×

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 1, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Simba Yatupwa Nje FA kwa Kichapo cha 3-1, Singida Black Stars Yatinga Fainali

Singida Black Stars wamefuzu Fainali ya Kombe la CRDB FEDERATION CUP baada ya kuifunga Simba SC Bao 3-1 kwenye mchezo...

READ MORE

Rais Samia Apokea Tuzo Maalum Kutoka Bunge La Tanzania (Picha +Video)

 Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Tuzo Maalum kutoka Bunge la Jamhuri ya...

READ MORE

Watu Waliofariki Kwa Mafuriko Nigeria Wafikia 115

Watu zaidi ya 115 wamepoteza maisha na wengine kadhaa hawajulikani walipo baada ya mvua kubwa kunyesha katika jimbo la Niger,...

READ MORE

Barnaba feat Diamond Platnumz – Salama (Official Music Video)

MSANII wa Bongo Fleva, Barnaba Classic ameachia Video ya wimbo wake wa ‘Salama’ ameshirikisha msanii Supastaa wa Bongo Fleva na...

READ MORE

Jerry Silaa: Tanzania Ipo tayari Kushiriki Kufanikisha Ajenda za Kidunia za TEHAMA

WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry William Silaa (Mb) amesema kuwa, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ipo...

READ MORE

Ukaguzi Wa Mabasi Ya Abiria Wafanyika Kudhibiti Ajali

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kupitia kikosi cha Usalama barabarani kimefanya ukaguzi maalumu wa mabasi ya abiria kwa ajili...

READ MORE

Wanavyuo Waliomgombea Mwijaku Wafikishwa Kortini, Wasomewa Mashtaka Nane

Wanafunzi watatu wa kike kutoka vyuo vikuu mbalimbali Jijini Dar es Salaam wanaodaiwa kumdhalilisha mwenzao mitandaoni, wamefikishwa katika Mahakama  ya...

READ MORE

Rais Samia Atunukiwa Tuzo Maalum ya Heshma na Bunge la Tanzania, Afisa Mtendaji Mkuu wa Nmb Ashiriki..

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Tuzo Maalumu ya Heshima kutoka kwa Bunge la...

READ MORE

NBC Yakabidhi Kombe la Ubingwa wa Vijana (U20) Kwa Azam FC

MDHAMINI Mkuu wa Ligi ya NBC Vijana chini ya miaka 20 (NBC U20 Youth League) Benki ya Taifa ya Biashara...

READ MORE

CCM Yazindua Ilani ya Uchaguzi 2025–2030, Yataja Vipaumbele Tisa – (Picha +Video)

Dodoma, 30 Mei 2025 – Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekamilisha maandalizi ya Ilani yake mpya ya Uchaguzi kwa mwaka 2025,...

READ MORE

UEFA Yazidi Kupamba Moto, PSG vs Inter Milan, Mechi ya Kukupa Mzigo

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Ni pale Ujerumani katika dimba la Allianz Arena ambapo Meridianbet na Dunia nzima wanaenda kushuhudia Fainali...

READ MORE

AY Masta Ft Harmonize – Simuoni (Official Audio)

Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yessayah ‘AY’ameachia ngoma yake mpya ya ‘Simuoni’ aliyomshirikisha Harmonize

READ MORE

Madereva 800 Wapatiwa Mafunzo Kuelekea Msimu Wa Utaliii

Katika kuhakikisha msimu wa Utalii (high season) unaoanza hivi karibuni unakuwa katika hali ya amani, Jeshi la Polisi kikosi cha...

READ MORE

John Heche Aongoza Ziara ya Kumbukizi kwa Hayati Ndesamburo

Kilimanjaro, Mei 30, 2025 – Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, leo ameongoza ujumbe wa...

READ MORE

Spika Zungu Alipuka Bungeni, Amtwanga Mwana-FA Swali Zito Kuhusu Dabi Ya Kariakoo – Video

Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Hamis Mwinjuma ameeleza kuwa mpaka sasa Viwanja vyetu vipo tayari kwa mashindano...

READ MORE

Meridianbet Yadumisha Usawa na Utofauti Katika Kila Hatua ya Biashara Yake

Kampuni Yachukua Hatua Madhubuti Kuhakikisha Ujumuishaji, Haki za Binadamu, na Fursa Sawa kwa Wote Meridianbet, kampuni tanzu ya Golden Matrix...

READ MORE

Meneja Wa Manchester United, Ruben Amorim Atangaza Vita Kuelekea Msimu Ujao

Meneja wa Manchester United, Ruben Amorim, amesema kuwa yeye na wachezaji wake wanatazamia kumaliza msimu huu wa 2024/25 uliojaa changamoto....

READ MORE

Jica Yaahidi Kuendelea Kuishika Mkono Serikali Ya Tanzania – Majaliwa

▪️JICA, Benki ya Dunia na AFDB watoa Dola za Marekani mil 516 miradi ya kilimo ▪️Washauri elekezi wawili Mjapan na...

READ MORE

Mahakama ya Marekani yasitisha ushuru wa Trump

Mahakama ya shirikisho nchini Marekani imesitisha ushuru mkubwa uliowekwa na Rais Donald Trump hatua ambayo ni pigo kubwa kwa sehemu...

READ MORE