×

Video: Adam Mchomvu Amlima Mtama Mbasha “Ananiita Bangi?”

MTANGAZAJI wa Clouds Media, Adam Mchomvu ‘Baba Jonii’ ameshindwa kujizuia na kujikuta akimshusha stejini kwa bonge la mtama, mwimbaji wa...

READ MORE

Video: Rais JPM Ashiriki Ibada ya Misa Kanisa Katoliki Parokia ya Chamwino

 Rais Dkt.John Pombe Magufuli ameshiriki katika Ibada ya MisaTakatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A katika Kanisa Katoliki...

READ MORE

Lyon Yaifanya Kitu Mbaya Man City – Video

Moussa Dembele aliingia uwanjani akitokea kwenye benchi la wachezaji wa akiba na kufunga mabao mawili ya dakika za mwisho wakati...

READ MORE

Video: Balaa la Rayvanny, Avamia Steji na Gari la Jeshi

MSANII KUTOKA LEBO YA WCB, Rayvanny ameshuka stejini na gari la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika Tamasha la Chama...

READ MORE

Romy Jones Afunguka Msemo wa ‘Awoote’

Dar: DJ rasmi wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Romy Jones amefunguka, hawezi kuzuia watu kutumia msemo wake wa...

READ MORE

Zuchu Afanya Shoo Ya Kibabe Uwanja wa Uhuru (Picha +Video)

MSANII mpya ndani ya WCB, Zuchu amefanya shoo ya aina yake  katika Tamasha la Chama cha Mapinduzi (CCM) wakizindua Nyimbo...

READ MORE

Nandy, Rayvanny Kitanuka Muda Wowote!

Dar: Sexy lady wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ na mkali mwezake, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, wako tayari kukinukisha muda wowote....

READ MORE

Mavoko Aibuka na Mapya ya Lulu Diva!

Msanii wa Bongo Fleva, richard Martin ‘rich Mavoko’ amesema siyo kweli kwamba ana uhusiano wa kimapenzi la mwenzake, Lulu Abbas...

READ MORE

Vodacom Tanzania PLC yazindua duka kubwa la kisasa mjini Lindi

  Mkuu wa wilaya ya  Lindi,Shaibu Ndemanga amepongeza kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC kwa kuwasogezea huduma...

READ MORE

Harmo Akataa Malumbano ya Bangi na Wasafi

Dar: STAA wa muziki wa Bongo Fleva na bosi wa Lebo ya Konde Gang Music Worldwide, Rajab Abdul Khahali ‘Harmonize’...

READ MORE

Chama la Yanga CAF Hili Hapa

UPO uwezekano mkubwa wa Yanga kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika, ni baada ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf) kuiondoa nchi...

READ MORE

Wakulima Acheni Kuanika Mahindi Chini Kuepusha Sumukuvu: Mgumba

    Naibu Waziri wa Kilimo Omary Mgumba amewashauri wakulima wa mazao ya mahindi nchini kuacha kuanika mazao yao chini...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumapili, Agosti 16, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 14, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Video: Harmonize Afunga Shoo ya Kihistoria Uwanja wa Uhuru

Msanii Harmonize amefanya Bonge la Shoo kwenye Tamasha UHURU KUNA JAMBO ambapo Chama Cha Mapinduzi kimezindua nyimbo zitakazotumika kwenye kampeni...

READ MORE

Video: Mzee yusuf Aibukia Uhuru, Amfanyia Maajabu JPM

MWIMBAJI nguli wa nyimbo za taarab, Mzee Yusuf ameibukia katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kuungana na...

READ MORE

Video: Alikiba, Harmonize Wanazindua Nyimbo 109 Za CCM

 Leo Agosti 15, 2020 Chama cha Mapinduzi CCM kinazindua Nyimbo za chama 109 zilizotungwa na wasanii mbalimbali nchini, ambapo...

READ MORE

Vide: JPM Awapigia Simu Laivu Wasanii Uhuru “Pigeni Usiku Kucha”

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amepiga simu LIVE kwenye Tamasha la Uhuru Kuna Jambo,...

READ MORE

Maelfu Wajitokeza Tamasha la CCM Taifa (Picha +Video)

Wananchi na wanachama wa CCM waliojitokeza kwenye tamasha maalum la uzinduzi wa nyimbo za chama hicho katika Uwanja wa Uhuru,...

READ MORE

Mchumba wa Mondi, Binti wa Tajiri Mkubwa Rwanda Aibuliwa!

Baada ya mwanamuziki mkubwa barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kutangaza kufunga ndoa Oktoba 2, mwaka huu, kitendawili kikubwa kimekuwa...

READ MORE

Yanga SC Wazima Ngebe za Morrison

UONGOZI wa umetamba kuwa kuondoka kwa kiungo wao mshambuliaji raia wa Ghana, Bernard Morrison hakuwapi presha yoyote badala ya kufanikisha...

READ MORE