×

Rasmi Yanga Yamsajili Farid Kwa Miaka Miwili

Yanga SC imetangaza rasmi leo Agosti 12, 2020 kukamilisha usajili wa winga wa Kimataifa wa Tanzania, Faridi Mussa Shaha kwa...

READ MORE

Mwamnyeto Apewa Program Tatu Za Mazoezi Yanga SC

YANGA juzi imeanza mazoezi rasmi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara, 2020/2021, kwa kufanya program tatu kwa siku katika...

READ MORE

GGML Yathibitisha Yaendelea Kuisaidia Jamii ya Geita

Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) pamoja na Halmashauri ya Mji wa Geita mapema jana imesaini makubaliano ya utekelezaji...

READ MORE

Miaka 30 kwa Kujaribu Kumuua Rais Mpya wa Burundi

Mahakama nchini Burundi imewahukumu wanaume wawili na mwanamke mmoja kifungo cha miaka 30 jela kwa kutaka kumuua Rais wa nchi...

READ MORE

Serikali: Maudhui Redio za Nje Lazima Yapite TCRA

SERIKALI  imesema haijazuia maudhui ya redio za nje kusikika nchini bali imeagiza maudhui hayo yapate kibali kutoka Mamlaka ya Mawasiliano...

READ MORE

Sirro: Anayetaka Siasa Afanye, Anayetaka Shari… – Video

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, amewaonya wanasiasa walioanza kuonYesha shari kupitia matamshi yao kuelekea uchaguzi mkuu,...

READ MORE

Marekani: Biden Amteua Kamala Mgombea-Mwenza

JOE BIDEN ambaye anayegombea urais wa Marekani kupitia Chama cha Democrat amemteua Kamala Harris kuwa mgombea-mwenza katika uchaguzi mkuu wa...

READ MORE

Difenda Mbili Zamlinda Morrison Dar

ULINZI mkubwa ulitawala jana kwenye Ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wakati kiungo mshambuliaji Mghana, Bernard Morrison akisubiria hukumu...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Video: Rommy Jons Anaongea Na Waandishi Wa Habari

 DJ wa Mwanamuziki Diamond Platnumz, anayefahamika kwa jina la Rommy Jons ‘RJ’, Leo Agosti 12, amezungumza na wanahabari kuhusu...

READ MORE

First Eleven Simba, Yanga Msimu Ujao ni Moto!

HIVI ushavuta picha mechi ya Simba na Yanga ya msimu ujao itakuwaje? Kama bado hujafikiria kwa namna itakavyokuwa basi tambua...

READ MORE

Gigy Money Aongoza Mapokezi ya Mpinzani wa Mwakinyo – Video

BONDIA kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Tshibangu Kayembe usiku wa kuamkia leo Agosti 12, 2020 amewasili nchini kwaajili ya...

READ MORE

Serikali Yafafanua Uhusiano Watanzania Na Kenya -Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abbas, jana alifanya mahojiano maalum na +255 Global Radio, ambapo alizungumzia mambo mbalimbali likiwemo...

READ MORE

MOLINGA Afunguka USIYOYAJUA Kuhusu YANGA – Video

GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na msakata kabumbu, David Molinga, ambaye alikuwa akiichezea klabu ya Yanga na kufanikiwa kuwa kinara...

READ MORE

Wagombea Vyama 16 Wachukua Fomu za Urais

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa fomu za uteuzi kwa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais...

READ MORE

Video Mpya: Harmonize – Jeshi

HABARI ya mjini ni ‘Harmonize – Jeshi’ usiku wa kuamkia leo staa wa bongo flava Tanzania Harmonize ‘Konde Boy’ ameachia...

READ MORE

TenMet Kujenga Bweni la Wanafunzi Wilaya ya Chemba

MTANDAO wa Elimu Nchini (TenMet) umeadhimia kutumia maadhimisho ya Juma la Elimu mwaka huu kujenga Bweni la wanafunzi Wilayani Chemba...

READ MORE

Baada ya Morrison…Tshishimbi Naye Simba, Apewa Mkataba Kufuru

BAADA ya kumalizana na winga wa Yanga, Mghana, Benard Morrison uongozi wa Simba umerudi kwa kasi kwa aliyekuwa nahodha na kiungo...

READ MORE

Tigo Yachangia Simu 1,350 Upatikanaji Wa Vyeti Vya Kuzaliwa

Tigo Tanzania inayo furaha kwa mara nyingine tena kuendelea kushirikiana na serikali kupitia taasisi ya RITA na wadau wengine ikiwemo...

READ MORE

Nafasi ya kazi Accountant – Actionaid Tanzania (AATZ)

Accountant  Internal & External Vacancy Advertisement ActionAid Tanzania is an anti-poverty agency working to end poverty and injustice. Qualified women...

READ MORE