×

Makamu wa Rais Ndejembi Alivyowasili New York Kumwakilisha Rais Samia UNGA81

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amewasili jijini New York, nchini Marekani, kwa ajili...

READ MORE

Chama Aitawala Simba, Mguu wa Kulia Wampa Mabao Manne

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama, ameonyesha ubora wa kutumia mguu wa kulia katika kufunga mabao kwenye Ligi Kuu...

READ MORE

Mashabiki Kukutana Uso Kwa Uso na Wachezaji wa Taifa Stars

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limezindua tukio la ‘Mashabiki Open Day’, litakalowapa mashabiki na wadau wa soka nchini...

READ MORE

Miili ya Askari Watano Waliofariki Katika Ajali Yaagwa Singida (Picha +Video)

Miili ya askari watano wa Jeshi la Polisi Tanzania waliofariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea Septemba 21, 2026, eneo...

READ MORE

Vyombo vya Habari Vyaungana Kususia Habari za Trump, White House Yazindua “Trump Tv”

Vyombo vikubwa vya televisheni nchini Marekani vimesitisha kwa pamoja huduma ya kurusha picha za shughuli za Rais Donald Trump baada...

READ MORE

Yanga Yaipiga Bao Simba Ufungaji Shalulile Ampoteza Doumbia

Kikosi cha Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Manqoba Mngqithi ni namba moja eneo la ufungaji safu hiyo ya ushambuliaji...

READ MORE

Waziri wa Mambo ya Nje Iran Awasili Marekani Kwa Mkutano wa UN

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amewasili mjini New York, Marekani, akiwa anaongoza ujumbe wa kidiplomasia wa...

READ MORE

Dkt. Mwigulu: Uwezeshaji wa Wanawake ni Uwekezaji Katika Afya Moja

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amesema uwezeshaji wa wanawake wakulima ni uwekezaji katika utekelezaji wa dhana ya Afya Moja, kutokana...

READ MORE

Rais Samia Atoa Pole Kifo cha Mama Fatma Karume

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Zanzibar na...

READ MORE

Aliyekuwa Mtayarishaji wa Fox News Jennifer Eckhart Afariki

Jennifer Eckhart, aliyewahi kufanya kazi kama mtayarishaji msaidizi katika kituo cha televisheni cha Fox News nchini Marekani, amefariki dunia akiwa...

READ MORE

Inter Milan Kuanza na BK Häcken Ligi ya Mabingwa Ulaya

  Mechi ya kwanza ya hatua ya ligi ya Mabingwa ya Wanawake UEFA itafanyika Jumanne, Septemba 22, 2026, saa 19:45...

READ MORE

Vita Vya Pointi Vimeanza Meridianbet Kupitia Endorphina Tournament

Mashindano mapya yameingia uwanjani na safari hii ni kuhusu pointi. Endorphina Tournament sasa inapatikana ndani ya Meridianbet, ikiwaalika wachezaji kushiriki...

READ MORE

Cédric Kaze Atangazwa Kocha Mkuu Mpya wa Kagera Sugar

Klabu ya soka ya Kagera Sugar imemtangaza rasmi kocha mzoefu Cédric Kaze kuwa Kocha Mkuu mpya wa timu hiyo inayoshiriki...

READ MORE

Davido Atangaza Shoo Kubwa ya Siku Tatu Lagos, Nigeria

Msanii mkubwa wa Nigeria, Davido, ametangaza kufanya maonyesho maalum ya siku tatu mfululizo katika jiji la Lagos, Nigeria, kuelekea mwisho...

READ MORE

Rais Mwinyi Atuma Salamu za Pole kwa Familia ya Mama Fatma Karume

ZANZIBAR: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametuma salamu za pole kwa Rais...

READ MORE

Yanga Yatoa Pole Kufuatia Kifo cha Mama Fatma Karume

Uongozi wa Young Africans Sports Club (YANGA) umetuma salamu za pole kufuatia kifo cha Mjumbe wa Baraza la Wadhamini wa...

READ MORE

Marekani Yatangaza Hatua Kali Dhidi ya Mashirika ya Ndege ya Iran

NEW YORK, Marekani: Waziri wa Hazina wa Marekani, Scott Bessent, amesema mashirika ya ndege ya Iran yanatarajiwa kukabiliwa na vikwazo...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 22, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Vijana 20 Kuibua Suluhisho Za Fedha, Kilimo Kupitia AgriFin Hackathon

Benki ya NMB kwa kushirikiana na Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) imewakutanisha vijana wabunifu 20 wenye...

READ MORE

BASATA,TITF Kufungua Fursa za Masoko na Uwekezaji Kupitia Sanaa Na Ufundi

  KAMPUNI ya Tanzania International Tourism Festival (TITF) imeandaa tamasha la Sanaa za ufundi litalalofanyika kuanzia tarehe 6 hadi 11...

READ MORE