×

Nafasi za Kazi Global Group; Marketing Dept na Global TV

Global Group ni kampuni inayomiliki pamoja na makampuini mengine, kampuni ya uchapishaji magazeti-Global Publishers Ltd na runinga ya mtandaoni ya...

READ MORE

Ally Niyonzima wa Rayon Sports Asaini Azam FC

Azam FC wamekamilisha usajili wa kiungo mkabaji wa kimataifa wa Rwanda, Ally Niyonzima, kwa mkataba wa miaka miwili. Niyonzima aliyekuwa...

READ MORE

Ommy Dimpoz: Kung’aa Kawaida Yangu

Msanii kunako tasnia ya muziki wa Bongo fleva Omary Nyembo ”Ommy Dimpoz” amefunguka kuwa hakuna kitu ambacho anakithamini kama suala...

READ MORE

Mwamnyeto Atua Yanga Asaini Dili La Miaka Miwili

BAKARI Mwamnyeto beki kisiki wa Coastal Union leo Agosti Mosi amesaini dili la miaka miwili kuitumikia Klabu ya Yanga. Nyota...

READ MORE

Ishu ya Mtoto Bado Inamtesa Wema!

DAR: Bado ishu ya kutopata mtoto inamtesa kinoma staa wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu. Wema ameonesha kukerwa na kuchukizwa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumapili, Agosti 2, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 2, 2020 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Mzee Yusuf: Tukutane Dar Live Mkesha Wa Kuamkia Nanenane

ILE shoo babkubwa ya Narudi Mjini ya Mzee Yusuf kama Mzee Yusuf, iliyokuwa ifanyike Julai 31, mwaka huu, imesogezwa mbele...

READ MORE

Video: Mwenyekiti Tume Ya Uchaguzi Azungumza Kuelekea Uchaguzi Mkuu

 Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), imesema uchaguzi mkuu wa mwaka huu utafanyika kwa kuzingatia katiba ya nchi, kanuni na...

READ MORE

Waziri Atimuliwa Kwa Kufanya Ngono Kwenye Video

RAIS  wa Zambia, Edgar Lungu, amemfukuza kazi Waziri wa Elimu nchini humo, David Mabumba, baada ya kuvuja kwa video ya...

READ MORE

Mgombea Urais CHADEMA Kupatikana Ndani ya Saa 72

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinaingia siku tatu ngumu za mchakato wa kupata mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar...

READ MORE

Samia Azindua Nanenane Simiyu — (Picha +Video)

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 1, ameshiriki katika maadhimisho ya sherehe za maonyesho ya wakulima, wafugaji na...

READ MORE

Mzee Yusuf Anarudi Dar Live Mkesha wa Nanenane

KAMA kawa kama dawa, Mfalme wa Muziki wa Taarab Bongo, Mzee Yusuf anatarajia kuunguruma usiku wa Agosti 7, mwaka huu...

READ MORE

Mama Samia Aalivyotua Kwenye Banda la NBC Nanenane – Simiyu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania, Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan ametembelea Banda la Benki ya NBC kwenye...

READ MORE

Hausigeli Mbaroni Kwa Mauaji ya Mtoto Wa Bosi Wake

MFANYAKAZI za ndani ‘Hausigeli’ aliyefahamika kwa jina la Zaina Ismail, ametiwa mbaroni na jeshi la polisi, wilayani Temeke jijini Dar...

READ MORE

Mbelgiji Simba Aichimba Mkwara Namungo

WAKATI zikiwa zimebaki saa chache kabla ya fainali ya Kombe la Shirikisho, Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amefunguka licha...

READ MORE

Zoezi Makonda Kukabidhi Ofisi Laahirishwa

ZOEZI lililopangwa kufanyika leo Agosti 1, 2020, la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda,  kukabidhi rasmi ofisi kwa ...

READ MORE

Marekani Yasema Tanzania Ni Salama Kutembelea

IDARA ya Ushauri wa Afya ya Marekani imeitaja nchi ya Tanzania kuwa ni miongoni mwa nchi salama ambazo wananchi wake...

READ MORE

Gadner, Jide Mambo Ni Moto

AMKENI amkeni kumekucha, unaambiwa ile kapo mashuhuri Bongo ya Mtangazaji Gadner G. Habash na Malkia wa Bongo Fleva, Judith Wambura...

READ MORE

Zawadi Mauya Atua Yanga, Asaini Miaka Miwili

  KIUNGO mkabaji wa Kagera Sugar, Zawadi Peter Mauya, amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga SC. Mauya amesaini mbele...

READ MORE

Nandy: Sijawahi Kuonja Kofi la Billnass

MWANAMUZIKI wa kizazi kipya, Faustina Mfinanga ‘Nandy’ ameutupilia mbali uzushi unaodai kuwa mara nyingi anapata kipigo kutoka kwa mchumba wake...

READ MORE