×

RC Chalamila Apokea Melivita Ya Matibabu Ya Jeshi China Maarufu Kwa Jina la ‘Peace Ark’

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 16,2024 amepokea Melivita ya matibabu iitwayo Peace Ark...

READ MORE

Simba Yavunja Mkataba wa Mshambuliaji Pa Omar Jobe

Kasino Imetiki Huko! Kutana na mchezo wa Kasino ya Mtandaoni Hot Rush Both Ways ni mchezo wa sloti kutoka kwa...

READ MORE

Nandy: Ndoa Yangu Na Billnass Imenipa Fundisho, Watimiza Miaka Miwili

Malkia wa Bongo Fleva, Faustina Charles Mfinanga almaarufu Nandy ameamua kutoa ya moyoni kuhusu mahaba anayopewa na mumewe ambaye pia...

READ MORE

Serikali Yatangaza Ajira 9, 483 Mwisho wa maombi Julai 20, 2024

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka ya Serikali za...

READ MORE

Mtoto Aliyepotea Dar Aonekana Moro, Mama Aongea Kwa Furaha – Video

Mtoto Angel Kamugisha (6) mkazi wa Kinondoni Shamba, ambaye jana Global TV iliripoti habari zake akidaiwa kuchukuliwa shuleni alipokuwa akisoma,...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Awasalimia Wananchi Wa Namanyere Mkoa Rukwa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiwasalimia Wananchi wa Namanyere Mkoa Rukwa ikiwa ni sehemu...

READ MORE

Trump amteua Seneta JD Vance kuwa mgombea mwenza

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amesema Seneta wa Ohio James David Vance (JD) Vance, mwenye umri wa miaka...

READ MORE

Kagame ashinda katika uchaguzi wa urais Rwanda

Rais Paul Kagame wa Rwanda ameshinda muhula wa nne katika uchaguzi wa urais na bunge uliofanyika Rwanda Julai 15. Wapiga...

READ MORE

Waziri Mkuu Azindua Mitambo Ya Kisasa Ya Kurushia Matangazo na VAR

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Julai 15, 2024 amekagua na kuzindua mitambo na vifaa vipya vya kurushia matangazo vya kampuni ya...

READ MORE

Kurasa za magazeti ya leo Julai 16, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Rais Mwinyi Azitaka Wizara, Taasisi Kuondoa Urasimu Kwenye Biashara na Uwekezaji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amezitaka Wizara na Taasisi zinazohusika na biashara...

READ MORE

TRA Yaendelea na Utekelezaji wa Maagizo ya Waziri Mkuu

KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda amesema wanaendelea na utekelezaji wa maagizo yaliyowekwa na Serikali wakati...

READ MORE

Njia Rahisi na Nzuri za Kutengeneza Pesa Kasino

Unawaza njia nzuri ya kuongeza pesa zako? Cheza kasino ya mtandaoni  kutoka Meridianbet, kuna   michezo ya sloti mingi yenye kukupa...

READ MORE

Simba Kuachana Na CEO Wake Imani Kajula

Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba Sc imeridhia maombi ya Afisa Mtendaji wake Mkuu, Imani Kajula ya kuomba kuondoka...

READ MORE

Mkuu wa Shule atoboa Siri ya Ufaulu matokeo ya kidato cha sita, Nidhamu Na Ushirikiano Nyenzo Ya Matokeo Mazuri

Nidhamu kwa wanafunzi ,ufundishaji mzuri unaofanywa na walimu wa shule hiyo ndiyo sababu pekee iliyofanya shule hiyo kupata matokeo mazuri...

READ MORE

Mradi wa Kituo Cha Biashara na Usafirishaji Ubungo Kitachochea Ukuaji wa Uchumi Kwa Nchi Yetu

CPA Makalla amesema *EAST AFRICA COMMERCIAL & LOGISTICS CENTER* ni Kituo ambacho kinakwenda kuwa kiunganishi Kati ya China na Afrika...

READ MORE

Fuata Njia Hizi Kushinda Meridianbet Kasino

Moja ya habari njema kuwahi kutokea ni uwepo wa historia ya kale kuhusiana na miungu, na maisha ya zamani, hadithi...

READ MORE

PanAfrican Energy Tanzania Yatoa Mitungi 500 ya Gesi Kuchangia Nishati Safi ya Kupikia

Dar es Salaam, 14 July 2024 – Katika hatua kubwa ya kuchochea matumizi ya nishati safi ya kupikia, kampuni ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Alipongeza Kanisa La TAG Kwa Kukuza Watoto Kiimani

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amelipongeza Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) kwa mkakati wake wa kukuza watoto kiimani huku...

READ MORE

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Korogwe Atangaza Nafasi za Kazi 22

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Korogwe amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu...

READ MORE