×

Mbrazil wa Simba Nje Wiki Tatu

KIUNGO mkabaji ndani ya klabu ya Simba, Gerson Fraga, ambaye ni raia wa Brazil, atakuwa nje ya Uwanja kwa muda...

READ MORE

Benki ya NCBA yazindua tawi jipya Zanzibar

Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mh. Balozi, Mohamed Ramia Abdiwawa (katikati) akikata utepe kuzindua tawi...

READ MORE

40 Mbaroni kwa Tuhuma za Kuwakata Mapanga Viongozi wa CCM

POLISI inawashikilia watu 40 kwa tuhuma za kuwashambulia viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwakata na mapanga Visiwani Pemba....

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Septemba 24, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 24, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Wanafunzi Wafariki Katika Mlipuko wa Lori la Mafuta

WATU wapatao 25 wamefariki nchini Nigeria baada ya lori kumshinda dereva  na kukosa uelekeo kisha kugonga magari mengine na tenki...

READ MORE

 Mzee Yusuf Ana Jambo Lake Dar Live

MWENYE Taarab yake Bongo; Mzee Yusuf, anatarajia kufanya bonge moja la shoo kwenye Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Mtoto Mbongo, Adaiwa Mil. 80 za Matibabu Kenya

HURUMA kwa mtoto huyu! Ndivyo unavyotakiwa kusema kutokana na bibi mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Sada William, kujikuta katika wakati...

READ MORE

TGNP Yatoa Semina ya Kujadili Bajeti ya Mrengo wa Kijinsia

Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) umefanya semina kujadili ufahamu wa wadau kutoka kata mbalimbali jijini Dar, kuhusu bajeti yenye mrengo...

READ MORE

Mume Ajiua, Aacha Waraka Wenye Tuhuma kwa Mkewe!

UGOMVI wa mume na mke ndani ya nyumba, umemalizika baada ya mwanaume kuamua kujiua na kuacha waraka wenye tuhuma dhidi...

READ MORE

Boniface Mgombea Aliyefanyiwa Umafia, Kupambana na Mkumbo

BONIFACE Jacob a.k.a Bonny, ni mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Ni kijana...

READ MORE

Sekondari ya St.Mark’s Yajivunia Maadili ya Wahitimu Wao

Uongozi wa Shule ya Sekondari  St.Mark’s iliyopo Kongowe Jijini Dar es Salaam kuwajenga kimaadili wanafunzi wao kumesaidia mpaka sasa takribani...

READ MORE

Usichokijua Kuhusu Kolabo ya Mondi na Alicia Keys

IJUMAA iliyopita haikuwa siku ya hivihivi tu kwenye Bongo Fleva na muziki wa Afrika kwa ujumla. Ni siku ilipoandikwa historia...

READ MORE

Shule za Kiislam Kuteketea, Bakwata Yaomba Ripoti

MFULULIZO wa matukio ya shule za Kiislam nchini kuungua kwa moto, bado yanawatesa baadhi ya viongozi wa dini hiyo, kiasi...

READ MORE

Mambo 10 Aliyoyasema Dkt. Abbasi Katika Mahojiano Na Times

Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas leo Septemba 23, 2020 amefanya mahojiano na kituo cha redio cha Times kuzungumza...

READ MORE

Kagera Yapunguza Udumavu wa Watoto Chini ya Miaka 5 Bukoba             

  Takwimu za udumavu kwa watoto chini ya miaka mitano mkoani Kagera zimeendelea kupungua kutoka 41% hadi 39% kwa mwaka...

READ MORE

Kwa Sababu Hii… Chama Anaondoka Simba SC

KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amependezwa na ufundi wa kiungo wake Clatous Chama huku akibainisha kuwa ni ngumu kwa...

READ MORE

Christian Bella ‘Ku-Launch’ Albam Mpya, Amtaja Kiba, Rosa Ree – Video

MKALI wa masauti, Christian Bella, ametangaza ujio wa albamu yake mpya ambapo kila siku kuanzia leo ataachia video na wimbo...

READ MORE

Kessy Atumika Kuiua Yanga

ALIYEWAHI kuwa beki wa Yanga, Hassan Kessy anatarajia kutumika kuhakikisha anaimaliza timu yake hiyo ya zamani kutokana na jukumu alilopewa...

READ MORE

Waziri Hasunga Aipongeza Benki ya CRDB Kuongeza Tija Kwenye Kilimo

Waziri wa Kilimo, Mh. Japhet Hasunga ameipongeza Benki ya CRDB kwa hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Benki hiyo katika kuunga mkono...

READ MORE