×

Vita ya Chadema, NCCR Mageuzi Kilimanjaro Furaha kwa Kunguru

TANGU kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi, mkoa wa Kilimanjaro umekuwa ngome ya upinzani kwa kupitia vyama vya NCCR Mageuzi...

READ MORE

Mdee: Gwajima Kitu Gani? Tutakutana Jukwaani

HALIMA Mdee, Mgombea Ubunge Kawe, Dar es Salaam kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema ‘Gwajima (Josephat Gwajima) kitu...

READ MORE

Sarpong Ataka Rekodi ya Mabao Yanga

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong, amefunguka kuwa deni kubwa kwa sasa lililo mbele yake ni kuhakikisha anafunga mabao...

READ MORE

Wafukua Sarafu za Dhahabu Zenye Miaka 1,100

VIJANA waliojitolea kuchimba katika hazina ya kiikiolojia ya Israel wamebaini sarafu 425 ambazo zilikuwa zimezikwa kwenye chungu cha udongo kwa...

READ MORE

Wanaodaiwa Kumteka Mo Dewji, Kesi Yafikia Hapa – Video

MUSA TWALIBU mkazi wa jijini Dar es Salaam,  anayekabiliwa na kesi ya tuhuma ya kumteka mfanyabiashara, Mohamed Dewji Mo,  ameieleza...

READ MORE

Lema, Gambo Wakutana!

WAGOMBEA ubunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Godbless Lema wa Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

Yondani Kurejeshwa Yanga SC

IMEFAHAMIKA kuwa upo uwezekano mkubwa wa beki mkongwe Kelvin Yondani ‘Vidic’ kurejeshwa kikosini baada ya kuanza mazungumzo upya na uongozi...

READ MORE

Balaa! Mapokezi ya Carlinhos Yatetemesha Yanga – Video

  KIUNGO fundi, Carlos Sténio Fernandes Guimarães do Carmo ‘Carlinhos’ (25), amewasili rasmi nchini tayari kuanza majukumu yake ndani ya...

READ MORE

NEC Yamteua Muttamwega Kugombea Urais Kupitia SAU

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kupitia kwa M/kiti wake, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage, imewateua Muttamwega Mgaywa kuwa mgombea wa...

READ MORE

Trump Ateuliwa Kuwania Urais Kupitia Republican

CHAMA  cha Republican nchini Marekani jana kimemuidhinisha Donald Trump kuwa mgombea wake wa kiti cha urais katika uchaguzi wa Novemba...

READ MORE

Cecilia Mwanga Kugombea Urais Dem. Makini – Video

MWENYEKITI  wa NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Cecilia Mwanga, kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya...

READ MORE

Dada wa Kazi Mbaroni Akituhumiwa Kuua Mtoto

MTUMISHI wa kazi za ndani Ashura Suka (15) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za mauaji...

READ MORE

Maganja Ateuliwa na NEC Kugombea Urais – Video

MWENYEKITIwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Semistocles Kaijage, amemteua Yeremia Maganja wa NCCR-Mageuzi kuwa mgombea urais wa...

READ MORE

NEC Yamteua Lipumba Kugombea Urais – Video

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage, kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa...

READ MORE

Membe Arejesha Fomu ya Urais, NEC Yamteua – Video

TUMEya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imemteua Bernard Membe kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo na mgombea mwenza, Profesa Omar...

READ MORE

 Balama Kuzikosa Mechi Nne Yanga

  KIUNGO wa Yanga, Balama Mapinduzi, anatarajiwa kurejea uwanjani baada ya wiki nne kutokana na kutibu mguu wake wa kushoto...

READ MORE

Mali: Jeshi Laigomea ECOWAS Kumrudisha Rais Keita

MAZUNGUMZO nchini Mali yanayolenga kutatua mzozo wa kisiasa unaoendelea kufuatia mapinduzi yaliofanyika wiki iliopita yamemalizika bila makubaliano huku viongozi wa...

READ MORE

Shambulio Burundi: Watu 15 Wauawa

TAKRIBAN watu 15 wameripotiwa kuuawa na wakati watu wenye silaha walipofanya mashambulio Kusini mwa Burundi.   Mapigano hayo yaliyotokea katika...

READ MORE

Tanzia: Rais Pascal Lissouba Afariki Dunia

RAIS  wa zamani wa Congo/Brazaville Pascal Lissouba, amefariki dunia nchini Ufaransa akiwa na umri wa miaka 88, chama chake kimeliambia...

READ MORE

Ronaldinho Aachiliwa Huru Paraguay

  MCHEAJI wa soka wa Brazil,  Ronaldinho,  ameachiliwa kutoka kifungo cha nyumbani nchini Paraguay baada ya kufungwa kwa kumiliki paspoti...

READ MORE