×

Mziray ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF

Rais Samia amemteua Shedrack Salmin Mziray kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), awali alikuwa Mkurugenzi wa...

READ MORE

Jokate Mwegelo Ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi Shule ya Sekondari Msalato

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Jokate Mwegelo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari...

READ MORE

Zelensky: Ni Kibarua Kigumu Kufanya Kazi na Trump Lakini sisi ni Wachapakazi

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kufanya kazi na Donald Trump iwapo atachaguliwa tena kuwa rais wa Marekani itakuwa “kibarua...

READ MORE

Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSPF Kutoka Eswatini Wafurahia Mafanikio ya NSSF

*Katambi asema NSSF inazidi kuimarika, unaweza kulipa mafao bila kutetereka Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana,...

READ MORE

Mzee Magoma Amshukia vikali Haji Manara, Akacheze Anapochezaga – Video

Mzee Magoma amemshukia vikali Haji Manara kwa madai kutoa kauli za kumkashifu ambapo amechimba mkwara kwamba akacheze anapochezaga kwa sababu...

READ MORE

Abdul Kambaya Afunguka Sababu za yeye kujiunga na Chama cha Mapinduzi – Video

MWANASIASA maarufu nchini Abdul Kambaya leo Julai 19, 2024 amefunguka kupitia kipindi cha Front Page ya kinachoruka kupitia Global Radio...

READ MORE

Mahakama Kenya Yatupilia Mbali Agizo la Serikali Kusitisha Maadamano

Wananchi Kenya wako huru kukusanyika na kufanya maandamano baada ya Mahakama Kuu nchini humo kupinga uamuzi wa Kaimu Inspekta Jenerali...

READ MORE

Vyuo Vyatoa Scholarship Kwa Wanafunzi Maonyesho Elimu Ya Juu Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdullah (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa Global Education Link, Abdulmalick Mollel,  kwenye...

READ MORE

DC Magoti Ni Kazikazi! Anafungua Mradi Wa Treni Ya Mizigo Kisarawe – Video

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe DC Magoti amefunguka na kueleza kuwa watu watakaokwamisha maendeleo ndani ya Wilaya ya Kisarawe watashughulikiwa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 19, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Tusua Mapene na Mechi za Kirafiki Leo

Alhamisi ya leo Meridianbet wanakwambia kuwa unaweza ukaondoka na mkwanja wa maana endapo utaweza kubashiri nao kwani tayari wameshakuwekea odds...

READ MORE

Juma Magoma: Kamwe na Haji Manara ni mashabiki Simba – Video

Juma Ali Magoma, amefunguka kuhusu Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Ally kamwe pamoja na Haji Manara kuwa ni...

READ MORE

Exim Bank Tanzania Yatoa Vitanda vya Wajawazito Mkoani Morogoro

Katika kusaidia jamii na kuboresha huduma za afya nchini, Exim Bank Tanzania imetoa vitanda vya hospitali kwa wodi za wazazi...

READ MORE

Mkurugenzi wa Wilaya ya Kyerwa Atangaza Nafasi za Kazi

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa amepokea kibali cha Ajira chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni,...

READ MORE

Ushindi Mkubwa na Sweet Bonanza Kasino

“Baada ya kuutambulisha mchezoni, sasa Sweet Bonaza 1000 Kasino Inatoa Zaidi Kutolewa kwa Washindi wa Kasino ya Mtandaoni”

READ MORE

Rais Dkt. Samia Azungumza na Wananchi Tunduma Akielekea Dodoma – (Picha + Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasalimia Wananchi wa Tunduma Njiani kuelekea Dodoma Mara baada...

READ MORE

Yanga Yaifuata Kaizer Chiefs na Augsburg ya Ujerumani Sauzi (Picha +Video)

Kikosi cha Yanga leo Julai 18, 2024 kimeanza safari ya kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya mwaliko wa mashindano ya...

READ MORE

Aunty Lulu: Waliniambia Mimi Ndiye Nimemuua Mama, Baba Alitufukuza Baada Ya Maziko – Video

Aliyekuwa muigizaji wa Bongomuvi anayefahamika kwa jina la Nuru (Aunt Lulu) amefanya mahojiano na Global TV na kufunguka mengi kuhusiana...

READ MORE

Aziz Ki: Nimebaki Yanga kwa Sababu Naipenda – Video

Mchezaji wa Yanga, Azizi Ki amesema aliamua kuongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo kwa sababu anaipenda Yanga. Ki ameyasema...

READ MORE

Mkurugenzi wa Wilaya ya Ileje Atangaza Nafasi za Kazi

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya...

READ MORE