×

Breaking: Rais Samia Atanga kifo cha Mzee Cleopa David Msuya – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa kifo cha Mzee Cleopa David Msuya, aliyewahi kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa...

READ MORE

NMB Foundation Yainua Wakulima wa Korosho Newala na Ruangwa

  Wakulima kutoka wilaya za Newala na Ruangwa mkoani Mtwara wamehitimu mafunzo ya kuongeza thamani ya zao la korosho, yaliyoandaliwa...

READ MORE

Musukuma Ataka Uwajibikaji wa Wizara ya Michezo Katika Suala la Mechi ya Yanga na Simba – Video

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma, amepongeza uongozi wa Rais mstaafu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodgar...

READ MORE

Pacome Rasmi Abakia Yanga, Aongezewa Miaka Miwili

RASMI kiungo mshambuliaji wa Yanga raia wa Ivory Coast, Pacome Zouzoua ataendelea kubakia hapo katika misimu mingine miwili. Kwa mujibu...

READ MORE

Shigongo Aongoza Waombolezaji Kumuaga Kasango Mwizalubi, Buchosa- Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameshiriki mazishi ya Kasango Mwizalubi aliyekuwa Balozi wa CCM katika Kijiji cha Itabagumba, Buchosa wilayani...

READ MORE

Benki ya CRDB Yawahakikishia Wawekezaji Ukuaji Endelevu wa Uwekezaji wao

Dar es Salaam, Mei 6, 2025 – Kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 30 ya tokea kuanzishwa kwake, Benki ya...

READ MORE

Meridianbet Yazindua “Gates of Olympia”, Sloti ya Kipekee ya Kifalme yenye Ushindi Mkubwa!

  Dar es Salaam, Tanzania – Meridianbet, kwa kushirikiana na Expanse Studios, imezindua mchezo wake mpya kabisa wa sloti unaoitwa...

READ MORE

Sekretarieti ya Mbowe Yajiondoa Chadema, Wafunguka Mazito – Video

Dar es Salaam — Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Benson Kigaila, ametangaza kujiondoa...

READ MORE

Prof. Kabudi Aahidi Ukarabati wa Viwanja Vitano vya Michezo kwa Ushirikiano na Wadau

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, ameeleza mafanikio ya sekta ya michezo katika kipindi cha miaka...

READ MORE

BD Yalamba udhamini wa Mil 639.5 wa betPawa

Dar es Salaam. Kampuni maarufu ya michezo ya kubashiri, betPawa, imesaini mkataba wa mwaka mmoja a wenye thamani ya Sh...

READ MORE

EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta ya Petroli na Dizeli

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa...

READ MORE

Rais Dkt.Samia afanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali -Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu...

READ MORE

Mbunge Shigongo Apongeza Walimu, Asema Wanafanya Kazi ya Kipekee – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema kazi inayofanywa na walimu ni kubwa na kwamba hakuna mshahara unaoweza kutosha kuwalipa hapa...

READ MORE

Nilikuwa Nachapa Kazi Bila Mafanikio Mpaka Nilipojua Siri ya Kuvuta Utajiri

Jina langu ni Peter, na ni moja ya watu walioishi kwa matumaini makubwa, lakini walijikuta wakiwa wanahangaika na maisha ya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 7, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Makalla: Mafaniko Tunayojivunia ni Utekelezaji wa Malengo ya Kuundwa Kwa CCM

KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema mafanikio wanayojivunia...

READ MORE

Rais Mwinyi Akutana Na Kamati Ya Amani Ya Viongozi Wa Dini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kamati ya Amani ya Viongozi wa...

READ MORE

Tundu Lissu Kufikishwa Mahakamani Mei 19 – Kesi Kufanyika Katika Ukumbi wa Wazi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Machi 6, 2025 imetoa uamuzi mdogo juu ya kesi inayomkabili mwenyekiti wa Chama Taifa,...

READ MORE

Mathew Ngomba Kutoka Tabata Shule Aibuka Milionea

Furaha ilitawala kwa upande wa kijana mjasiriamali kutoka Tabata Shule baada ya kupokea simu kutoka Meridianbet kuwa ameweza kujishindia Milioni...

READ MORE

Met Gala 2025: Rihanna Awa Gumzo kwa Kuonyesha Ujauzito Wake Mpya – Picha

Rihanna na A$AP Rocky wamethibitisha kuwa wanatarajia mtoto wao wa tatu. Taarifa hii imejulikana rasmi katika usiku wa Met Gala...

READ MORE