao 1-0

FULL TIME: Pointi tatu zinakwenda Jangwani, ukiwa ni ushindi wa kwanza baada ya kuukosa katika mechi tatu zilizopita. Nyota kutoka...

READ MORE

Jinsi ya Kuongeza Kinga ya Mwili Kupambana na Corona Mpya

Wakati wimbi jipya la maambukizi ya virusi vya Corona yakizidi kuwa tishio duniani kote, utafiti wa Kisayansi umeendelea kuonesha kwamba...

READ MORE

Kaze Aja na Gia Nyingine Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze amefunguka kuwa licha ya kupata matokeo ya sare katika mechi mbili mfululizo lakini...

READ MORE

Hitimana Aihofia Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Hitimana Thierry ameihofia timu ya Yanga kuelekea katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa leo...

READ MORE

Majaliwa: Tujiridhishe na Barakoa, Tuliombee Taifa – Video

  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewashukuru viongozi wa dini kwa kuendelea na maombi ya...

READ MORE

Amuua Mama’ake Mzazi kwa Kumkata Shingoni Kisa Utajiri

  Jeshi la polisi mkoani Kagera linamshikilia Fredius Philibart Kibengo mkazi wa Omurushaka wilayani Karagwe kwa tuhuma za kumuua mama...

READ MORE

Kauli ya Vicky Kamata Baada ya Mumewe Kufariki

ALIYEKUWA kuwa mbunge wa Viti Maalum, Vicky Kamata, ameandika kuwa alidhani yeye ni jasiri, baada ya kumpoteza mume wake Dkt.Servacius...

READ MORE

Fiston Arejea Kuivaa Mtibwa sugar

UONGOZI wa Yanga umewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia kuwa mshambuliaji wao Mrundi, Fiston Abdoul Razack leo atakuwepo...

READ MORE