×

MONUSCO Yalaani Mauaji ya Raia 43 Kwenye Shambulio la ADF Ituri, DRC

“Ujumbe wa walinda amani wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo- DRC (MONUSCO) Umelaani vikali shambulio lililotokea...

READ MORE

Marcio Maximo Atangazwa Kocha Mkuu Mpya wa KMC FC

Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania Marcio Maximo ametambulishwa kama kocha mkuu mpya wa klabu ya KMC...

READ MORE

Meridianbet Inamaliza Mwezi kwa Kishindo, Simu Tano za Galaxy A25 Kutolewa

Julai inaelekea ukingoni, na kwa mashabiki wa burudani ya michezo mtandaoni, huu si mwezi wa kuumaliza kwa kawaida. Kampeni kubwa...

READ MORE

Wachezaji wa Liverpool Wafanya Maandalizi ya Kiroho Kabla ya Msimu Mpya Nchini Tokyo

Tokyo, Japan – Katika tukio lisilo la kawaida kwenye kalenda ya maandalizi ya timu, wachezaji wa Liverpool wameanza siku yao...

READ MORE

Bingwa wa Ballon D’OR na Meridianbet Huyu Hapa

Wakali wa ubashiri  Meridianbet tayari wameshakuwekea washindi wako. Ingia kwenye akaunti yako na uchague mshindi wako sasa. Je yupi kuondoka...

READ MORE

Mbeto: Wanaongoja kusikia CCM imepasuka watasubiri kwa miaka mingi

Na Mwandishi Wetu , Dodoma Chama Cha Mapinduzi kimesema makundi ya Waganga njaa , Wanafiki na mamluki wanaosubiri kusikia CCM...

READ MORE

13 Wafariki Dunia katika Ajali ya Boti Kaskazini mwa Nigeria

Niger State, Nigeria – Takriban watu 13 wamethibitishwa kufariki dunia baada ya boti iliyokuwa imebeba abiria na mizigo kuzama Jumapili...

READ MORE

ACT Wapokea Nakala Tepe Daftari La Wapiga Kura

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu akipokea nakala tepe ya daftari la kudumu la wapigakura kutoka kwa Mwenyekiti...

READ MORE

“Yanga Yamnasa Nahodha wa Simba?” – Ali Kamwe Afunguka Suala la Zimbwe Jr

WAKATI Yanga SC wakitajwa kukamilisha kwa asilimia 100 dili la Mohamed Hussen Zimbwe Jr aliyekuwa beki wa Simba SC na...

READ MORE

Benki Ya Absa Tanzania Na World Vision Tanzania Wakabidhi Mradi Wa Maji Safi Kwa Kijiji Cha Kwedizinga

Benki ya Absa Tanzania kwa kushirikiana na World Vision Tanzania leo wamekabidhi rasmi mradi wa kisima chenye pampu ya umeme...

READ MORE

Wanachama 11 Chadema Wakamatwa Na Polisi, Kamanda Afunguka – Video

Jeshi la Polisi mkoa wa Rukwa limewakamata wanachama 11 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za kufanya...

READ MORE

Yanga Yamwongezea Mkataba Maxi Nzengeli Mpaka 2027

Klabu ya Yanga Sc imetangaza kumsainisha kiungo mshambuliaji, Maxi Mpira Nzengeli nyongeza ya mkataba mpya wa miaka miwili utakaombakisha klabuni...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Jijini Dodoma

Dodoma, Julai 28, 2025 – Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

READ MORE

Rosemary Range Ametikisa Jukwaa la Tuzo za EAEA kwa Mbwembwe na Umahiri

Mwanadada machachari kutoka Tanzania, Rosemary Range amejinyakulia tuzo ya “Mshawishi wa Mitandao Anayeinuka Kwa Kasi Zaidi”  katika hafla ya EAEA...

READ MORE

Mashujaa Wa GGM Kili Challenge 2025 Wapongezwa Kwa Mchango Wao Katika Mapambano Dhidi Ya VVU

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Nurdin Babu, ameisifu na kuipongeza kampeni ya Kili Challenge, ambayo ni ubia kati ya Geita...

READ MORE

Waziri Mkuu Kumwakilisha Rais Dkt. Samia  Katika Mkutano Wa Actif 2025 Nchini  Grenada

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Julai 27, 2025 amewasili mjini St. George’s, nchini Grenada ambapo atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

AS FAR Rabat Yaagana Rasmi na Henock Inonga Baka

Aliyekuwa beki tegemeo wa Simba SC, Henock Inonga Baka, ameaga rasmi klabu ya AS FAR Rabat ya Morocco baada ya...

READ MORE

Kikao cha Kamati ya Maadili ya CCM Chafanyika Dodoma Usiku Kuchuja Majina ya Wagombea

Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa...

READ MORE

Nafasi za Kazi: Maafisa Mikopo 10 Wahitajika Haraka Wezesha Mzawa

Wezesha Mzawa Microfinance inakaribisha maombi kutoka kwa watu wenye hamasa na sifa stahiki kujiunga kama Maafisa Mikopo (Nafasi 10). Sifa...

READ MORE

Ajali Mbeya: Magari 5 Yapata Ajali, Mmoja Afariki Dunia, Mashuhuda Wasimulia – Video

Wakati taifa bado linaomboleza vifo vya wanafunzi sita waliopoteza maisha kwenye ajali ya hivi karibuni huko Chunya, mkoa wa Mbeya...

READ MORE