×

Mabalozi Kutoka Nchi Mbalimbali Wajivika Jukumu la Kutangaza Vivutio vya Tanzania

Mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali pamoja na mashirika ya kimataifa wameonesha kuvutiwa na vivutio vilivyoko nchini, huku wakiahidi kuiongezea nguvu Tanzania...

READ MORE

Kiongozi wa Mapinduzi Gabon Jenerali Nguema Ashinda Uchaguzi

Kiongozi wa kijeshi wa Gabon Jenerali Brice Oligui Nguema, ambaye mwaka 2023 aliongoza mapinduzi yaliyomuondoa madarakani Rais Ali Bongo, ameshinda...

READ MORE

Mhe. Chana Aanika Mikakati ya Uhifadhi Kwa Wananchi wa Wanging’ombe Kukabiliana na Changamoto ya Wanyamapori

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amefungua rasmi semina ya kuwajengea uwezo wadau wa uhifadhi...

READ MORE

Majaliwa: Rais Samia Ni Chachu ya Mapinduzi Katika Sekta ya Sanaa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imejidhatiti kuendelea kukuza na kuimarisha sanaa nchini ikiwa ni moja ya sekta rasmi ya...

READ MORE

Mstaafu Kikwete Awasilisha Ujumbe Maalum Kwa Waziri wa Nchi ya Guinea ya Ikweta

Rais Mstaafu wa Tanzania na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amewasilisha Ujumbe Maalum...

READ MORE

TANZANIA KUWA MWENYEJI KATIKA TUZO ZA MWAKA 2025

Tanzania imepewa heshima ya kuwa mwenyeji wa hafla ya kutangaza washindi wa Kanda ya Afrika na Bahari ya Hindi, iitwayo...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 14, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Zaidi Ya Wanachama 50 Wa ACT Wazalendo Lindi Watimkia CCM, Wafichua Sababu Nzito

  Zaidi ya wanachama 50 kutoka katika chama cha ACT Wazalendo wamejiunga na chama Cha mapinduzi ( CCM) Wanachama hao...

READ MORE

JWTZ na Jeshi la India Wazindua Mazoezi ya Pamoja Washirikisha Nchi Rafiki 9

Dar es Salaam, 13 Aprili 2025: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb)...

READ MORE

Rais wa TLS, Mwabukusi Aipinga Tafsiri ya NEC Kuhusu Maadili ya Uchaguzi

Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kusikitishwa na tafsiri ya sheria inayochukuliwa na Tume...

READ MORE

Makalla: Timu ya Namungo Imechangia Kukuza Uchumi na Utalii wa Michezo Ruangwa

• Kuchangia Namungo ni hiari msirudi nyuma ichangieni •Aoongeza jitihada za Rais kukuza michezo na timu kuwa na uwanja kisasa...

READ MORE

Meja Kunta Afiwa na mama yake mzazi, Kuzikwa Kesho Yombo Dovya

Msanii maarufu wa muziki wa Singeli nchini, Meja Kunta, amepata pigo baada ya kuondokewa na mama yake mzazi, Mosi Mkalawile....

READ MORE

Rais Samia Aomboleza Kifo cha Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva Wake

Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Dotto Biteko kufuatia...

READ MORE

Mechi Kali Leo! Bashiri na Meridianbet Upige Mkwanja

Ni Jumapili nzuri kabisa ambayo imekuja na neema kubwa, unajua kwanini?. Ni kwasababu wakali wa ubashiri Meridianbet wamekuletea ODDS za...

READ MORE

Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamohanga Afariki Dunia Kwa Ajali

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi Gissima Nyamohanga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika ajali ya...

READ MORE

Trump Aondoa ushuru kwa simu za mkononi, kompyuta, na vifaa vingine vya kielektroniki

Utawala wa Rais wa Marekani, Donald Trump, umeondoa ushuru kwa simu za mkononi, kompyuta, na vifaa vingine vya kielektroniki –...

READ MORE

Kiongozi Mbio za Mwenge wa Uhuru Atoa Wito Kwa Wananchi Kutunza Miundombinu Ya Maji

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2025 Bw. Ismail Ali Ussi amewataka wananchi wa Manispaa ya Morogoro na...

READ MORE

Serikali Kuongeza Umri, Sifa Ya Kupata Mikopo Ya Asilimia 10 Ya Halmashauri

Naibu Waziri ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeongeza umri wa ukomo katika mikopo ya asilimia 10...

READ MORE

Ukiwa Kwenye Ndoa, Mazoea Na Watu Wa Nje Ni Sumu Hatari

“MIMI nipo kwenye ndoa, huu ni mwaka wa tatu sasa. Tatizo lililonifanya niombe ushauri, mume wangu ana kawaida ya kuwa...

READ MORE

Chadema Kushindwa Kusaini Makubaliano ya Kanuni za Uchaguzi, Wanachama Wakaribishwa Kuchagua CCM

KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi, Amos Makalla ,amesema kwa kuwa Chama cha Demokrasia na...

READ MORE