×

Ukurasa Mpya Wa Kipindi Pendwa Cha Watoto Akili And Me

Dar es Salaam,  Ubongo, shirika linaloongoza Afrika katika kutoa elimu burudani linayo furaha kutangaza uzinduzi wa msimu wa tano wa kipindi...

READ MORE

Waziri Mkuu Afurahishwa na Huduma za Benji ya Nmb kwa Wakulima Wafugaji na Wavuvi

Benki ya NMB, imeanzisha huduma ya utoaji bima ya mazao na mifugo ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kusaidia...

READ MORE

Zaiylisa Ajizawadia Gari Mpya na Kutuma Ujumbe Mzito: “Si Kila Unachopoteza Ni Laana…”

Malkia wa mitindo na malkia wa vichwa vya habari, Zaiylisa, amhadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa kishindo hivi karibuni kwa...

READ MORE

Laurence Masha Aidhinishwa na CCM Kuwania Ubunge Nyamagana

Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Laurence Kego Masha, ameidhinishwa na Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushiriki...

READ MORE

Trump Amkosoa Netanyahu Kuhusu Njaa Gaza, “Watoto Wanaonekana Wenye Njaa”

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema hakubaliani na kauli ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kwamba hakuna njaa huko...

READ MORE

Hato Akamilisha Dili Na Chelsea Majira Haya

Kiungo wa kati wa klabu ya AFC Ajax na timu ya taifa ya Uholanzi, Jorrel Hato, amekamilisha usajili wake na...

READ MORE

CCM Yapitisha Eric Shigongo Kura za Maoni Ubunge Buchosa – Video

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza rasmi majina ya wagombea watakaowania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia chama hicho,...

READ MORE

Sinzo Khamis Mgeja Naye Jina Lake Larudi

Sinzo Khamis Mgeja, mtoto  wa Mwanasiasa maarufu nchini, Comrade Khamis Mgeja ni mmoja wa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

READ MORE

Nakala Ya Moyo Wangu Unavuja Damu Zauliziwa Kila Kona

BAADA ya uzinduzi wa kitabu cha Moyo Wangu Unavuja Damu kufanyia rasmi na kuingia sokoni, Julai 24 2025 Makao Makuu...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 30, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Simba Yampa Mkono wa Kheri Che Malone, Yampokea De Reuck Kutoka Sundowns

Klabu ya Simba imethibitisha kumpa mkono wa kwaheri beki wa kati Che Malone Fondoh almaarufu ‘Ukuta wa Yeriko’ kwa muda...

READ MORE

TASAC Yashuhudia Utiaji Saini Mkataba Wa Uendeshaji Bandari Kavu Kwala

SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) leo Julai 28, 2025, limeshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya pamoja kati ya...

READ MORE

Njaa Yazidi Kuikumba Afrika: UN Wataka Hatua za Haraka Kuhifadhi Maisha

Licha ya kushuka kwa viwango vya njaa duniani, ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imeonyesha ongezeko la njaa barani Afrika....

READ MORE

Majaliwa: Actif 2025 Itoe Majibu Ya Changamoto Za Kibiashara Na Uwekezaji

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Jukwaa la Nne la Biashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (ACTIF) linapaswa...

READ MORE

CCM Yatoa Orodha ya Wagombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025, Majina Yapo Hapa Majimbo Yote – Video

Dodoma, Julai 29, 2025 – Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha...

READ MORE

Moto Waua Watoto 5 Bwereni Kituo cha Yatima Tabora

Watoto watano wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa baada ya bweni la Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Igambilo, kuteketea...

READ MORE

Luhaga Mpina Aachwa Nje! CCM Yateua Wagombea Saba Kura za Maoni Kisesa

Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo, Julai 29, 2025, imetangaza majina ya wagombea saba walioteuliwa kupigiwa kura za...

READ MORE

Hersi Said Aachwa Nje! CCM Yateua Wagombea Sita Kigamboni

Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Julai 29, 2025, kimetangaza majina ya wagombea sita waliopitishwa kuwania ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia...

READ MORE

Pamba Jiji Yasitisha Mkataba na Kocha Fred Minziro, Yaanza Kusaka Mrithi Wake

Klabu ya Pamba Jiji FC imetangaza kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba na kocha wao mkuu Fred Felix Minziro, baada ya...

READ MORE

MONUSCO Yalaani Mauaji ya Raia 43 Kwenye Shambulio la ADF Ituri, DRC

“Ujumbe wa walinda amani wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo- DRC (MONUSCO) Umelaani vikali shambulio lililotokea...

READ MORE