×

Benki ya NBC Yaibuka Kinara Maonesho ya Madini Geita.

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeibuka kinara kwenye Maonesho ya Madini na Teknolojia yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mkoani Geita...

READ MORE

Benki ya NBC Yawaasa Wazazi Kuwekeza katika Bima ya Elimu

Wazazi nchini wameshauriwa kujenga utamaduni wa kuwakatia watoto wao Bima ya elimu itakayo wahakikishia uhakika wa kupata elimu bora hata...

READ MORE

Rais Asimamisha Mshahara wa Waziri

RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa,  ametoa onyo kali kwa waziri wake wa ulinzi, Nosiviwe Mapisa – Nqakula,  na kusimamisha...

READ MORE

Samatta Aanza kwa Sare Fenerbahce

Derby ya Uturuki inayoikutanisha Galatasary na Fenerbahce anayochezea Mtanzania Mbwana Samatta imemalizika kwa sare ya kutofungana.   Samatta aliYEingia dakika...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Septemba 28, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 28, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Jiwe Kubwa la Madini Lapatikana Morogoro

WAZIRI wa Madini, Dotto Biteko, ametangaza habari njema baada ya kupatikana kwa jiwe jingine tena kubwa la madini aina ya...

READ MORE

Mshauri wa Papa Ajiuzulu, Kisa Kuwapa Ndugu Fedha ya Kanisa

KADINALI wa ngazi za juu Vatican, Giovanni Angelo Becciu, amejiuzulu ghafla bila kutarajiwa lakini imebainika kuwa aliambiwa na Papa Francis...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Wahitimu Victory Secondary Waaswa Kulinda Maadili Wakifanya Mahafali

Shule ya Sekondari Victory iliyopo Mwandege mkoa wa Pwani imefanya mahafali ya kumi na tatu ya wanafunzi wanaomaliza kidato cha...

READ MORE

Tundu Lissu Aitwa NEC Kujieleza

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya...

READ MORE

Yanga Waichapa Mtibwa Sugar 1-0 Ligi Kuu

Yanga SC wameendeleza staili yao ya ushindi mwembamba katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya leo pia kuichapa Mtibwa...

READ MORE

Video: CCM Yatangaza Siku 30 Za Kampeni Za Nguvu

MGOMBEA urais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dk.John Pombe Magufuli kesho...

READ MORE

RC KUNENGE AWATAKA WANAWAKE KUWA MAJASIRI NA KUCHANGAMKIA FURSA.

Mkuu Wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge ametoa wito Kwa wanawake nchini kujiamini na kuonyesha uwezo wao...

READ MORE

Shule Nyingine ya Kiislam Yaungua Moto Tabora

Shule ya Awali na Msingi ya Taasisi ya Kiislamu ya Istiqaama iliyopo mkoani Tabora imeungua moto usiku wa kuamkia leo...

READ MORE

Mwili wa Mtoto wa Mfanyakazi wa Global Group Wazikwa Dar

Meneja wa Kampuni ya Global Publishers, Abdallah Mrisho, leo Jumapili ameongoza wafanyakazi wa kampuni hiyo katika kumfariji mfanyakazi mwenzao, Hashim...

READ MORE

Serikali Yakanusha Watendaji Wa Halmashauri Kuitwa Dodoma Na Dkt. Magufuli

Ofisi ya Rais – TAMISEMI imekanusha taarifa iliyotolewa na Mgombea Urais kupitia CHADEMA kwa kusema kuwa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri...

READ MORE

Video: Polepole Aelezea Kifo Cha Mwenyekiti UVCCM, Iringa

Katibu Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole aelezea yaliyomsibu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM...

READ MORE

Nafasi za Kazi Nne HACOCA Tanzania – District Data Clerk

Introduction: HURUMA AIDS CONCERN AND CARE (HACOCA) is a registered Non- Governmental organization with its Head Quarters in Morogoro Municipal....

READ MORE

Kwa Rekodi Hizi, Hawatoki Salama Jamhuri Moro!

MABINGWA wa kihistoria katika Ligi Kuu Bara, Yanga, leo Jumapili wana kazi moja tu ya kuhakikisha wanaibuka na ushindi mbele...

READ MORE

Sarpong: Simba SC Watanyamaza Wenyewe

MSHAMBULIAJIwa Yanga, Mghana, Michael Sarpong amewajibu mashabiki wa Simba kwa kuwaambia suala la yeye kushindwa kufunga haliwezi kumuumiza kichwa kwa...

READ MORE