×

Esma: Najua Watu Wanafurahia Ndoa Yangu Kuvunjika

ULE usemi; ‘wataachana tu’ wakati wa kufungwa kwa ndoa ya dada wa mwanamuziki mkubwa barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Septemba 9, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 9, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Wafungwa Wafa Njaa, Kikombe cha Uji kwa Siku 3

WAFUNGWA katika Gereza la Bunia mkoani Ituri, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,  wanakabiliwa na baa la njaa, baada...

READ MORE

Miujiza Ndoa ya Mondi na Zuchu

LICHA ya mwenyewe kutoanika kinaga ubaga kuhusu mkewe mtarajiwa, lakini kuna mambo yameanikwa ambayo yanashangaza endapo staa wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Maelfu Wafurika Kampeni za Mama Samia Kigamboni

Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameendelea na ziara ya kuomba kura kupitia Chama...

READ MORE

Sarpong, Tonombe Wampa Jeuri Niyonzima Yanga SC

KIUNGO mchezeshaji fundi, raia wa Rwanda, Haruna Niyonzima, ametamba kuwa wana kila sababu ya kuuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Marekani Yawataka Watanzania Kushiriki Uchaguzi

Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe. Dkt. Donald Wright amewataka Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Octoba mwaka huu...

READ MORE

Kagere Aitaka Tena Rekodi Ya Mabao Simba

MSHAMBULIAJI wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere, amefichua kuwa bado ana ndoto kubwa ya kuendelea kufunga mabao katika Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Kauli ya Harmonize Baada ya Kuwasaini Wasanii wa Kiba

Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva ambao walikuwa chini ya Lebo ya Kings Music Records iliyo chini ya Alikiba ambao...

READ MORE

Msako wa Walioiba Kombe Waanza Misri

UCHUNGUZI umeanzishwa na Shirikisho la soka nchini Misri (EFA) baada ya kubaini kuwa vikombe kadhaa vimepotea kutoka Makao Makuu yake...

READ MORE

Kubenea Apandishwa Kizimbani, Arudishwa Rumande

Mbunge wa Jimbo la Ubungo aliyemaliza muda wake Saed Kubenea amepandishwa kizimbani mbele ya hakimu mkazi wa mahakama ya wilaya...

READ MORE

Lipumba: Nitakuwa Rais wa Kwanza Kupata Tuzo

LEO Septemba 7, 2020, Chama cha Wananchi CUF kimezindua rasmi kampeni zake katika viwanja vya Sabasaba mkoani Mtwara, ambapo mgombea...

READ MORE

Bwalya: Nitapambana Mataji Yaje Simba SC

WAKATI jana Jumapili Simba ikiwa ilianza harakati za kulisaka taji la Ligi Kuu Bara, kiungo wa timu hiyo, Larry Bwalya,...

READ MORE

Afungwa na Miaka 18, Aachiwa Akiwa na Miaka 100

BABU mwenye umri wa miaka 100 aliyekuwa anatumikia kifungo cha maisha jela kwa kosa la mauaji nchini Nigeria ameachiwa huru...

READ MORE

Messi Arejea Mazoezini Barcelona

MCHEZAJI maarufu aliyeifungia Barcelona magoli mengi, Lionel Messi, amerejea mazoezini kufuatia kushindwa kwa jaribio lake la kulazimisha kuondoka katika klabu...

READ MORE

Wasiojulikana Wamchukua Kiongozi wa Maandamano Belarus

KIONGOZI  wa maandamano nchini Belarus, Maria Kalesnikava, amechukuliwa na watu wasiojulikana waliovalia barakoa na kumtia kwenye gari katika eneo la...

READ MORE

Kusah: Aunt Ezekiel Hana Mimba Yangu

BAADA ya hivi karibuni kuhusishwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na Aunty Ezekiel, msanii wa Bongo Fleva, Kusah, amekanusha suala...

READ MORE

Morrison: Huyu Wawa Ukiwa Naye Hukasiriki

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison, raia wa Ghana, amefunguka kuwa amekuwa karibu na beki Muivory Coast, Pascal Wawa kutokana...

READ MORE

Waliomuua Khashoggi Waondolewa Adhabu ya Kifo

  MAHAKAMA nchini Saudi Arabia imeondoa hukumu ya kifo iliyotolewa dhidi ya watu watano waliopatikana na hatia ya mauaji ya...

READ MORE