×

Video: Kyiv Yakumbwa na Mashambulizi Makubwa, Zelensky Aililia Marekani

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amesema msaada wa kijeshi kutoka Marekani ni muhimu zaidi kuliko wakati mwingine wowote baada ya...

READ MORE

RC Makalla Azindua Kamati 7 Maandalizi ya Mkutano wa IPU Arusha

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla amezindua kamati saba za Mkoa ambazo zitawajibika kusimamia maandalizi ya Mkutano...

READ MORE

Waziri Mkuu Afanya Mazungumzo na Balozi wa Palestina Dodoma

Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amefanya mazungumzo na Balozi wa Palestina nchini Tanzania, Salam Abu Sharar, leo Jumanne Juni...

READ MORE

Colombia Kuivaa Costa Rica Katika Mchezo wa Kirafiki wa Kimataifa

Timu ya Taifa ya Colombia itashuka dimbani leo Juni 2 saa 02:00 usiku kuikabili Costa Rica katika mchezo wa kirafiki...

READ MORE

Zaiylissa Amuonya Dulla Makabila Kumtaja Kwenye Mahojiano “Nimechoka” -Video

Muigizaji Zaiylissa amempa onyo kali msanii wa Singeli Dulla Makabila, akimtaka kuacha kabisa kumzungumzia kwenye mahojiano mbalimbali (interviews) na kuheshimu...

READ MORE

Rais Samia Aelekea Urusi Kwa Ziara ya Siku Tatu, Kufungua Fursa Mpya za Uwekezaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo ameondoka nchini kuelekea Shirikisho la Urusi kwa ziara...

READ MORE

Global TV Online Yatangaza Nafasi ya Kazi ya Content Moderator

GLOBAL TV imetangaza nafasi ya kazi kwa vijana wenye ubunifu na shauku ya kufanya kazi kwenye sekta ya habari za...

READ MORE

Tanzania Kukipiga na Senegal Fainali AFCON U-17 Rabat, Morocco Leo

TIMU ya Taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, itashuka dimbani leo Jumanne Juni 2, 2026...

READ MORE

Emmanuela Mtatifikolo Ashinda Ubunge Ismani kwa Asilimia 93.5

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ismani, Emmanuela Mtatifikolo ametangazwa mshindi wa uchaguzi uliofanyika Juni 1, 2026 baada ya kupata kura...

READ MORE

Video: Jinsi Polisi Walivyohukumiwa Kunyongwa Kwa Kumuua Mfanyabiashara Wa Madini (Part 1-3)

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara iliwahukumu kunyongwa hadi kufa watuhumiwa wawili kati ya maofisa saba wa jeshi la...

READ MORE

Meridianbet Waja na Pirates Power Yenye Zawadi Kubwa kwa Wachezaji

Kama unatamani mchezo wenye burudani, msisimko na nafasi kubwa za ushindi, Pirates Power kutoka Meridianbet ni sehemu sahihi ya kuanzia....

READ MORE

Shigongo Aibua Mjadala Mkali Kuhusu Sheria ya Manunuzi Nchini

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameandika ujumbe mzito akizungumzia changamoto katika utekelezaji wa Sheria ya...

READ MORE

Trump Atangaza Makubaliano ya Kusitisha Mapigano kati ya Israel na Hezbollah

Serikali ya Lebanon imetangaza makubaliano ya usitishaji wa sehemu wa mapigano kati ya kundi la Hezbollah na Israel, hatua inayotajwa...

READ MORE

Uchumi wa Russia Waanza Kuyumba, Serikali Yatafuta Njia ya Kuokoa Bajeti, Waziri wa Fedha Afunguka

Wizara ya Fedha ya Russia imeanza kupitia upya bajeti ya mwaka huu na inapanga kupunguza matumizi katika sekta zisizo za...

READ MORE

Feitoto Kutocheza Mechi za Kirafiki za Stars Dhidi ya Uganda na Rwanda – Video

Nyota wa Taifa Stars na Azam FC, Feisal Salum ‘Feitoto’ atazikosa mechi za kirafiki za Stars kutokana na kuwa majeruhi....

READ MORE

Utafiti Unaonesha Binadamu Anapoteza Siku 26 Kila Mwaka Kwa Kutofanya Lolote

JE umeshawahi kujiuliza kwa mwaka ni muda kiasi gani unaoupoteza kutokana na kutofanya chochote? Mathalani, mtu anakusubirisha tu sehemu halafu...

READ MORE

Njia Tano Za Kudumisha Uhusiano Kimapenzi

UKWELI ni kwamba mapenzi hayana njia moja ya kufuatwa lakini kuna vitu ambavyo vinajulikana kuchangia katika kuboresha uhusiano baina ya...

READ MORE

Jinsi ya Kuwafanya Wateja Wako Wawe na Furaha

RAFIKI yangu, unahitaji kuwafanya wateja wako wawe na furaha. Unahitaji kuwafanya wawe wateja wanaokuja kwako kila mara na waweze kuleta...

READ MORE

Rais Samia Kufanya Ziara ya Kihistoria Urusi Kukutana na Putin

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kitaifa ya siku tatu nchini Russia kuanzia Jumatano Juni 3 hadi 5,...

READ MORE

Wanafunzi 246,197 Waliopangiwa Kujiunga Kidato Cha Tano Wapaswa Kuripoti Shuleni

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amesema...

READ MORE